Binadamu anauwezo wakujiua mwenywe bila kutumia zana yoyote ionekayo!

God is a fastidious fad fueled by a fantastic foolhardy fading fast.
 
Siku zote mada za huyu yeriko hua ngumu sana sijui nyinyi hua mnamuelewaje? mi sielewi chochote alichoandika mwanzo mwisho
 
God is a fastidious fad fueled by a fantastic foolhardy fading fast.

Mkuu, umeniacha kwenye mataa, hebu iweke hiyo tungo yako kwa Kiswahili ili nami niambulie japo punje ya elimu uloikusudia. Natanguliza shukrani.
 
Hahaaaahaa
 
Siku zote mada za huyu yeriko hua ngumu sana sijui nyinyi hua mnamuelewaje? mi sielewi chochote alichoandika mwanzo mwisho

Imani yangu si haba, inaniongoza sana ktk mapito yangu, na ni kuwa
"Kuna watu wasipokuelewa maneno na matendo yako, mshukuru Jah, wewe bado unafikra chanya, wakianza kukuelewa jichunguze ni wapi umeanguka maana umeanza kuwaza kama wao"
 
Duuh kuna watu na viatu, hayo yanauhusiano gani na mada hii??

Unategemea nini kutoka kwa mtu kama huyu? Ni wazi bora kufuga mbwa atakulinda au fuga mbuzi kuna siku utapata nyama na supu kuliko huyu. Na sasa hivi wako wengi kule kwenye chama cha kijani.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
zito ni jembe. chadema bila zito inayumba sana, chadema bila zito ni sawa na gari bila injini. chadema imejengwa kwa misingi ya udini, ukabila ,na ukanda. chadema ina laana ya watanzania...

Umenifanya nicheke saaaaaaaaaaaaaana,duuh JF ni zaidi ya pain killer. sasa mkuu huu uzi na cdm ni wapi na wapi??
 
Fikra ya mwanadamu ni sumaku na hivyo ni kweli mwanadamu anao uwezo wa kukiita kifo na kikamjia; ila kinacho weza kucheleweza masaa kadhaa ndani ya uwezo wake ni namna gani kifo hicho kitatokea. Sumaku yake inapokivuta kifo nguvu za asili zinayachanganya mazingira yote yanayowezekana na kukusanya kimbunga za maguvu yatakayokifanya kifo kitokee kwa jinsi yake. Tembelea Home

Thank you Salim Kabora kwa mchango imara.
 
Mwanangu juve2012 mi nipo sn Mkuu!

Sijafahamu Mkuu Yerico anataka kutuambia nini kwahiyo ngoja nione mada inavyoenda then tutaendelea na michango ya hoja!
 
Last edited by a moderator:
God is a fastidious fad fueled by a fantastic foolhardy fading fast.

Unatamani sana uabudiwe kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kukariri,ni Bahati mbaya kwako Haya hayawani hawawezi kukuabudu, una chuki na Mungu muumba, endelea kukariri iko siku utagundua kwamba Hata wewe umeumba "hakuna mungu"
 
Mwanangu juve2012 mi nipo sn Mkuu!

Sijafahamu Mkuu Yerico anataka kutuambia nini kwahiyo ngoja nione mada inavyoenda then tutaendelea na michango ya hoja!

Karibu sana mkuu,
 
Last edited by a moderator:
Unatamani sana uabudiwe kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kukariri,ni Bahati mbaya kwako Haya hayawani hawawezi kukuabudu, una chuki na Mungu muumba, endelea kukariri iko siku utagundua kwamba Hata wewe umeumba "hakuna mungu"

Hehehee duuh
 
Thibitisha kwamba mungu yupo.

Until you do so, I have no reason to further engage you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…