mansoorsaid
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 1,498
- 286
yanga kila mtu mnamuchukia sasa
Wameambukizwa na chadema.
Weeh, yanga no timu ya ccm kama hujui.
Iko siku kila mtu ataishangilia simba.
Nalog off
Kwaiyo yanga mtu akiwaandika vibaya wanamzuia kuandika habari zao hata kama ni za ukweli.?hii nchi bwana ni raha sana.njaa mbaya sana yaani huyu kanjanja anatumiwa vibaya sana na wadhamini wake ili kuleta mfarakano yanga,hivi kwa nini anaendelea kuandika habari za yanga wakati alizuiwa???
Ndala bhana, mkitofautiana kauli, au msimamo na binadamu mwenzenu.. Mnamuita mchonganishi, mzushi, au muongo.. Hii tabia tumeiona toka kwa m/kiti wenu tangu zamani.. Naona Sasa wanachama mnamfuata "Boss" wenu.
Bin Zubeiry ni mtu makini sana, na ndo mana blog yake ni miongoni mwa blog bora Tanzania. Long Live Bin Zubeiry.