Binadamu kuishi milele - Kama zoezi la kuunganisha ubongo na mfumo wa komputa litakamilika

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Je utamani kuishi milele?. Huko nchini Marekani mjasiriamali mmoja wa masuala ya teknolojia, Eloni Musk anadhanii binadamu huwenda wakaepuka kifo kutokana na ujio wa teknolojia mbalimbali duniani.

Mwanasayansi huyo kwa sasa anashughulikia teknolojia ambayo itaunganisha mfumo wa ubongo wa binadamu na komputa hali ambayo itazuia miili ya binadamu kutozeeka na kufungua miingiliano na kidigitali daima.
Musk amedai mfumo huo utaweza kumsaidia binadamu kuishi bila kuzeeka na kuunganisha miili ya binadamu na mifumo ya kigitali.

Ubongo wa binadamu una nyaya 68 mtandao ambao unaweza kuunganisha mfumo wa ubongo wa binadamu na wakomputa.

Pia wamedai mfumo huo unaweza kuamisha akili za binadamu na kuzipeleka kwenye mfumo wa komputa lakini wadau wa mambo wamedai mfumo huo hauwezi kufanya kazi kwa kuwa ubongo wa binadamu una siri nyingi.

Mfumo huo ambao umepewa jina transhumanism, umeonekana kupingwa na wadau wengi wa sayansi kwa madai akili za binadamu haziwezi kuamishika.

Source: BBC

Screenshot_20180926-202830.jpeg
 
View attachment 878786
Elon Reeve Musk ni CEO na Co-founder wa SpaceX, Tesla Inc na PayPal kaingiaje kwenye hizi mambo za kuishi milele. Au Elon yupi?
 
Je utamani kuishi milele?. Huko nchini Marekani mjasiriamali mmoja wa masuala ya teknolojia, Eloni Musk anadhanii binadamu huwenda wakaepuka kifo kutokana na ujio wa teknolojia mbalimbali duniani.

Mwanasayansi huyo kwa sasa anashughulikia teknolojia ambayo itaunganisha mfumo wa ubongo wa binadamu na komputa hali ambayo itazuia miili ya binadamu kutozeeka na kufungua miingiliano na kidigitali daima.
Musk amedai mfumo huo utaweza kumsaidia binadamu kuishi bila kuzeeka na kuunganisha miili ya binadamu na mifumo ya kigitali.

Ubongo wa binadamu una nyaya 68 mtandao ambao unaweza kuunganisha mfumo wa ubongo wa binadamu na wakomputa.

Pia wamedai mfumo huo unaweza kuamisha akili za binadamu na kuzipeleka kwenye mfumo wa komputa lakini wadau wa mambo wamedai mfumo huo hauwezi kufanya kazi kwa kuwa ubongo wa binadamu una siri nyingi.

Mfumo huo ambao umepewa jina transhumanism, umeonekana kupingwa na wadau wengi wa sayansi kwa madai akili za binadamu haziwezi kuamishika.

Source: BBC

View attachment 878786
Kufa kutakua kwa matukio ya ajari tu na majanga asilia
 
Hii inashawishi.. Ubongo kuunganishwa na Kompyuta kunaweza kuleta mapinduzi makubwa sana katika ishu za kibinadamu.

Tatizo side effects zitakuwa nyingi sana. Najaribu kufikiria utundu na uhalifu wa kimtandao ufanyike kwenye database yenye brains za watu!
 
Wajaribu kwa Manyani kwanza.
sawa mkuu
 
tatizo huwa wanatoa data za uongo na sijui wanafaidika nini, projects nyingi alizodhamini huyo mzee zilifeli ila mpaka leo watu wengi wanaamini zilifanikiwa kea kuwa waliamua kutengeneza sinema za kutudanganya.
Btw, ashukuriwe kwa kudhamini pia project mbali mbali zilizofanikiwa na zinatumika mpaka leo kimanufaa.
Ila hilo la binadamu kuto kufa miaka 100 hawatakuja kuweza kabla wamue tu kutidanganya kama walivyozoea kila wakiona wameshindwa na hawawezi tena kuelendelea na hiyo project
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Kina baadhi ya vitu ambavyo mwanadamu hatoweza kuvivumbua,mfano,siri ya kifo.Vitu hivyo ni siri ya Mungu pekee
Biblia inasema"kila mwanadamu ni lazima age,na baada ya kifo ni hukumu"
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Back
Top Bottom