Kwa mfano kuhusu uduni wa elimu yetu (kama tunakubaliana kwamba elimu yetu ni duni):
Mimi nafikiri kwamba tumewekeza sana katika elimu katika sections nyingi lakini tukaacha walimu. Matokeo yake ualimu imekuwa ni sector ambayo wanaoenda huku ni wale ambao walishindwa kupata marks za kwenda kusoma fani zingine. So, teaching profession has never been able to attract the best minds. How can we improve our teaching and learning kama the best minds haziendi kufundisha? Hivyo basi tunahitaji kufanya kama walivyofanya Korea ambapo ni kuhakikisha kuwa:
i) ualimu inakuwa ni profession inayolipwa mshahara mkubwa kuliko fani zengine zote katika taasisi za serikali
ii) asilimia angalau 5 ya waliofaulu vizuri wanaenda kusomea ualimu wa sayansi, lugha na hesabu
iii) tunakuwa na vyuo maalumu vya ualimu ambavyo vipo didicated kufundisha masomo ya lugha (kiingereza kikitiliwa mkazo) na hesabu. Haya masomo mawili ndiyo ambayo vijana wanaomaliza katika sekta zetu za elimu wapo hoi sana ukilinganisha na wengine katika ukanda wetu.
Baada ya hilo la ualimu, tupige hatua zaidi. Kwamba lugha za Kiingereza na Kiswahili zinafundishwa concurently kuanzia shule ya msingi na walimu ambao watakuwa wampepikwa vizuri hapo juu. Kiingereza pia kinakuwa ni moja ya lugha za mawasiliano katika jamii yetu sambamba na Kiswahili.
Watoto wakifika secondari, wapewe option za kuendelea na masomo kwa kutumia Kiswahili au Kiingereza. At the end of the day, tutakuwa na wanafunzi wanaojua lugha zote mbili kama lugha za mawasiliano, na kunakuwa na makundi ya wanafunzi wanaojua Kiingereza kama lugha ya taaluma na wengine Kiswahili kama lugha ya taaluma vilevile.
You see, these are some of what I call radical proposals ambazo tunaweza kuwauzia wanasiasa wakaweka kwenye sera za vyama vyao. Tukishakubaliana haya mawazo hapa yakawa ya JF, basi tunakubaliana kuwa chama kitakachoyakubali mawazo yao tutakiunga mkono katika uchaguzi. Sasa wengine mnasema tuliwahi kutoa radical proposals, lini? Mimi ni mkongwe katika forum hii, na siku zote tumenyooshea tu wanasiasa vidole. Twende mbele, leteni mawazo.
It is always easier to criticise than to propose. This forum is fuller of criticisms than proposals! We want to reverse the trend, so that it becomes a kisima where people who make decisions for our country can come and fetch our talents, wisdom and intellect. Our criticism then should always go along with radical and revolutionary proposals.