Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Hahahaaa kweli kabisa mkuuYani mkuu Haya mambo wenzetu walifanyaga karne ya 18 uko lakini sisi ndo tunakomaa nayo karne hii ya 21..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa kweli kabisa mkuuYani mkuu Haya mambo wenzetu walifanyaga karne ya 18 uko lakini sisi ndo tunakomaa nayo karne hii ya 21..
Hizi ndizo akili ambazo sisi waafrika tulipewa na Mungu...Akili zinazochoka mapema sana kufikiri!Jambo hili haliwezekani.
Wafanye mengine tu.
Anyway, wakifanikiwa mtanitag wakuu
tena usipo mchangia mtu kinachofata ni bifu kubwatunawaza kufunga harusi za kuchangisha mchango
Ndoto yake IPO siku itatimia. Hata akina Galileo Galilei walikuja kuombwa misamaha na waliowapinga tayari wakiwa wamekufa.Jambo hili haliwezekani.
Wafanye mengine tu.
Anyway, wakifanikiwa mtanitag wakuu
Binadamu atafanya mengi,mazuri ya kustaajibisha.Hizi ndizo akili ambazo sisi waafrika tulipewa na Mungu...Akili zinazochoka mapema sana kufikiri!
Hakuna jambo lisiliwezekana chini ya jua. Ni suala tu la kuruhusu akili kufikiri na kulipa muda.
Unaposema,"Haliwezekani na wafanye mengine" hii hoja yako unaitoa kama vile umeshafanya utafiti na una majibu yake!
Hizi ndio aina za hoja tunazopeana sisi kwa sisi na matokeo yake tunezidi kudidimia kila kukicha. Waafrika bhana!
Umeilewa mada??Binadamu atafanya mengi,mazuri ya kustaajibisha.
Ila kuzuia kifo hawezi.
Kama wewe una akili haswa umefanya nini?
Usijtoe ufahamu mkuu, hakuna na hatatokea wa kuzuia kifo.
Punguzeni kuwaamini sana wazungu,narudia tena... Wakifanikiwa mtanitag...
Wakati unaninukuu mwanzo uliona kuwa sikuelewa Mada au?Umeilewa mada??
Inatosha!Wakati unaninukuu mwanzo uliona kuwa sikuelewa Mada au?
Huo mfumo usije huku kwanza. Ungojee kwanza mpaka baade kidogoISIFANIKIWE MAANA AKINA JIWE NI TAABU SNA.
jamaa ana project ya tesla cars gari zinazotumia umeme project imefanikiwaKatika dunia hii kwa sasa hakuna genius anaemfikia Elon Musk.
Jamaa ana ideas nyingi sana za ajabu na cha ajabu anazifanyia kazi zinaonekana zinaweza kuwa viable.
Kumbuka ana project ya "Mars Colonization" itakayowawezesha wanadamu kuenda kuishi sayari ya Mars na kuiacha dunia inayoathiriwa kwa kasi na Global Warming.
SpaceX (expedition base)
Main article: SpaceX Mars base
As of 2019, SpaceX owner Elon Musk is funding and developing a series of Mars-bound cargo flights with the BFR rocket and spaceship system as early as 2022, followed by the first crewed flight to Mars on the next launch window in 2024.[5][6][7] During the first phase, the goal will be to launch several BFRs to transport and assemble a methane/oxygen propellant plant and to build up a base in preparation for an expanded surface presence.[8] A successful colonization would ultimately involve many more economic actors—whether individuals, companies, or governments—to facilitate the growth of the human presence on Mars over many decades.[9][10][11]
hizo dna na proteins zinaweza kuwa re engineered na kuondoa aging process. kumbuka tayari kuna techologia ya dna editing ambapo inaweza kuwa implement katika lowest level of human form. yaani pale ambapo yai la kike na la kiume yanapoungana kutengeneza binadamu hasa katika level ile pale binadamu anakuwa na dna chache ambazo zinaweza kuwa edited faster then akikuwa anakuwa na edited traits na generation yake yote inakuwa ni reengineered generationLinawezekana in theory lakin practical bado hajawa implemented. Anacho jaribu kukisema elon musk ni kutransfer human conciousness kwenda kwenye computer.
Kuhusu suala la kuzeeka hapo ndio itakuwa ngumu zaidi. Maana ni dna na protein maalum ndio huzeesha mwili. Labda acheleweshe aging process.
Lakin pina kuna possibility kukawa na artificial body ambayo inaweza kuwa ni robot na ikawekewa ubongo wa binadam.
Angalia movie moja inaitwa "ghost in the shell"
Utaelewa hii concept
Tutakutag ukiwa mbingun au jehanamJambo hili haliwezekani.
Wafanye mengine tu.
Anyway, wakifanikiwa mtanitag wakuu