"above all powers,above all kings,above all nature and all created things,ABOVE ALL WISDOM AND ALL THE WAYS OF MAN,you were here before the world began,above all kindoms,above all thrones,above all wonders the world has ever know,above all wealth,and treasures of the earth,THERE IS NO WAY TO MEASURE WHAT YOU ARE WORTH.."(Michael W Smith,Women of faith,Hillsong "above all" song).Laiti wote tungelikuwa na ufahamu wa kisayansi kuchunguza na kugundua jinsi dunia na vilivyomo vilivyoumbwa na vinavyofanya kazi,hili neno "hakuna Mungu" lingegeuka na kuwa "Mungu ni nani?"!tena tungelikuwa na hamu ya kumjua san.Mjadala wa Mungu ni nani ni mjadala reasonable kwangu mie lakini huu wa "Mungu yupo au hayupo" kwa kweli leo niwe muwazi tuu mkuu
Ntuzu,huwa najisikia uvivu hata kuchangia kwa kweli.Ndio maana kwenye ule mjadala wa zamani wa yule jamaa aliyemuuliza kiranga,nilichangia mle nikisema inahitaji negligence ya hali ya juu na akili iliyochoka kufikiri na mind isiyopenda exploration kabisa ili kuamini kuwa hakuna Mungu.Yaani nimejitahidi hata kujifanya mjinga nijaribu kufikiri kuwepo au kutokuwepo kwake,nikijitazama mwenyewe,dunia na yaliyomo,najiuliza,haya yametokeaje?najisemea tu hivi kwa haya maumbile na sayansi iliyomo,ni kipi reasonable kuamini,kwamba kuna aliyeumba au hakuna?ni kipi reasonable kufikiri,kwamba haya yana mwanzo wake au hayana mwanzo yapo tuu tangu zamani hayajaumbwa...aargh!au yamejiumba yenyewe out of nothing?nothing?all this science just out of nothing?aaargh!