Bin Zubeiry ni mchonganishi

Bin Zubeiry ni mchonganishi

mansoorsaid

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Posts
1,498
Reaction score
286
maneno ya zuber blog.yanga walipeleka majina kupitia tff nao wakathibitisha kuwa sahihi kupelekwa huko.sasa mnafiki alioupeleka cecafa ameshapatikana nae ni mtu anayejikrim na si mwingine ni zuber sasa ameumbuka baadhi ya timu kupeleka sura changa Tp mazembe ilifungiwa kwa ajili ya usajiri.uongozi wa yanga ulishatoa ufafanuzi kanuni za cecafa.na blog yako huwezi kuihujumu yanga hata siku moja

yanga walikuambia usiandike habari zao sasa unachotaka hasa nini
 
Namchukia bin zubeiry zaidi ya ninavyoichukia dengue...huyu jamaa anatafutia umaarufu blog yake kupitia timu ya yanga...
 
Yawezekana kuwa kwel manake mmmmmmmmh!!
 
yanga wapumbavu sana kila sku mnalialia kijinga tu...
 
Tafuta habari ya usajili yanga official site wanasema miwili jamaa bin zube kasema mitatu duu..
 
njaa mbaya sana yaani huyu kanjanja anatumiwa vibaya sana na wadhamini wake ili kuleta mfarakano yanga,hivi kwa nini anaendelea kuandika habari za yanga wakati alizuiwa???
 
njaa mbaya sana yaani huyu kanjanja anatumiwa vibaya sana na wadhamini wake ili kuleta mfarakano yanga,hivi kwa nini anaendelea kuandika habari za yanga wakati alizuiwa???
Kwaiyo yanga mtu akiwaandika vibaya wanamzuia kuandika habari zao hata kama ni za ukweli.?hii nchi bwana ni raha sana.
 
Mimi mwenyewe nlisoma habari ya huyu jamaa humu jamvin sikuamin ila mdogomdogo naanza kuamin.
 
Ndala bhana, mkitofautiana kauli, au msimamo na binadamu mwenzenu.. Mnamuita mchonganishi, mzushi, au muongo.. Hii tabia tumeiona toka kwa m/kiti wenu tangu zamani.. Naona Sasa wanachama mnamfuata "Boss" wenu.

Bin Zubeiry ni mtu makini sana, na ndo mana blog yake ni miongoni mwa blog bora Tanzania. Long Live Bin Zubeiry.
 
Ndala bhana, mkitofautiana kauli, au msimamo na binadamu mwenzenu.. Mnamuita mchonganishi, mzushi, au muongo.. Hii tabia tumeiona toka kwa m/kiti wenu tangu zamani.. Naona Sasa wanachama mnamfuata "Boss" wenu.



Bin Zubeiry ni mtu makini sana, na ndo mana blog yake ni miongoni mwa blog bora Tanzania. Long Live Bin Zubeiry.

Yanga ni most successful klabu tanzania nadhani haitishwi na uhandishi wake ila alishaambiwa aachane na yanga.
Au yanga kwa vile ndo brand inyouza sana?
Basi aulize kwanza syo kukurupuka tu.

Hata hilk Ng'ombe fc hamuoni?
Kweli rage hakukosea kuwaita MBUMBUMBU yaan ni Please Wait ili kung'amua mbivu na mbich
 
Kocha - Joseph Omog Wachezaji wote watakaowatumia katika msimu wa 2016/2017. Magolikipa: 1. Vincent De Paul Angban* 2. Peter Mandira 3. Denis Dennis Beki wa kulia: 4. Hamadi Juma: Coastal Union 5. Salum Kimenya: Prisons Beki wa kushoto: 6. Mohamed Hussein 7. Abdi Bandai Mabeki wa kati: 8. Novaty Lufunga 9. Juuko Murushid* 10. Emmanuel Simwanza- Mwadui FC 11. Janvier Besala Bokungu* Viungo: 12. Jonas Mous 13. Awadh Juma 14. Justice Majabvi* 17. Saidi Ndemla 18. Mwinyi Kazimoto 19. Mzamiru Yassin: M.Sugar 20. Mohamed Ibrahim: M.Sugar 21. Mussa Ndusha* Winga: 22. Peter Mwalyanzi 23. Jamal Mnyate – Mwadui 24. Shiza Kichuya – M. Sugar 25. Hassan Kabunda- Washambuliaji: 26. Ibrahim Hajibu 27. Daniel Lyanga 28. Haji Ugando 29. Mbaraka Yusuf – K.Sugar 30. Laudit Mavugo 31. Blagnon Goue Frederic * 32. Ame Ali – Azam FC 33. Method Mwanjari* Nimejaribu kupekua pekua na kuunga unga naona wachezaji wanazidi..mfano wenyenyota wanaonekana wako 8 huku tukitakiwa kuwa nao 7 na jumla ya wachezaji ni 33 huku tukitakiwa kuwa nao 30 yaani wasizidi...bado nahitaji msaada nijue chama langu maana mwaka huu ninaimani nalo sana tu
 
Back
Top Bottom