Binadamu anauwezo wakujiua mwenywe bila kutumia zana yoyote ionekayo!

Binadamu anauwezo wakujiua mwenywe bila kutumia zana yoyote ionekayo!

Binadamu anaumba. Anayo Creative power.
Hata kuzaa ni kuumba. Ukisema ni kuunda sio kweli. Kuunda ni kuassemble. Kilichoanza ni creative thought .Wazo ndio uumbaji na uundaji unafuata baada ya kuumba inwardly. Kuna cause yaani creative thought, halafu kuna effect, yaani unachokiona phyisically.

samahani kidogo, kabla sijaendelea mbele. Unaamini ktk Biblia?
 
Umeelezea vizuri!
Embu nipe majibu ya haya maswali:
1 Mungu ni nani/nini?
2 Jee ni Mungu yupi alieumbwa na mwanadamu?
3 Na ni binadamu gani aliemba Mungu?

1. Mungu ni imani, ni neno linalowekwa uhalisia wa uwepo mtu mkuu kuliko viumbe vyote vya duniani ili kumuogofya binadamu tu, ni lugha ya utaratibu wa mwanadamu aishi kwa fikra mmoja.

2.Ni huyohuyo wamwabuduo wote makafiri kwa mjahidina,

3. Ni mwanadamu wa karne ya 9.
 
Kuna Mungu yupi?
Hem nipe maana ya Mungu!

Kuna Mungu "wazo", kichaka cha waoga.
Mungu ni deity, muumba wa dunia na kila kilichomo, aliyeumba mwanadamu kwa mikono yake kutoka kwa udongo, kwa mfano wake (usiniulize kama na yeye alitengenezwa kwa udongo!).....lol at that.
 
1. Mungu ni imani,
Sikweli! Imani ni kuamini! Hata usipoamini haimanishi Mungu hayupo! Nikisema namuamini Zitto kabwe simanishi Zitto ni Mungu!
ni neno linalowekwa uhalisia wa uwepo mtu mkuu kuliko viumbe vyote vya duniani

Mungu si 'Mtu mkuu'

ili kumuogofya binadamu tu,
Kivipi?

ni lugha ya utaratibu wa mwanadamu aishi kwa fikra mmoja.

Mungu sio lugha!
2.Ni huyohuyo wamwabuduo wote makafiri kwa mjahidina,

Jee kuabudu ni kuumba?
3. Ni mwanadamu wa karne ya 9.

Aisee!
Hivi utaniambia kabla ya karne ya 9 kulikuwa hakuna Mungu?
Yesu alikuwepo toka karne ya kwanza, Jee alikuja kueneza neno la nani?
Muhamadi alikuwepo toka karne ya 7, Jee alikuwa anazungumzia Mungu yupi?
 
Kuna Mungu "wazo", kichaka cha waoga.
Mungu ni deity, muumba wa dunia na kila kilichomo, aliyeumba mwanadamu kwa mikono yake kutoka kwa udongo, kwa mfano wake (usiniulize kama na yeye alitengenezwa kwa udongo!).....lol at that.

Aaa! Kumbe Mungu unamjua ee!
...
Haya niambie sasa, Kwanini huamini uwepo wake?
 
Binadamu anaumba. Anayo Creative power.
Hata kuzaa ni kuumba. Ukisema ni kuunda sio kweli. Kuunda ni kuassemble. Kilichoanza ni creative thought .Wazo ndio uumbaji na uundaji unafuata baada ya kuumba inwardly. Kuna cause yaani creative thought, halafu kuna effect, yaani unachokiona phyisically.

Ivi huoni ata aibu kuongea vitu ambavyo havina mantiki? Maana ya kuumba ni kwamba kitu kiwe Hakuna then ndio unakiumba hicho kiumbe!

Sisi tumeumbwa na Mungu hapo awali na akatupa agizo kwamba zaeni mkaongezeke na muijaze Dunia! Sisi hapa tunatekeleza agizo la Muumbaji la kuzaa sio km tunaumba!

Sasa nashangaa mtu unajitoa ufahamu Na kulikana agizo la Mungu la kuzaliana na kuchukua nafasi ya uumbaji!

Ebu sehemu zako za uzazi zisipofanya kz utaumba nini?

Acheni mambo yenu ya ajabu!
 
Kisayansi waweza kuwa uko sahihi lakini kidini na kiimani hapana kabisa
 
Aaa! Kumbe Mungu unamjua ee!
...
Haya niambie sasa, Kwanini huamini uwepo wake?

Dafuq?!!...kufahamu maana ya neno ni kutambuwa uwepo wa neno hilo katika jamii, neno hilo lipo na linatumiwa kwa maana hiyo, hiyo haimaanishi kuwa huyo mungu actually yupo, to use that as a proof is just dumb!
X: (huku povu likimtoka)...Mermaid yupo na anaishi, mimi nimeona uwepo wake.
Y: Mermaid ni hadithi za kusadikika na hakuna kitu kama hicho.
X: Kwani Mermaid ni nani?
Y: Ni kiumbe mwenye kiwiliwili cha mwanamke mrembo, asiyekuwa na miguu ila ana mkia wa samaki na anaishi baharini.
X: Kumbe unamjua, BASI YUPO.
Y: ...*Facepalm*...
 
