Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,290
- 2,468
Hahaahhaaa... Unaogopa kuwa mfugo?Toka nianze kuwa humu Leo ndio nimekutana na likitu la ajabu ili
Ndio likitu la ovyo zaidi niwehai soma jamii
Forum
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaahhaaa... Unaogopa kuwa mfugo?Toka nianze kuwa humu Leo ndio nimekutana na likitu la ajabu ili
Ndio likitu la ovyo zaidi niwehai soma jamii
Forum
Poa ngoja tuamue kutembea na hiyo nadharia yako bila kupinga;Mzee huna jipya hapa duniani wewe ni mazao tu yanayosubiri kuliwa aidha na Mungu au Shetani.
Wewe toka povu tu na kujifanya mjuaji ila huo ndio ukweli.
Hakuna theory hapa wala nukuu ya kitabu chochote maalifa binafsi yanatosha.
tumetofautiana kidogo tuu...mimi natamani sana nionje raha ya uzee nizeeke nione vijana wanavyohangaikia maisha niwashauri...lakini niwe mzee mwenye pesalakini kweli, nikiona wazee walivyochoka kwa uzee, kuna muda natamani nife nikiwa na nguvu zangu
sasa tufanyaje ili ivyo vitu visiendelee kutumaliza...?Huyu kaka kaongea point Sana ..Hivi ulishajiuliza swali, kwanini Hawa kina Mungu Na shetani wanatumia Muda na resources nyingi Sana ili kutuvutia upande Wao?
Mungu anatumia makanisa,wachungaji,kwaya, Misikiti,vitabu, mashehe mpaka makundi kama Al Shabaab ili kujipatia wafuasi binadamu.
Shetani yeye anatumia Pesa,ngono,ulevi,mziki Ni. ili kujipatia wafuasi.(Mungu anatumia mbinu chafu Zaidi)
Yaani Hawa kina Mungu Na shetani wanatumia Muda Na gharama Sana kutupata.
Hii Hali lazima ilete swali🤔🤔..wao wanapata faida Gani???
Hivi ukiona mfanyabiashara anayenunua dhahabu shilingi laki 1 halafu anauza efu 50 utamuitaje??
Sijui Kwa wewe ila Mimi ntamuita kichaa.
Sasa kama binadamu tunaakili ya kutofanya biashara isiyo Na faida
Je, Hawa kina Mungu Na shetani Ni wajinga kiasi Gani mpaka watumie resources zote Hizo bila faida???
Kwahyo Msiseme Mungu anaweza kuishi bila binadamu..
Maana kama Ni hivyo Na anafanya vyote hivyo bila faida basi yeye Ni kichaa ....
Kwahyo inabidi mchague Kati ya kusema Mungu hufanyA vyote hivyo Kwa faida Na anatula Sisi binadam ili yeye aendelee kuwepo...Au Mungu Ni kichaa
Fanya venye roho yako inapenda...ukisikia njaa Kula, ukitaka kulewa Lewa, ukimiss Kanisa nenda kasali Kwa Moyo wote, ukimiss ngono fanya, Fanya chochote unachopenda usiwe mtumwa wa Hawa kina Mungu Na shetani.sasa tufanyaje ili ivyo vitu visiendelee kutumaliza...?
Yap,..... ukiwa na pesa sawa...usipokuwa nazo...hao vijana ndio watakaokushaiuri na kukidharau...ni mbaya sana.tumetofautiana kidogo tuu...mimi natamani sana nionje raha ya uzee nizeeke nione vijana wanavyohangaikia maisha niwashauri...lakini niwe mzee mwenye pesa
Kama unavyomfuga kuku na muda wwote unaweza kumchinja, sisi ndivyo tulivyo anytime tunachinjwa tu.
“The gods envy us. They envy us because we’re mortal, because any moment may be our last. Everything is more beautiful because we’re doomed. You will never be lovelier than you are now. We will never be here again.”
Fantastic BrooWewe ni useless kwenye ulimwengu,ni mtu uliyekata Tamara,ni mjinga,Kama ndio unavyowaza,yaani,ulizaliwa,unakula,mwisho kufa na kuzikwa basi!!!huchangii chochote duniani!!
Hutaki kuwa Dangote,Bakheresa,Diamond,Bill gate,martin Luther king,Michel faraday(aliyegundua umeme,unaoutumia kuchaji cm yako,fala wewe).
Sasa kama watu wote wangewaza kama wewe!!hii sayansi na maendeleo angeleta nani!?
Upo duniani kuleta mchsngo wowote,katika nyanja mbali mbali,Ili siku ukiondoka uiache Dunia vzr zaidi ya ulivyoikuta,
Wote tutakufa,we have nothing to loose!!sasa Kuna ubaya gani ukitafuta ukwasi,magsri,majumba,mifugo ukawa nayo Mengi!!mpaka kizazi chako Cha sita kizikute!!ubaya upo wapi??acha kuwa mbinafsi!!?pigika utakaowaaacha wafaidike!ufe ukiwa umepigika,au haujapigika,utaoza tu!!?so why not
You running into the state which has been written with red pen [red]DangerHuyu kaka kaongea point Sana ..Hivi ulishajiuliza swali, kwanini Hawa kina Mungu Na shetani wanatumia Muda na resources nyingi Sana ili kutuvutia upande Wao?
