James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,984
- 3,695
Aisee sasa tutaanza kughairi kwenda misikitini na makanisani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu safuher, nakubaliana na your line of thought juu ya suala hili la chanzo cha binadamu, viumbe hai na dunia kwa ujumla wake. 👍nothing haiwezi kuunda something.
kwa mantiki ya kwamba kila kilichotumika kuumba Dunia kipo tangu na tangu ni kweli dunia haina chanzo.
Nadharia zetu za kidini zinatuonesha kwamba Dunia iliumbwa.
So huko kuumbwa maana zinatumika malighafi ambazo zipo tangu na tangu ili kutengeneza kitu cha muundo wa tofauti kinachoitwa Dunia.
Na hiko kutendo cha kutengenezwa muundo wa tofauti unaoitwa dunia ndio tunaweza kuita chanzo cha Dunia.
Chanzo cha Dunia ni kule kuumbwa kwake kuanza kuwa Dunia.
Hakuna ulazima kwamba ati kila kitu lazima kifuate ulazima wa Dunia kuwa na chanzo ?
Sio kweli kwamba kila kitu katika ulimwengu huu kinafuata kila kitu cha Dunia.
Kama ni lazima kila kitu kifuate utaratibu wa dunia unaweza kutuelezea ulazima huo umeupata wapi ?
Mifano ni mingi kwamba hakuna ulazima wa mambo mengine kufuata utaratibu wa Dunia.
Mfano tu
UKITOKA NJE YA DUNIA UNAELEA,ILA UKIWA KWENYE ANGA LA DUNIA HAUELEI.
utaona kwamba mazingira ama mambo mengi hayalazimiki kufuata mfumo wa Dunia ulivyo.
Hiyo ni kuonesha kwamba hakuna Dunia inaweza kubehave tofauti na vitu vingine
HAya maswali yako yote hayawezi kukanusha kwamba lazima alikuwepo binadamu wa kwanza ambae alifungua Dimba.
Unaweza kuthibitisha ni namna gani maswali yako yanakanusha uwepo wa kuwepo kwa binadamu wa kwanza ?
Kwa sababu ukiniuliza marekani papoje,mitaa alafu nikawa sipajui hiyo bado haikanushi kwamba marekani ipo.
WEwe ndio unasema kilitokea,ukisema kikitokea maana yake kuna ambako kimetoka.
MImi nakuambia chanzo cha mzizi wa mambo hakikutokea popote bali kipo daima.
KWa sababu kama unaliza wapi kimetoka je huko kilikotoka si bado kilikuepo huko huko ndio kikaja hapo ambapo wewe unadhani kipo.
Moja nakujibu kwamba hakikutoka sehemu bali kipo milele.
Lakini pili hata kama unasema kimetoka wapi,je huko kilikotoka si bado kilikuepo,sasa kwa nini kisiwe na haki ya kuitwa chanzo ?
Kitu kama kimetokea kutoka sehemu ambayo hatuijui hiyo maana yake kitu hicho kilikuepo bado lakini kikikuwa hakijatokea.
Hivyo unapohoji kuhusu chanzo cha mambo yote kimetoka wapi kwani huko ambakaao kilikuwa si bado kilikuwepo huko kabla hakijaja ?
Sasa huoni hapo bado unathibitisha kilikuwepo lakini kilikuwa hakijaja bado ?
Yaani wewe UNAAMINI KWAMBA DUNIA IPO,UNAAMINI KWAMBA DUNIA HAINA CHANZO.
unaposema unaamini maana yake hiyo nayo ni imani.
Kwa maana hiyo na wewe umeangukia kwenye imani ambayo kuna maswali mengi tu haiwezi kujibu.
Kama unakubali kwamba dunia haina mwanzo wala mwisho maana yake na wale wanaosema Mungu ameumba Dunia wanasema Mungu hana mwanzo wala mwisho.
Kwa maana hiyo kama unakubali dunia kwamba haina mwanzo wala wmsiho BILA SHAKA UNAWAKUBALIA WANAOSEMA MUNGU HANA MWANZO WALA MWISHO.