Sikweli! Imani ni kuamini! Hata usipoamini haimanishi Mungu hayupo! Nikisema namuamini Zitto kabwe simanishi Zitto ni Mungu!

Mungu si 'Mtu mkuu'

Kivipi?

Mungu sio lugha!

Jee kuabudu ni kuumba?

Aisee!
Hivi utaniambia kabla ya karne ya 9 kulikuwa hakuna Mungu?
Yesu alikuwepo toka karne ya kwanza, Jee alikuja kueneza neno la nani?
Muhamadi alikuwepo toka karne ya 7, Jee alikuwa anazungumzia Mungu yupi?

mkuu kabla ya karne ya saba uislamam ulikuwepo?...
kabla ya karne ya kwanza ukristu ulikuwepo?
 
Binadamu ni kiumbe wa pekee ulimwenguni anayeyatawala mambo yote yasiyoonekana na yanayooneka, mimi huamini binadamu ni kiumbe na muumbaji, kwangu Mungu ni dhana tu.

Binadamu anaouwezo wa kukata uhai wake bila kutumia zana,kuugua,sumu ama chochote kile chenye kudhuru mwili hata kufa.

Kwakutumia akili yake tu anauwezo wakukiita/kukikaribisha kifo na kikamfika ndani ya masaa yasiyozidi 24, Zingatia kwakutumia "akili" yake tu, sio elimu yake. Fikra ya mwanadamu ni sumaku na hivyo ni kweli mwanadamu anao uwezo wa kukiita kifo na kikamjia; ila kinacho weza kucheleweza masaa kadhaa ndani ya uwezo wake ni namna gani kifo hicho kitatokea. Sumaku yake inapokivuta kifo nguvu za asili zinayachanganya mazingira yote yanayowezekana na kukusanya kimbunga za maguvu yatakayokifanya kifo kitokee kwa jinsi yake. Tembelea www.quasserer.com

Haya sio ya leo bali tangu karne ya 5 mpaka karne hii ya 21 yanatukia katika maisha ya mwanadamu.

Jamii za kiafrika na Asia ndizo huitumia sana dhana hii.

Nakubaliana nawe katika hili ila inahitajika focused mind kuweza kutimiza hili lengo
 
mkuu kabla ya karne ya saba uislamam ulikuwepo?...
kabla ya karne ya kwanza ukristu ulikuwepo?

Mkuu hao wanazungumza tu bilq kujua wanatetea nini, ukristu na uislamu umetukia karne ya kwanza mpaka ya tisa
 
Dafuq?!!...kufahamu maana ya neno ni kutambuwa uwepo wa neno hilo katika jamii, neno hilo lipo na linatumiwa kwa maana hiyo, hiyo haimaanishi kuwa huyo mungu actually yupo, to use that as a proof is just dumb!
X: (huku povu likimtoka)...Mermaid yupo na anaishi, mimi nimeona uwepo wake.
Y: Mermaid ni hadithi za kusadikika na hakuna kitu kama hicho.
X: Kwani Mermaid ni nani?
Y: Ni kiumbe mwenye kiwiliwili cha mwanamke mrembo, asiyekuwa na miguu ila ana mkia wa samaki na anaishi baharini.
X: Kumbe unamjua, BASI YUPO.
Y: ...*Facepalm*...

Hapo nimekuelewa vizuri tu!
...
Napenda nijui hoja zako, kwanini unahisi/unaamini Mungu hayupo?
 
Mkuu hao wanazungumza tu bilq kujua wanatetea nini, ukristu na uislamu umetukia karne ya kwanza mpaka ya tisa

Kabla ya hiyo karne palikuwa na nini na nani kakujuza kuwa karne ya kwanza imeanza siku fulani?
 
mkuu kabla ya karne ya saba uislamam ulikuwepo?...
Ndio ulikuwepo!
According to islamic teachings: Uislamu ulikuja soon baada ya Adam na Hawa/Eva kuletwa duniani na kuanza kuzaa!
Adamu ni mtume wa kwanza na alifundishwa elimu ya mazingira yake (so, ile hoja ya kupinga Mungu inayosema 'Dini na Mungu ziliibuka kutokana na mwanadamu kushindwa kuyakabili mazingira yake' ni hoja dhaifu na isiyo na mashiko kutokana na ukweli huo, ie kwamba mwanadamu alipewa elimu ya mazingira yake!!!)
...
Hao mitume waliopita, akina Ibrahim, Ismael, Is'haka, Yakubu, Daudi, Yussuf, Mussa, Issa na wengineo, wote walikuwa walikuwa wakiitangaza dini ya Mungu mmoja, Mungu muumba ardhi na vilivyomo. Ktk misingi ile ile ya Uislamu!
...
Ukumbuke mission na vision ya hao mitume ilikwa moja ie Kumtukuza Mungu muumba na kufanya yale yote alioyaamrisha na kuacha yote alioyakataza! Uislamu ni dini na neno Islam ni neno la dini ya Mtume Muhamadi! Hapa namanisha, jina lisikutishe angalia mission na vision!
Hata chura akiwa mdogo huitwa samaki, kutokana na some development ya mwili wake, anafikia kuwa chura halisi!
...
Sijui umenielewa hapa?
kabla ya karne ya kwanza ukristu ulikuwepo?

