Binadamu kuishi milele - Kama zoezi la kuunganisha ubongo na mfumo wa komputa litakamilika

Binadamu kuishi milele - Kama zoezi la kuunganisha ubongo na mfumo wa komputa litakamilika

Kina baadhi ya vitu ambavyo mwanadamu hatoweza kuvivumbua,mfano,siri ya kifo.Vitu hivyo ni siri ya Mungu pekee
Biblia inasema"kila mwanadamu ni lazima age,na baada ya kifo ni hukumu"
Mambo ya imani peleka kanisani!
 
Nimekupata ndugu,lakini kumbuka mwanadamu anamwisho wake Kwa kila afanyacho,pia ili iwepo tofauti kati yake na Mungu,ni lazima kuwe na vitu vinavyowatofautisha.
Nimekwambia mambo ya imani peleka kanisani husikii?

Nani alikuthibitishia kuwa kuna Mungu?
 
Dah kuishi milele upande mmoja ni raha lakini upande mwingine sio mchongo kabisa..

Imagine marais kama Kabila ,mu7 ,jpm ,kagame wangejua wataishi milele hivi wangewaza hata kuachia madaraka..

Atleast binadamu tuna hofu kidogo sababu tunajua haya maisha tunapita tu
 
Elon Reeve Musk ni CEO na Co-founder wa SpaceX, Tesla Inc na PayPal kaingiaje kwenye hizi mambo za kuishi milele. Au Elon yupi?
Kwani hawezi kufanya mambo mengine nje ya maswala la spaceX?
 
kuna yule daktari muitaliano aliyetaka kufanya operation ya kuhamisha kichwa kutoka kwa mtu hai kwenda kwa mfu aliishia wapi
 
Huyo huyo mvuta ndumu!
Nyie si mnafungana magerazani kwa ajili ya mjani!!?
 
Kina baadhi ya vitu ambavyo mwanadamu hatoweza kuvivumbua,mfano,siri ya kifo.Vitu hivyo ni siri ya Mungu pekee
Biblia inasema"kila mwanadamu ni lazima age,na baada ya kifo ni hukumu"
Mwanadamu ni nani hata ajue mipango ya Mungu?

Hafanyi siri bali sisi sio programmer wake
 
Ikiwa kufa nako kuna faida basi hiyo tenknolojia haina maana.
 
Katika dunia hii kwa sasa hakuna genius anaemfikia Elon Musk.

Jamaa ana ideas nyingi sana za ajabu na cha ajabu anazifanyia kazi zinaonekana zinaweza kuwa viable.

Kumbuka ana project ya "Mars Colonization" itakayowawezesha wanadamu kuenda kuishi sayari ya Mars na kuiacha dunia inayoathiriwa kwa kasi na Global Warming.


SpaceX (expedition base)

Main article: SpaceX Mars base

As of 2019, SpaceX owner Elon Musk is funding and developing a series of Mars-bound cargo flights with the BFR rocket and spaceship system as early as 2022, followed by the first crewed flight to Mars on the next launch window in 2024.[5][6][7] During the first phase, the goal will be to launch several BFRs to transport and assemble a methane/oxygen propellant plant and to build up a base in preparation for an expanded surface presence.[8] A successful colonization would ultimately involve many more economic actors—whether individuals, companies, or governments—to facilitate the growth of the human presence on Mars over many decades.[9][10][11]
 
Back
Top Bottom