Binadamu anaumba. Anayo Creative power.
Hata kuzaa ni kuumba. Ukisema ni kuunda sio kweli. Kuunda ni kuassemble. Kilichoanza ni creative thought .Wazo ndio uumbaji na uundaji unafuata baada ya kuumba inwardly. Kuna cause yaani creative thought, halafu kuna effect, yaani unachokiona phyisically.
Umeelezea vizuri!
Embu nipe majibu ya haya maswali:
1 Mungu ni nani/nini?
2 Jee ni Mungu yupi alieumbwa na mwanadamu?
3 Na ni binadamu gani aliemba Mungu?
Kuna Mungu yupi?
Hem nipe maana ya Mungu!
kuna mahali hujaelewa?
Sikweli! Imani ni kuamini! Hata usipoamini haimanishi Mungu hayupo! Nikisema namuamini Zitto kabwe simanishi Zitto ni Mungu!1. Mungu ni imani,
ni neno linalowekwa uhalisia wa uwepo mtu mkuu kuliko viumbe vyote vya duniani
Kivipi?ili kumuogofya binadamu tu,
ni lugha ya utaratibu wa mwanadamu aishi kwa fikra mmoja.
2.Ni huyohuyo wamwabuduo wote makafiri kwa mjahidina,
3. Ni mwanadamu wa karne ya 9.
Kuna Mungu "wazo", kichaka cha waoga.
Mungu ni deity, muumba wa dunia na kila kilichomo, aliyeumba mwanadamu kwa mikono yake kutoka kwa udongo, kwa mfano wake (usiniulize kama na yeye alitengenezwa kwa udongo!).....lol at that.
Ntuzu usikate tamaa bhana!
Hawa ndugu zetu bongo zao zinatope! Tuendelee kuwaquestion na kuwapa maelezo mazuri huenda wakanyooka! Wazee walisema 'Ntu si mbwa!'
Binadamu anaumba. Anayo Creative power.
Hata kuzaa ni kuumba. Ukisema ni kuunda sio kweli. Kuunda ni kuassemble. Kilichoanza ni creative thought .Wazo ndio uumbaji na uundaji unafuata baada ya kuumba inwardly. Kuna cause yaani creative thought, halafu kuna effect, yaani unachokiona phyisically.
Aaa! Kumbe Mungu unamjua ee!
...
Haya niambie sasa, Kwanini huamini uwepo wake?
Sikweli! Imani ni kuamini! Hata usipoamini haimanishi Mungu hayupo! Nikisema namuamini Zitto kabwe simanishi Zitto ni Mungu!
Mungu si 'Mtu mkuu'
Kivipi?
Mungu sio lugha!
Jee kuabudu ni kuumba?
Aisee!
Hivi utaniambia kabla ya karne ya 9 kulikuwa hakuna Mungu?
Yesu alikuwepo toka karne ya kwanza, Jee alikuja kueneza neno la nani?
Muhamadi alikuwepo toka karne ya 7, Jee alikuwa anazungumzia Mungu yupi?
Binadamu ni kiumbe wa pekee ulimwenguni anayeyatawala mambo yote yasiyoonekana na yanayooneka, mimi huamini binadamu ni kiumbe na muumbaji, kwangu Mungu ni dhana tu.
Binadamu anaouwezo wa kukata uhai wake bila kutumia zana,kuugua,sumu ama chochote kile chenye kudhuru mwili hata kufa.
Kwakutumia akili yake tu anauwezo wakukiita/kukikaribisha kifo na kikamfika ndani ya masaa yasiyozidi 24, Zingatia kwakutumia "akili" yake tu, sio elimu yake. Fikra ya mwanadamu ni sumaku na hivyo ni kweli mwanadamu anao uwezo wa kukiita kifo na kikamjia; ila kinacho weza kucheleweza masaa kadhaa ndani ya uwezo wake ni namna gani kifo hicho kitatokea. Sumaku yake inapokivuta kifo nguvu za asili zinayachanganya mazingira yote yanayowezekana na kukusanya kimbunga za maguvu yatakayokifanya kifo kitokee kwa jinsi yake. Tembelea www.quasserer.com
Haya sio ya leo bali tangu karne ya 5 mpaka karne hii ya 21 yanatukia katika maisha ya mwanadamu.
Jamii za kiafrika na Asia ndizo huitumia sana dhana hii.
mkuu kabla ya karne ya saba uislamam ulikuwepo?...
kabla ya karne ya kwanza ukristu ulikuwepo?
