Binadamu anauwezo wakujiua mwenywe bila kutumia zana yoyote ionekayo!

Binadamu mwenye uwezo wa kuhamisha bahari, uwezo wa kuhamisha milima, kumuumba binadamu mwenziwe, kuita kifo na kuzuia kifo, huo ndio uumbaji wa haki na uweza stahiki,

Twende taratibu! Kuhamisha bahari kivipi? Yani kusongeza Maji kijisehemu Au kuipeleka bahari inchi kavu ambako Hakuna bahari na ikakaa huko?

Na huo mlima kuuhamisha vp? Kuuvunja na kuusambaza Au kusema Kwa neno mlima hama hapa na uende pale? Ebu fafanua kidogo Mkuu!

Narudia tena! Swala la kuamua kufa Au kutokufa ni hoja ndogo sn ambayo huwezi ukaipa nguvu mpk useme uko Na uwezo Wa Mungu! Kwasababu Mwanadamu amepewa akili Na mamlaka ya kutawala kila kitu duniani!
 
naam!ahsanta!Yericko please mbona unachelewa kujibu bwana,upo Chalinze au Kinondoni?!
 
Mkuu, vipi kuhusu kuzuia kifo? mbona hawawezi?
nani ameleta kifo?

Kifo anazuia kwa kunywa dawa akiumwa na tahadhali nyingne ila siku ileeee ikifka hamna ngoja ngoja utaenda tu
 
Twende taratibu! Kuhamisha bahari kivipi? Yani kusongeza Maji kijisehemu Au kuipeleka bahari inchi kavu ambako Hakuna bahari na ikakaa huko?

Na huo mlima kuuhamisha vp? Kuuvunja na kuusambaza Au kusema Kwa neno mlima hama hapa na uende pale? Ebu fafanua kidogo Mkuu!

Narudia tena! Swala la kuamua kufa Au kutokufa ni hoja ndogo sn ambayo huwezi ukaipa nguvu mpk useme uko Na uwezo Wa Mungu! Kwasababu Mwanadamu amepewa akili Na mamlaka ya kutawala kila kitu duniani!

Ili twende sawa kwanza toka kwenye dhana ya mwanadamu "amepewa" akili na mamlaka ya kutawala kila kilicho duniani.

Binadamu hakupewa, bali anavyo. Ndio uwezo wake na ukuu wake na ndio uumbaji wake.
 
Nimeuliza maswali km mawili hapo juu haujanijibu!

Hiyo dhana ya Mwanadamu kutokupewa akili umeitoa wapi Mkuu?
 
Haya ni sehemu ya maneno yaliyokwenye hoja yako yanayoivunja hoja hiyo, ndiomaana nikasema tuwekane sawa kwanza,

Kwasababu Mwanadamu amepewa akili Na mamlaka ya kutawala kila kitu duniani!
 
Kwani topic inasema mungu yupo? Au mleta maada kasema mungu yupo?

Umesoma nilichokuwa najibu?

Nkwesa kaandika

Unatamani sana uabudiwe kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kukariri,ni Bahati mbaya kwako Haya hayawani hawawezi kukuabudu, una chuki na Mungu muumba, endelea kukariri iko siku utagundua kwamba Hata wewe umeumba "hakuna mungu"

Ili chuki yangu iwepo inabidi kinachochukiwa kiwepo, ama sivyo hii habari ya kwamba nina chuki kwa kitu ambacho hakipo ni hadithi tu, na mtunga hadithi hii ndiye anayeweza kuwa na chuki ju yangu mimi.

Kwa hiyo kabla ya kuingia sana kwenye swali la je, nina chuki kwa mungu, inambidi mtoa tuhuma athibitishe kwamba hicho anachosema nakichukia kipo.
 
Umesoma nilichokuwa najibu?

Nkwesa kaandika

Ili chuki yangu iwepo inabidi kinachochukiwa kiwepo, ama sivyo hii habari ya kwamba nina chuki kwa kitu ambacho hakipo ni hadithi tu, na mtunga hadithi hii ndiye anayeweza kuwa na chuki ju yangu mimi.

