Tatizo
Kiranga ni kukariri tu, nje ya ulichokariri hakuna ambacho kichwa chako kinakubaliana,umeambiwa mara nyingi sana kwamba mimi na wengine wakubalio uwepo wa Mungu, ni kwa kuwa wanajua kwamba Mungu ndiye Mwanzilishi na UHAI na ndiye Muumbaji wa ulimwengu na vyote vijazavyo, Lakini wewe unakerwa/kuchukizwa na sifa apewazo huyo ambaye ''hayupo'' huku wewe ni ubingwa wako wa kukariri hupewi sifa hata kidogo ukiachilia baadhi ya misukule wakuonao mjanja ukimwaga kariri zako.
Unathibitisha chuki kwa ''Hayupo'' wako kwa misingi ambayo hata mtoto mdogo anaweza kushangaa wewe u binadam wa aina gani, tunakwambia huyo ''hayupo'' ndiye mwanzilishi wa UHAI,unakerwa kiasi cha kwamba bila aibu unasema hata kama sijui nani mwanzilishi wa UHAI sio lazima awe ni ''Hayupo'', mara nyingi unakuja na mifano yako ya ulimwengu wa hakuna Mungu ati 2*2=8 haiwezekani hata kama sijui jibu ??? huna sababu ya kuoanisha ni kwa vipi heabu ya kusadikika ya 2x2=8 iwe sawa na hoja ya ''hayupo'' kuwa ndiye Muumba wa Ulimwengu ? ulimwengu upo, unafanya tafakari pana ikiambatana na kutafuta nani au nini kiko nyuma ya vilivyopo hadi kufika kwa Muumbaji/mwanzilishi wake...
mzee wa kukariri akifika kwa huyo ''hayupo'' anapata wazima na kuanza kuwaka haiwezekani,haiwezekani kwani lazima awe yeye ? ukimuuliza ni nani basi Oooh hata kama sijui ni nani sio lazima awe ni ''hayupo''
kuna uzima mukichwa hapo kweli, Mwanzilishi anabaki kuwa ''hayupo'' hadi pale
Kiranga atakapo muumba mwanzilishi mwingine,kwa kuwa ''Hayupo'' ndiye mwenye maelezo yenye mashiko kwa sasa, lau kama kuna maelezo yenye mashiko zaidi yawekwe hapa yapimwe.