Mungu anatumia makanisa,wachungaji,kwaya, Misikiti,vitabu, mashehe mpaka makundi kama Al Shabaab ili kujipatia wafuasi binadamu.
Shetani yeye anatumia Pesa,ngono,ulevi,mziki Ni. ili kujipatia wafuasi.(Mungu anatumia mbinu chafu Zaidi)
Yaani Hawa kina Mungu Na shetani wanatumia Muda Na gharama Sana kutupata.
Hii Hali lazima ilete swali🤔🤔..wao wanapata faida Gani???
Hivi ukiona mfanyabiashara anayenunua dhahabu shilingi laki 1 halafu anauza efu 50 utamuitaje??
Sijui Kwa wewe ila Mimi ntamuita kichaa.
Sasa kama binadamu tunaakili ya kutofanya biashara isiyo Na faida
Je, Hawa kina Mungu Na shetani Ni wajinga kiasi Gani mpaka watumie resources zote Hizo bila faida???
Kwahyo Msiseme Mungu anaweza kuishi bila binadamu..
Maana kama Ni hivyo Na anafanya vyote hivyo bila faida basi yeye Ni kichaa ....
Kwahyo inabidi mchague Kati ya kusema Mungu hufanyA vyote hivyo Kwa faida Na anatula Sisi binadam ili yeye aendelee kuwepo...Au Mungu Ni kichaa
umekunywa gongo gani asububi ya leoBinadamu hana jipya lolote hapa duniani zaidi ya kuwa ni mazao au mifugo inayofugwa na kile kinachoitwa Mungu ili apata chakula kitakacho muhakikishia uwepo wake.
Kama unavyoona unafuga ng'ombe,mbuzi,kondoo,kuku,bata n.k ili tu mwisho wa siku upate kitoweo.
Pia kama unavyohangaika kulima mazao mbalimbali au kununua chakula ili tu uweze kula na kuishi hapa duniani kwa raha mustarehe.
Basi hivyo ndivyo ilivyo hata kwa Mungu, naye kapanda mifugo yake hapa duniani ambayo ni sisi binadamu ili aweze kujipatia chakula chake naye aweze kusavaivu.
Tofauti ya wewe na Mungu katika kula kile mlichikitengeneza ni kwamba binadamu unakula mwili uwe wa mboga,matunda,mnyama au ndege wakati Mungu anakula nafsi ya binadamu na kuachana na mwili.
Ni hivi wakuu, nafsi ya binadamu ni chakula cha Mungu alichojitengenezea ili aweze kusavaivu. Yaani ni hivi, Mungu anategemea sana nafsi zetu tofauti na tunavyofikilia.
Kama ulivyo wewe vitu vilivyohalibika huli, basi na kwa Mungu ipo hivyo hivyo nafsi zilizohalibika naye hali. Ndiyo maana ukitaka kumuuzi Mungu wewe chafua nafsi yako tu. Kama ulivyo wewe hupendi kupata hasara kwenye mifugo yako na mazao yako, basi hivyo ndivyo ilivyo kwa Mungu naye hapendi kupata hasara kweye mazao yake(nafsi).
Shetani na Mungu wanasifa zinazofanana kwa hiyo wote wanategemea nafsi za binadamu ili waweze kusavaivu. Chanzo cha mgogoro na ugomvi usioisha kati ya Mungu na shetani ni kutegemea nafsi za binadamu ili waweze kusavaivu.
Shetani anahitaji nafsi nyingi kama chakula chake na Mungu naye anahitaji nafsi nyingi kama chakula chake. Kumbe mgogoro kati ya Shetani na Mungu ni mgogoro wa kimaslahi.
Ndiyo maana kwa Shetani nafsi ya binadamu ni kitu cha muhimu sana kama ilivyo kwa Mungu kuwa nafsi ni kitu cha muhimu sana kiliko kitu chochote hapa duniani.
Wazee ipo hivi, leo kuku au ng'ombe wako anapoambiwa umemfuga ili umchinje anaweza akabisha mpaka basi, basi hivyo ndivyo ilivyo hata wewe nikikuambia kuwa hapa duniani huna jipya zaidi tu umefugwa ili nafsi yako iwe chakula aidha cha Mungu au Shetani basi utabisha mpaka utachanganyikiwa.
Dini,sala,swala,dua au maombi ni mbolea tu ya kumwagilia na kuboresha na kufanya chakula cha Mungu(nafsi yako) iwe safi. Kama wewe unavyohudumia mifugo yako na mazao yako ili yasihalibika basi hivyo ndivyo ilivyo kwa sala na swala kwa binadamu.
Mungu na Shetani hawawezi kuwepo kama nafsi za binadamu hazipo. Maana wote wanategemea nafsi hizi ili waweze kusavaivu. Ndicho chakula chao.
Mzee huna jipya hapa duniani wewe ni mazao tu yanayosubiri kuliwa aidha na Mungu au Shetani.
Wewe toka povu tu na kujifanya mjuaji ila huo ndio ukweli.
Hakuna theory hapa wala nukuu ya kitabu chochote maalifa binafsi yanatosha.