Lengo sio wewe uamini bali lengo ni kukuomnesha wewe kwamba HOJA ZA WENZIO ZINA MAKE SENSE PIA.
nothing haiwezi kuunda something.
kwa mantiki ya kwamba kila kilichotumika kuumba Dunia kipo tangu na tangu ni kweli dunia haina chanzo.
Nadharia zetu za kidini zinatuonesha kwamba Dunia iliumbwa.
Malighafi hizo za kuumba Dunia zilitoka wapi?So huko kuumbwa maana zinatumika malighafi ambazo zipo tangu na tangu ili kutengeneza kitu cha muundo wa tofauti kinachoitwa Dunia.
Sasa mbona unalazimisha dunia iwe na chanzo?Na hiko kutendo cha kutengenezwa muundo wa tofauti unaoitwa dunia ndio tunaweza kuita chanzo cha Dunia.
Chanzo cha Dunia ni kule kuumbwa kwake kuanza kuwa Dunia.
Hakuna ulazima kwamba ati kila kitu lazima kifuate ulazima wa Dunia kuwa na chanzo ?
Ni fikra zangu tu, Maana huwezi kusema eti Dunia ina chanzo Halafu useme chanzo cha dunia hakina chanzo.Sio kweli kwamba kila kitu katika ulimwengu huu kinafuata kila kitu cha Dunia.
Kama ni lazima kila kitu kifuate utaratibu wa dunia unaweza kutuelezea ulazima huo umeupata wapi ?
Binadamu huyo wa kwanza aliyefungua dimba, Alikuwa wapi?Mifano ni mingi kwamba hakuna ulazima wa mambo mengine kufuata utaratibu wa Dunia.
Mfano tu
UKITOKA NJE YA DUNIA UNAELEA,ILA UKIWA KWENYE ANGA LA DUNIA HAUELEI.
utaona kwamba mazingira ama mambo mengi hayalazimiki kufuata mfumo wa Dunia ulivyo.
Hiyo ni kuonesha kwamba hakuna Dunia inaweza kubehave tofauti na vitu vingine
HAya maswali yako yote hayawezi kukanusha kwamba lazima alikuwepo binadamu wa kwanza ambae alifungua Dimba.
Binadamu huyo wa kwanza, alikuwa wa rangi gani?Unaweza kuthibitisha ni namna gani maswali yako yanakanusha uwepo wa kuwepo kwa binadamu wa kwanza ?
Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna moja ya kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika.Kwa sababu ukiniuliza marekani papoje,mitaa alafu nikawa sipajui hiyo bado haikanushi kwamba marekani ipo.
Mimi nilisema hivi, Dunia haina mwanzo wala mwisho.WEwe ndio unasema kilitokea,ukisema kikitokea maana yake kuna ambako kimetoka.
Unaweza kuthibitisha kwamba chanzo cha dunia kipo?MImi nakuambia chanzo cha mzizi wa mambo hakikutokea popote bali kipo daima.
Ndio Dunia hii, IPO MILELE.KWa sababu kama unaliza wapi kimetoka je huko kilikotoka si bado kilikuepo huko huko ndio kikaja hapo ambapo wewe unadhani kipo.
Moja nakujibu kwamba hakikutoka sehemu bali kipo milele.
Lakini pili hata kama unasema kimetoka wapi,je huko kilikotoka si bado kilikuepo,sasa kwa nini kisiwe na haki ya kuitwa chanzo ?
Kitu kama kimetokea kutoka sehemu ambayo hatuijui hiyo maana yake kitu hicho kilikuepo bado lakini kikikuwa hakijatokea.
Hivyo unapohoji kuhusu chanzo cha mambo yote kimetoka wapi kwani huko ambakaao kilikuwa si bado kilikuwepo huko kabla hakijaja ?
Sasa huoni hapo bado unathibitisha kilikuwepo lakini kilikuwa hakijaja bado ?
Yaani wewe UNAAMINI KWAMBA DUNIA IPO,UNAAMINI KWAMBA DUNIA HAINA CHANZO.
unaposema unaamini maana yake hiyo nayo ni imani.
Kwa maana hiyo na wewe umeangukia kwenye imani ambayo kuna maswali mengi tu haiwezi kujibu.
