Msonjo
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 1,356
- 2,342
"Hakuna theory hapa wala nukuu ya kitabu chochote maalifa binafsi yanatosha"
Hebu nieleze kuhusu mimi kwa kuutumia hayo maarifa yako binafsi, chochote unachojua kuhusu mimi ambacho sijakidhihirisha?
Bila shaka huwezi kunielezea, kama mimi mwenyewe sijakueleza.
Sasa kama jambo hili ni muhali kwetu sisi wanaadamu wenyewe ikiwa kama hatufahamiani, vipi kwa yule anayemuelezea mungu kwa kutumia akili yake tu?
Na chochote unachokijua kuhusu mimi, hiyo ndiyo elimu kinyume chake ni ujinga, na hakuna kujua jambo (maarifa) bila ya kuwa na elimu nalo.
Hivyo kwa akili ya kawaida tu, utagundua kuwa Kila yule ambaye anamuelezea mungu au matendo ya mungu kwa utashi wake basi anakuwa anakosea.
By the way mfugo mwenyewe mimi sio mfugo.