Neno ukiristu, halikuwepo kabla ya hapo! But si sababu ya kusema Mungu hakuwepo!
Hata wakiristu wanaamini uwepo wa hao mitume iliyopita, Mfano: Daudi/David, Mussa/Moses, Issa/Yesu, Ibrahim, Isaka na Wengineo akiwemo Adamu (Mtume wa kwanza or Baba wa ulimwengu)
...
Hiyo inamaana ya kuwa Mungu yupo toka kitambo na Islam na Ukiristu ni majina tu ya dini!
 
Kuna wanaoamini wakijuacho wengine huamini wasichokijua..!

Kuna waabudu HALISI Na wasio Na uhalisia wanapoabudu..! Sasa kuabudu Ni tendo la Namna Gani..

Kuna mungu(small latter) Na Mungu (capital latter) lazima ueleweke Ni Yupi unayemuongelea Kwenye Topic..

Samahani hapo kuna watu Nilikuwa nawajibu.. Labda nirudi kwako Yeriko..

Binadamu ni kiumbe wa pekee ulimwenguni anayeyatawala mambo yote yasiyoonekana na yanayooneka, mimi huamini binadamu ni kiumbe na muumbaji, kwangu Mungu ni dhana tu.

Binadamu anaouwezo wa kukata uhai wake bila kutumia zana,kuugua,sumu ama chochote kile chenye kudhuru mwili hata kufa.

Kwakutumia akili yake tu anauwezo wakukiita/kukikaribisha kifo na kikamfika ndani ya masaa yasiyozidi 24, Zingatia kwakutumia "akili" yake tu, sio elimu yake. Fikra ya mwanadamu ni sumaku na hivyo ni kweli mwanadamu anao uwezo wa kukiita kifo na kikamjia; ila kinacho weza kucheleweza masaa kadhaa ndani ya uwezo wake ni namna gani kifo hicho kitatokea. Sumaku yake inapokivuta kifo nguvu za asili zinayachanganya mazingira yote yanayowezekana na kukusanya kimbunga za maguvu yatakayokifanya kifo kitokee kwa jinsi yake. Tembelea Home

Haya sio ya leo bali tangu karne ya 5 mpaka karne hii ya 21 yanatukia katika maisha ya mwanadamu.

Jamii za kiafrika na Asia ndizo huitumia sana dhana hii.

Kwenye ulimwengu wa Ufaham mkuu kuna maneno mawili MTU Na BINADAMU.. Mtu ni kitu kingine kabisa Na BINADAMU ni kitu kingine Mbali sana., Kwenye sentensi zako unaonekana unaongelea habari Za Mtu lakini sio Binadamu..
 
"above all powers,above all kings,above all nature and all created things,ABOVE ALL WISDOM AND ALL THE WAYS OF MAN,you were here before the world began,above all kindoms,above all thrones,above all wonders the world has ever know,above all wealth,and treasures of the earth,THERE IS NO WAY TO MEASURE WHAT YOU ARE WORTH.."(Michael W Smith,Women of faith,Hillsong "above all" song).Laiti wote tungelikuwa na ufahamu wa kisayansi kuchunguza na kugundua jinsi dunia na vilivyomo vilivyoumbwa na vinavyofanya kazi,hili neno "hakuna Mungu" lingegeuka na kuwa "Mungu ni nani?"!tena tungelikuwa na hamu ya kumjua san.Mjadala wa Mungu ni nani ni mjadala reasonable kwangu mie lakini huu wa "Mungu yupo au hayupo" kwa kweli leo niwe muwazi tuu mkuu Ntuzu,huwa najisikia uvivu hata kuchangia kwa kweli.Ndio maana kwenye ule mjadala wa zamani wa yule jamaa aliyemuuliza kiranga,nilichangia mle nikisema inahitaji negligence ya hali ya juu na akili iliyochoka kufikiri na mind isiyopenda exploration kabisa ili kuamini kuwa hakuna Mungu.Yaani nimejitahidi hata kujifanya mjinga nijaribu kufikiri kuwepo au kutokuwepo kwake,nikijitazama mwenyewe,dunia na yaliyomo,najiuliza,haya yametokeaje?najisemea tu hivi kwa haya maumbile na sayansi iliyomo,ni kipi reasonable kuamini,kwamba kuna aliyeumba au hakuna?ni kipi reasonable kufikiri,kwamba haya yana mwanzo wake au hayana mwanzo yapo tuu tangu zamani hayajaumbwa...aargh!au yamejiumba yenyewe out of nothing?nothing?all this science just out of nothing?aaargh!
 
Last edited by a moderator:

Pole sn Mkuu ata Mimi mwenyewe Hawa jamaa hunifanya nione uvivu kuchangia hoja!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom