Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Mkuu Blood of Jesus mara nyingi sana huwa napenda kusema IMANI HAITAKI MATUMIZI SAHIHI YA AKILIMambo ya kiroho watu wanataka yajibiwe kiakili.
Imani ni sawa na kuwa zuzu wewe kazi yako ni kuamini tu
Na ndio maana akina Kinwetere na Mackenzie wanau sana mazuzu wasiotaka kutumia akili
Yaani imani hataka kama haipo wala haiwezekani kuwepo unachotakiwa ni kuamini tu na sio kutumia akili (Logic) kuchakata ukweli wake.........Sio watu wote wanaweza kukubaliana na jambo hili
We unaambiwa eti Nuhu alitengeneza Safina ikajaza viumbe wote waume na wake duniani halafu Dunia yote ikajaa maji..... hivi unawezaje kuweka viumbe wote duniani kwenye safina kwa vile vipimo vilivyotajwa kwenye “Maneno matakatifu ya Mungu”(Bibilia)? Unawalisha nini, kwanza aliwakusanyaje?
Hivi Mungu alishindwa ku deal na wale wahuni wa mji ule hadi aue viumbe wengine wote kwa mafuriko?
Ukihoji unaambiwa ni mambo ya “kiroho”
Watu wa imani mnashida sana aisee
Mkiulizwa maswali magumu makimbilia kujificha ROHONI 😂😂