Kwa hiyo kabla ya kuingia sana kwenye swali la je, nina chuki kwa mungu, inambidi mtoa tuhuma athibitishe kwamba hicho anachosema nakichukia kipo.

Tatizo Kiranga ni kukariri tu, nje ya ulichokariri hakuna ambacho kichwa chako kinakubaliana,umeambiwa mara nyingi sana kwamba mimi na wengine wakubalio uwepo wa Mungu, ni kwa kuwa wanajua kwamba Mungu ndiye Mwanzilishi na UHAI na ndiye Muumbaji wa ulimwengu na vyote vijazavyo, Lakini wewe unakerwa/kuchukizwa na sifa apewazo huyo ambaye ''hayupo'' huku wewe ni ubingwa wako wa kukariri hupewi sifa hata kidogo ukiachilia baadhi ya misukule wakuonao mjanja ukimwaga kariri zako.
Unathibitisha chuki kwa ''Hayupo'' wako kwa misingi ambayo hata mtoto mdogo anaweza kushangaa wewe u binadam wa aina gani, tunakwambia huyo ''hayupo'' ndiye mwanzilishi wa UHAI,unakerwa kiasi cha kwamba bila aibu unasema hata kama sijui nani mwanzilishi wa UHAI sio lazima awe ni ''Hayupo'', mara nyingi unakuja na mifano yako ya ulimwengu wa hakuna Mungu ati 2*2=8 haiwezekani hata kama sijui jibu ??? huna sababu ya kuoanisha ni kwa vipi heabu ya kusadikika ya 2x2=8 iwe sawa na hoja ya ''hayupo'' kuwa ndiye Muumba wa Ulimwengu ? ulimwengu upo, unafanya tafakari pana ikiambatana na kutafuta nani au nini kiko nyuma ya vilivyopo hadi kufika kwa Muumbaji/mwanzilishi wake...
mzee wa kukariri akifika kwa huyo ''hayupo'' anapata wazima na kuanza kuwaka haiwezekani,haiwezekani kwani lazima awe yeye ? ukimuuliza ni nani basi Oooh hata kama sijui ni nani sio lazima awe ni ''hayupo''
kuna uzima mukichwa hapo kweli, Mwanzilishi anabaki kuwa ''hayupo'' hadi pale Kiranga atakapo muumba mwanzilishi mwingine,kwa kuwa ''Hayupo'' ndiye mwenye maelezo yenye mashiko kwa sasa, lau kama kuna maelezo yenye mashiko zaidi yawekwe hapa yapimwe.
 
Last edited by a moderator:
Binadamu ni kiumbe wa pekee ulimwenguni anayeyatawala mambo yote yasiyoonekana na yanayooneka, mimi huamini binadamu ni kiumbe na muumbaji, kwangu Mungu ni dhana tu.
Binadamu atakuwaje kiumbe halafu awe muumbaji hapohapo?

Mkuu,hebu niambie binadamu katokeaje kama yeye ni muumbaji wa wengine?
 
Binadamu mwenye uwezo wa kuhamisha bahari, uwezo wa kuhamisha milima, kumuumba binadamu mwenziwe, kuita kifo na kuzuia kifo, huo ndio uumbaji wa haki na uweza stahiki,

mh!in all of your posts,this is the most controversial one!can you give us more explanations here,please!
 
