Binadamu hana jipya hapa duniani zaidi ya kuwa ni mfugo unaosubiri kuliwa tu

Tofauti ya Mungu na Shetani ni Upendo.

Hauwezi kumjua Mungu vizuri kama haujui upendo.

Mengine yote ni ubatili na kujilisha upepo.

Ukijua upendo unavyofanya kazi, ndio utajua Mungu anakulaje nafsi ya mwanadamu, na nadhani unajua shetani anafaidika na nini katika nafsi yako...kama nguvu hasi.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…