Ni sawa kusema tu hivyo kwa imani yao.Kama unakubali kwamba dunia haina mwanzo wala mwisho maana yake na wale wanaosema Mungu ameumba Dunia wanasema Mungu hana mwanzo wala mwisho.
Mungu huyo ni nini?Kwa maana hiyo kama unakubali dunia kwamba haina mwanzo wala wmsiho BILA SHAKA UNAWAKUBALIA WANAOSEMA MUNGU HANA MWANZO WALA MWISHO.
Nikikwambia Aliens 👽 ndio waumbaji wa dunia utakubali?Lengo sio wewe uamini bali lengo ni kukuomnesha wewe kwamba HOJA ZA WENZIO ZINA MAKE SENSE PIA.
Tumeumbwa ili tumfahamu yeye na uwezo wake, Hayo ya alitokea wapi anayajua yeye mwenyewe.Unakubali kwamba Nothing haiwezi kuleta Something,
Mungu huyo aliwezaje kuleta something (Dunia) from nothing?
Mungu huyo kabla ya kuumba Dunia alikuwa wapi?
Alikuwa akifanya nini?
Na huko alikokuwa kulitoka wapi?
Eleza, fafanua na thibitisha.
Huu ulazima unatoka wapi?
Kama chanzo lazima kiwepo kwa kila kitu, Hata chanzo chenyewe kitahitaji chanzo chake, Na chanzo chake kitahitaji chanzo chake.
Hivyo hivyo kwa vyanzo endless.
Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe tu from nothing.
Maana kitavuruga muundo mzima wa ulazima awepo chanzo.
Rejea Point yako kwamba, Nothing haiwezi kuleta something.
Hata huyo Mungu wako hawezi kuleta something(Dunia) from nothing.
Mungu huyo chanzo chake ni kipi?
Kama akili zetu haziwezi kung'amua zaidi ya hapo, Ulifahamu vipi na unathibitishaje Mungu aliumba dunia from nothing?
Au ni mawazo na imani yako ya kufikirika tu?
Kwani huyo muumbaji wakati anaumba alikuwa hajijui uwezo wake?Tumeumbwa ili tumfahamu yeye na uwezo wake, Hayo ya alitokea wapi anayajua yeye mwenyewe.
Kwamba hii ndo purpose ya wewe kuumbwa!? And then what baada ya kumjua yeye na uwezo wake!Tumeumbwa ili tumfahamu yeye na uwezo wake, Hayo ya alitokea wapi anayajua yeye mwenyewe.
Kwa akili zako na ukomo wa ufahamu wako ni lazima uwe na hayo maswali.Kwani huyo muumbaji wakati anaumba alikuwa hajijui uwezo wake?
Hadi atake sisi binadamu tumjue na tufahamu uwezo wake?
Yeye huyo muumbaji hajui kwamba ana uwezo?
Sisi binadamu tukishajua uwezo wa huyo muumbaji inamsaidia nini?
Naishi maisha safi, Naenjoy dunia na vilivyomo, Kubwa zaidi nahisi amani ya moyo kwa kiwango kikubwa..Kwamba hii ndo purpose ya wewe kuumbwa!? And then what baada ya kumjua yeye na uwezo wake!
Zilitoka kwa Mungu kwani ndio chanzo cha Mambo yote.Malighafi hizo za kuumba Dunia zilitoka wapi?
Hajatokea popote alikuwepo enzi na enzi.Aliyetumia malighafi hizo kuumba Dunia alitokea wapi?
Mungu ndio aliumba.Huko zilipo kuwepo malighafi za kuumba Dunia kuliumbwa na nani?
Kwa nini wewe unalazimisha Dunia isiwe na chanzo ?Sasa mbona unalazimisha dunia iwe na chanzo?
Na sio lazima kwamba kila kitu kisiwe na chanzo,hiyo maana yake ni kwamba Dunia ina chanzo na iliumbwa.Kama si lazima kila kitu kiwe na chanzo, Hata dunia si lazima iwe na chanzo.
Hakuna ulazima wa kwamba Dunia haikuumbwa,ulazima wa kulazimisba hivyo haupo.Dunia Haijaumbwa na yeyote yule.
Maana hakuna ulazima wa kwamba Dunia iliumbwa.