Tatizo Kiranga ni kukariri tu, nje ya ulichokariri hakuna ambacho kichwa chako kinakubaliana,umeambiwa mara nyingi sana kwamba mimi na wengine wakubalio uwepo wa Mungu, ni kwa kuwa wanajua kwamba Mungu ndiye Mwanzilishi na UHAI na ndiye Muumbaji wa ulimwengu na vyote vijazavyo, Lakini wewe unakerwa/kuchukizwa na sifa apewazo huyo ambaye ''hayupo'' huku wewe ni ubingwa wako wa kukariri hupewi sifa hata kidogo ukiachilia baadhi ya misukule wakuonao mjanja ukimwaga kariri zako.
Unathibitisha chuki kwa ''Hayupo'' wako kwa misingi ambayo hata mtoto mdogo anaweza kushangaa wewe u binadam wa aina gani, tunakwambia huyo ''hayupo'' ndiye mwanzilishi wa UHAI,unakerwa kiasi cha kwamba bila aibu unasema hata kama sijui nani mwanzilishi wa UHAI sio lazima awe ni ''Hayupo'', mara nyingi unakuja na mifano yako ya ulimwengu wa hakuna Mungu ati 2*2=8 haiwezekani hata kama sijui jibu ??? huna sababu ya kuoanisha ni kwa vipi heabu ya kusadikika ya 2x2=8 iwe sawa na hoja ya ''hayupo'' kuwa ndiye Muumba wa Ulimwengu ? ulimwengu upo, unafanya tafakari pana ikiambatana na kutafuta nani au nini kiko nyuma ya vilivyopo hadi kufika kwa Muumbaji/mwanzilishi wake...
mzee wa kukariri akifika kwa huyo ''hayupo'' anapata wazima na kuanza kuwaka haiwezekani,haiwezekani kwani lazima awe yeye ? ukimuuliza ni nani basi Oooh hata kama sijui ni nani sio lazima awe ni ''hayupo''
kuna uzima mukichwa hapo kweli, Mwanzilishi anabaki kuwa ''hayupo'' hadi pale Kiranga atakapo muumba mwanzilishi mwingine,kwa kuwa ''Hayupo'' ndiye mwenye maelezo yenye mashiko kwa sasa, lau kama kuna maelezo yenye mashiko zaidi yawekwe hapa yapimwe.

Umekariri kwamba nimekariri.

Maneno mengi sana lakini hujathibitisha kwamba mungu yupo.

Umejibu ambacho hujaulizwa, ulichoulizwa hujajibu.
 
zito ni jembe. chadema bila zito inayumba sana, chadema bila zito ni sawa na gari bila injini. chadema imejengwa kwa misingi ya udini, ukabila ,na ukanda. chadema ina laana ya watanzania...

jf imevamiwa na vichaa kutoka Milembe tena sio vichaa wa kawaida, hebu oneni mchango wa huyu mtu, hajuhi kipi kinaongelewa ila kwasababu memory card ya ubongo wake imebakiza takataka za siasa basi kaona hapa pia kuna siasa. Haba tunajadili 'nguvu kubwa ya mawazo (mind)' nguvu amba ambayo mimi huiita Mungu- ukijua kuitumia hata 20% yake tu, basi wewe ni 'super human' Ukona hujui kinachoongelewa funika kopo lako, nenda jukwaa la siasa ambapo kila mtu hujifanya 'amebobea' abakoraMAZI!
 
Last edited by a moderator:
Nimeuliza maswali km mawili hapo juu haujanijibu!

Hiyo dhana ya Mwanadamu kutokupewa akili umeitoa wapi Mkuu?

niongezee hapo hapo,Yericko wewe unafahamu nini kuhusu origin ya binadamu.Ametokea wapi?
 
Mwenye kutoa na kutwaa uhai ni mmoja tu, nae si binaadam.

Daah, naamini katika Mungu lakini ni ukweli uliowazi kwamba binadamu ana uwezo wa kuua na kujiua vile vile, ndo maana hata vitabu vya Mungu vinatuwekea sheria kwamba TUSIUWE na kumnyima mtu haki yake ya kuishi katika mazingira ya kimwili, ambacho huwezi kuua ni roho tuu,
 
Nisome vizuri, sijaongelea "kuuwa" nimeongelea mwenye kutowa na kutwaa uhai.
 
Nisome vizuri, sijaongelea "kuuwa" nimeongela mwenye kutowa na kutwaa uhai.

Tofauti kati ya kuuliwa na kutolewa uhai ni nini? Binafsi sioni tofauti maana kitu ni kile kile kutenganisha roho na mwili
 
Back
Top Bottom