Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Gari yenye 320hp na uzito wa 1800kg haiwezi lingana na gari ya 380hp ina uzito wa 3000kg. Hp/kg ndo uchawi ulipo.Nilichogundua ushabiki ndio umetawala humu,bmw 340i inazizidi land cruiser zote vxl v8 yaani petrol&diesel katika suala la speed kuanzia kwenye acceleration hadi top speed mfano 340i 0-60 ni 4.8 secs top speed ni 249km/h while vxl v8 0-60 ni 8.2 secs with 210km/h top speed,sasa huu ulinganifu unahusisha barabara ya chunya kwenda tabora au kwenye lami?!
Ndo maana acceleration zinatofautiana.
Hapo ukiwaambia wanakwamba hiyo 340i haifui dafu kwa vxr.