CHanzo cha Dunia(Mungu) kina chanzo,kwa sababu hakuna hoja ya kuonesha kwamba uchanzo wa Dunia unahukumu uvyanzo wa vitu vingine.Ni fikra zangu tu, Maana huwezi kusema eti Dunia ina chanzo Halafu useme chanzo cha dunia hakina chanzo
hakuna ulazima wa chanzo cha Dunia kwamba chanzo hiko kifuate utaratibu wa hiyo Dunia.Halafu uki ulizwa chanzo cha "chanzo cha dunia" useme kilikuwepo tu.
Kwamba chanzo hicho cha Dunia kipo tu from nothing.
Haya maswali yako KAMA HAYAJAJIBIKA UNADHANI YANAKANUSHA KWAMBA BINADAMU WA KWANZA ALIKUEPO ?Binadamu huyo wa kwanza aliyefungua dimba, Alikuwa wapi?
Huko alikokuwa kabla ya kufungua dimba, kuliumbwa na nani?
Binadamu huyo wa kwanza alikuwa mzungu, mwafrika, muhindi, Mfilipino au muarabu?
Kama alikuwa mzungu, binadamu weusi tulitokea vipi?
Kama alikuwa mwafrika, binadamu wazungu walitokea vipi?
Kama alikuwa mwarabu, binadamu wafilipino, wahindi walitokea vipi?
Kutokujua kwangu majibu ya maswali haya kunakanushaje uhalisia wa uwepo wa binadamu wa kwanza ?Binadamu huyo wa kwanza, alikuwa wa rangi gani?
Na muonekano upi?
Kwa hiyo unakubali kwamba binadamu wa kwanza alikuepo maana lazima atakuwa alikuwa nashikika kama sisi,alikiwa anaonekana kama sisi na pia ikuwa anasikika kama sisi.Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna moja ya kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika.
Js wale ambao wanaoamini Mungu wakisema Mungu hana mwanzo wala mwisho alikuepo enzi na enzi.Mimi nilisema hivi, Dunia haina mwanzo wala mwisho.
Mungu ndio chanzo cha kuumba Dunia.Unaweza kuthibitisha kwamba chanzo cha dunia kipo?
Basi ujue tu kwamba na ile dhana ni ya uhakika ya kwamba Mungu kuwa alikuepo yupo na ataendelea kuwepo.Ndio Dunia hii, IPO MILELE.
Dunia haikutoka sehemu yeyote ile.
Dunia ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo
Kwako wewe ni dhana ya kufikirika ila hilo ni jambo halisi.Lakini Mungu huyo anabaki dhana ya kufikirika tu.
Kutokujua muonekano wa mungu bado sio hoja ya kwamba Mungu huyo hayupo..Kama Mungu huyo yupo kwenye uhalisia thibitisha na eleza Mungu huyo ana muonekano gani?
Kuwa ameumba Dunia ndio kujulikana kwenyewe huko.just simple.Sio kusema tu Mungu aliumba dunia halafu huyo Mungu hajulikani ni kitu gani hasa.
Ni sawa na mimi nikwambie Infropreneur ameumba Dunia na vyote vilivyomo.
Uta amini na kukubali hivyo kwamba Infropreneur ndiye Muumbaji wa dunia?
Au utataka kujua na kufahamu huyo infropreneur ni nani haswa?
Wameshatanguliwa na Mungu hivyo Uongo huo hauwezi kumake sense kabisa.Nikikwambia Aliens 👽 ndio waumbaji wa dunia utakubali?
Je ita make sense kwako?
Kutokujua mwanzo wa Dunia ni upi si kigezo cha kusema kwamba Mungu ndiye Muumbaji.Zilitoka kwa Mungu kwani ndio chanzo cha Mambo yote.
Hajatokea popote alikuwepo enzi na enzi.
Kwa sababu hata huko ambako alikuepo kabla ya kutokea maana yake bado alikuepo.
Mungu ndio aliumba.
Kwa nini wewe unalazimisha Dunia isiwe na chanzo ?
Na sio lazima kwamba kila kitu kisiwe na chanzo,hiyo maana yake ni kwamba Dunia ina chanzo na iliumbwa.
