Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Mambo ya kiroho watu wanataka yajibiwe kiakili.
Mkuu Blood of Jesus mara nyingi sana huwa napenda kusema IMANI HAITAKI MATUMIZI SAHIHI YA AKILI
Imani ni sawa na kuwa zuzu wewe kazi yako ni kuamini tu
Na ndio maana akina Kinwetere na Mackenzie wanau sana mazuzu wasiotaka kutumia akili

Yaani imani hataka kama haipo wala haiwezekani kuwepo unachotakiwa ni kuamini tu na sio kutumia akili (Logic) kuchakata ukweli wake.........Sio watu wote wanaweza kukubaliana na jambo hili

We unaambiwa eti Nuhu alitengeneza Safina ikajaza viumbe wote waume na wake duniani halafu Dunia yote ikajaa maji..... hivi unawezaje kuweka viumbe wote duniani kwenye safina kwa vile vipimo vilivyotajwa kwenye “Maneno matakatifu ya Mungu”(Bibilia)? Unawalisha nini, kwanza aliwakusanyaje?
Hivi Mungu alishindwa ku deal na wale wahuni wa mji ule hadi aue viumbe wengine wote kwa mafuriko?
Ukihoji unaambiwa ni mambo ya “kiroho”

Watu wa imani mnashida sana aisee
Mkiulizwa maswali magumu makimbilia kujificha ROHONI 😂😂
 
Hili bandiko lilinipa msisimuko sana kwa wachagiaji nimewasifu wale wasioamini kwa ujuzi wao wa kuhoji!?
 
Mnaotaka kumjua mungu bali Mungu ni wewe mwenyewe

Na sio kila kitu kiwe na mwanzo na endapo utataka kujua kila kitu mwanzo wake hapo unakuwa umejifunga katka kanuni maana ukishapata mwanzo wa hicho kitu utaulizwa nani kakileta ukishamtaja aliekileta utaulizwa huyo aliekileta nae katokea wapi na kaletwa na nani itakuja series ndefu up to infity unaona ugumu ukisema kuna Mungu au binadamu tumetoka wapi
 
Back
Top Bottom