Dafuq?!!...kufahamu maana ya neno ni kutambuwa uwepo wa neno hilo katika jamii, neno hilo lipo na linatumiwa kwa maana hiyo, hiyo haimaanishi kuwa huyo mungu actually yupo, to use that as a proof is just dumb!
X: (huku povu likimtoka)...Mermaid yupo na anaishi, mimi nimeona uwepo wake.
Y: Mermaid ni hadithi za kusadikika na hakuna kitu kama hicho.
X: Kwani Mermaid ni nani?
Y: Ni kiumbe mwenye kiwiliwili cha mwanamke mrembo, asiyekuwa na miguu ila ana mkia wa samaki na anaishi baharini.
X: Kumbe unamjua, BASI YUPO.
Y: ...*Facepalm*...
Mkuu hao wanazungumza tu bilq kujua wanatetea nini, ukristu na uislamu umetukia karne ya kwanza mpaka ya tisa
Ndio ulikuwepo!mkuu kabla ya karne ya saba uislamam ulikuwepo?...
kabla ya karne ya kwanza ukristu ulikuwepo?
Binadamu ni kiumbe wa pekee ulimwenguni anayeyatawala mambo yote yasiyoonekana na yanayooneka, mimi huamini binadamu ni kiumbe na muumbaji, kwangu Mungu ni dhana tu.
Binadamu anaouwezo wa kukata uhai wake bila kutumia zana,kuugua,sumu ama chochote kile chenye kudhuru mwili hata kufa.
Kwakutumia akili yake tu anauwezo wakukiita/kukikaribisha kifo na kikamfika ndani ya masaa yasiyozidi 24, Zingatia kwakutumia "akili" yake tu, sio elimu yake. Fikra ya mwanadamu ni sumaku na hivyo ni kweli mwanadamu anao uwezo wa kukiita kifo na kikamjia; ila kinacho weza kucheleweza masaa kadhaa ndani ya uwezo wake ni namna gani kifo hicho kitatokea. Sumaku yake inapokivuta kifo nguvu za asili zinayachanganya mazingira yote yanayowezekana na kukusanya kimbunga za maguvu yatakayokifanya kifo kitokee kwa jinsi yake. Tembelea Home
Haya sio ya leo bali tangu karne ya 5 mpaka karne hii ya 21 yanatukia katika maisha ya mwanadamu.
Jamii za kiafrika na Asia ndizo huitumia sana dhana hii.
"above all powers,above all kings,above all nature and all created things,ABOVE ALL WISDOM AND ALL THE WAYS OF MAN,you were here before the world began,above all kindoms,above all thrones,above all wonders the world has ever know,above all wealth,and treasures of the earth,THERE IS NO WAY TO MEASURE WHAT YOU ARE WORTH.."(Michael W Smith,Women of faith,Hillsong "above all" song).Laiti wote tungelikuwa na ufahamu wa kisayansi kuchunguza na kugundua jinsi dunia na vilivyomo vilivyoumbwa na vinavyofanya kazi,hili neno "hakuna Mungu" lingegeuka na kuwa "Mungu ni nani?"!tena tungelikuwa na hamu ya kumjua san.Mjadala wa Mungu ni nani ni mjadala reasonable kwangu mie lakini huu wa "Mungu yupo au hayupo" kwa kweli leo niwe muwazi tuu mkuu Ntuzu,huwa najisikia uvivu hata kuchangia kwa kweli.Ndio maana kwenye ule mjadala wa zamani wa yule jamaa aliyemuuliza kiranga,nilichangia mle nikisema inahitaji negligence ya hali ya juu na akili iliyochoka kufikiri na mind isiyopenda exploration kabisa ili kuamini kuwa hakuna Mungu.Yaani nimejitahidi hata kujifanya mjinga nijaribu kufikiri kuwepo au kutokuwepo kwake,nikijitazama mwenyewe,dunia na yaliyomo,najiuliza,haya yametokeaje?najisemea tu hivi kwa haya maumbile na sayansi iliyomo,ni kipi reasonable kuamini,kwamba kuna aliyeumba au hakuna?ni kipi reasonable kufikiri,kwamba haya yana mwanzo wake au hayana mwanzo yapo tuu tangu zamani hayajaumbwa...aargh!au yamejiumba yenyewe out of nothing?nothing?all this science just out of nothing?aaargh!