Hakuna ulazima wa kwamba Dunia haikuumbwa,ulazima wa kulazimisba hivyo haupo.
CHanzo cha Dunia(Mungu) kina chanzo,kwa sababu hakuna hoja ya kuonesha kwamba uchanzo wa Dunia unahukumu uvyanzo wa vitu vingine.
hakuna ulazima wa chanzo cha Dunia kwamba chanzo hiko kifuate utaratibu wa hiyo Dunia.
Haya maswali yako KAMA HAYAJAJIBIKA UNADHANI YANAKANUSHA KWAMBA BINADAMU WA KWANZA ALIKUEPO ?
Mimi sina majibu ya hayo maswali lakini KUTOKUWA KWANGU NA MAJIBU HAKUONDOI UHALISIA WA KWAMBA BINADAMU WA KWANZA ALIKUEPO.
kama haukubaliani na mimi naomba tuelezee namna gani kutokuwa kwangu na hayo majibu yanakanusha uwepo wa binadamu wa kwanza.
Kutokujua kwangu majibu ya maswali haya kunakanushaje uhalisia wa uwepo wa binadamu wa kwanza ?
Kwa hiyo unakubali kwamba binadamu wa kwanza alikuepo maana lazima atakuwa alikuwa nashikika kama sisi,alikiwa anaonekana kama sisi na pia ikuwa anasikika kama sisi.
Hivyo unakubali uwepo wa binadamu wa kwanza bila shaka (hili swali sio mtego usikaze shingo kukataa vitu vya wazi).
Js wale ambao wanaoamini Mungu wakisema Mungu hana mwanzo wala mwisho alikuepo enzi na enzi.
Soo hiko kitendo cha kitu kutokuwa na mwanzo wala mwisho kama tulivyoona wewe unaamini kuhusu Dunia kwamba haina mwanzo wala mwisho kwa mujibu wa imani YAKO hatukupingi.
Hivyo na wale wanaoamini Mungu kwa mujibu wa imani yao kwa kutumia hii concept ya kwamba inawezekana kitu kikawa hakina mwanzo wala mwisho maana yake tunakubali kwamba nao hoja yao ina make sense kama hoja yako ya Dunia kwamba hiana mwanzo wala mwisho ?
Mungu ndio chanzo cha kuumba Dunia.
Mungu anathibitika kwa vile alivyoviumba.
Leo kila unachokiona machoni mwako lazima kuna ambaye alikitengeneza hivyo.
Basi hata Dunia kuna ambaye aliidesign ikawa hivyo ilivyo.
Basi ujue tu kwamba na ile dhana ni ya uhakika ya kwamba Mungu kuwa alikuepo yupo na ataendelea kuwepo.
Kama tutafuata mfano wako wa Dunia badi tunakubaliana kwamba Hata Mungu hakuumbwa ?
Kwako wewe ni dhana ya kufikirika ila hilo ni jambo halisi.
Kutokujua muonekano wa mungu bado sio hoja ya kwamba Mungu huyo hayupo..
Hakuna ambaye amewahi kumuona Mungu hata hao mitume na manabii.
Kuwa ameumba Dunia ndio kujulikana kwenyewe huko.just simple.
Leo tukisema mark zucker ni nani basi moja ya utambulisho wakw tutasema ni yule aliyeunda facebook.
So Mungu ni nani basi katika kumtambukisha tupo sahihi kusema kwamba ni yule aliyeumba DUNIA.
Wameshatanguliwa na Mungu hivyo Uongo huo hauwezi kumake sense kabisa.
Ni wewe ndio hujui mwanzo wa Dunia.Kutokujua mwanzo wa Dunia ni upi si kigezo cha kusema kwamba Mungu ndiye Muumbaji.
Hapa kila mtu anatoa mawazo na fikra zake hata qeqe mwngi ukiyoeleza ni mawqzo na fikra zako mkuu.Hayo ni mawazo na fikra zako tu.
Mkuu unathibitisha vipi Mungu ambaye Hujawahi kumuona na wala humjui ndiye Muumbaji wa dunia?Ni wewe ndio hujui mwanzo wa Dunia.
Wewe ambaye hujui mwanzo wa Dunia ndio kwako haitakiwi iwe kigezo cha kwamba Mungu ndio muumbaji.
Ila kwa sisi tunaojua mwanzo wa Dunia kwamba imeumbwa basi tunacho kigezo cha KUSEMA kwamba mungu ndio kaiumba mkuu.
Hapa kila mtu anatoa mawazo na fikra zake hata qeqe mwngi ukiyoeleza ni mawqzo na fikra zako mkuu.
so hoja sio hayo mawazo na fikra bali hoja ni Nguvu ya mawazo na hizo fikra katika kuzijadili.
Ni kweli kabisa ndio maana hata viumbe vidogo vidogo navyo vinajiona ni vikubwa na vyenye maarifa katika mazingira yao.Nikiangalia maumbile ya binadamu na jinsi anavyoishi kwenye hii dunia, najiuliza imekuwaje amekuwa alivyo na jinsi hakuna kiumbe kingine kinachofanana na Binadamu kiutendaji wake.
Ukiangalia Kwa mfano, hivi kweli hakuna mbunifu wa binadamu ambaye ndiye aliyebuni uke ukae kwa mfumo ambao unaweza kuingiliwa na uume.
Hakuna mbunifu aliyebuni mji wa uzazi Kwa mwanamke na kuweka mbegu Kwa mwanaume? Kisha ukifanyika uingilianaji mimba inatungwa.
Baada ya binadamu kuzaliwa ukiangalia kwa makini unaanza kujiuliza, hakuna kweli mbunifu aliyejua kuwa binadamu Ili aishi atahitaji kula hivyo akamuumba akiwa na mdomo?
Mfumo wa kula mpaka kupata haja hakuna mbunifu wake kweli? Yaani mfumo wa mmeng'enyo wa chakula upo tu Wala haukukusudiwa kuwepo ila upo tu. Kweli?
Fikiria macho, masikio, ngozi, na viungo vingine vya binadamu vinavyofanya kazi. Waza kuwa hapa unaposoma hii mada macho, masikio yako yaache kufanya kazi itakuwaje?
Bado nawaza imekuwaje binadamu hana Mwanzo Wala mwisho??
mkuu kuona sio njia pekee ya kuthibitisha uwepo wa Kitu.Mkuu unathibitisha vipi Mungu ambaye Hujawahi kumuona
mkuu mimi namjua muumbaji wa Dunia kwamba ni Mungu.wala humjui ndiye Muumbaji wa dunia?
Hata wewe kusema dunia ipo tu sio lazima iwe na chanzo ni fikra zako tuKutokujua mwanzo wa Dunia ni upi si kigezo cha kusema kwamba Mungu ndiye Muumbaji.
Hayo ni mawazo na fikra zako tu.
Angalau dunia ipo inaonekana.Hata wewe kusema dunia ipo tu sio lazima iwe na chanzo ni fikra zako tu
Chanzo cha binadamu si manyani?Hii ndiyo nadharia inayosemwa inatakiwa kukubaliwa na kila binadamu na ndiyo nadharia inayoitwa na baadhi ya watu kuwa ni kamilifu na timilifu.
Kuwa hakuna ajue wewe binadamu umetokea wapi na kwa nini upo ivo ulivo. Kuwa Binadamu hana kusudio lolote lile la kuwepo kwake duniani.
Na haileweki imekuwaje binadamu kuna mambo anayoyaita mema na mengine anayaita mabaya.
Hitimisho ni kuwa binadamu ni kiumbe kisichoelezeka.
BInafsi nikiweka mbali Dini na mafundisho yake basi bado akili yangu inaniambia kwamba yapo makusudio ya binadamu hapa Duniani.Hii ndiyo nadharia inayosemwa inatakiwa kukubaliwa na kila binadamu na ndiyo nadharia inayoitwa na baadhi ya watu kuwa ni kamilifu na timilifu.
Kuwa hakuna ajue wewe binadamu umetokea wapi na kwa nini upo ivo ulivo. Kuwa Binadamu hana kusudio lolote lile la kuwepo kwake duniani.
Na haileweki imekuwaje binadamu kuna mambo anayoyaita mema na mengine anayaita mabaya.
Hitimisho ni kuwa binadamu ni kiumbe kisichoelezeka.