Katika dunia hii kwa sasa hakuna genius anaemfikia Elon Musk.
Jamaa ana ideas nyingi sana za ajabu na cha ajabu anazifanyia kazi zinaonekana zinaweza kuwa viable.
Kumbuka ana project ya "Mars Colonization" itakayowawezesha wanadamu kuenda kuishi sayari ya Mars na kuiacha dunia inayoathiriwa kwa kasi na Global Warming.
SpaceX (expedition base)
Main article: SpaceX Mars base
As of 2019, SpaceX owner Elon Musk is funding and developing a series of Mars-bound cargo flights with the BFR rocket and spaceship system as early as 2022, followed by the first crewed flight to Mars on the next launch window in 2024.[5][6][7] During the first phase, the goal will be to launch several BFRs to transport and assemble a methane/oxygen propellant plant and to build up a base in preparation for an expanded surface presence.[8] A successful colonization would ultimately involve many more economic actors—whether individuals, companies, or governments—to facilitate the growth of the human presence on Mars over many decades.[9][10][11]
jamaa ana project ya tesla cars gari zinazotumia umeme project imefanikiwa
project ya kwenda mars kuweka colony imefanikiwa kiasi chake kwani ameweza kutengengeneza rockets zinazoweza kuwa reusable yaani inaweza kuwa launched ikaenda halafu ikarudi tena kwa matumizi ya baadae........ hii imeibua fursa ya kuanzisha fursa ya usafirishaji ambapo binadamu ataweza kusafiri dunia nzima kwa muda usiozidi nusu saa tu
ana project ya solar wall na solar roof hii nayo imefanikiwa
ana project ya hyperloop yaani ni prpject ya usafiri wa haraka sana kuwahi kutokea
ana project ya neuralink hii ni ya kuunganisha mfumo wa ubongo na akili kwenye mfumo wa kompyuta ....... nina imani itafanikiwa kwani ubongo unatumia principle za umeme kufanya computational mechanics
project ya paypal imefanikiwa kwani watu wameweza kutuma na kupokea hela kwa njia ya email
kabla ya hapo alikuwa na project ya kutengeneza internet currency ambayo haitakuwa controlled na goverment.hakuendelea nayo but ni bitcoin ya sasa hivi so idea yake imekuwa implememnted na kufanikiwa
huyu eleon musk ni msouth africa original yake hapo kati amefanya mengi akiwa na ukri mdogo alll in all yanafanikiwa
but habari za chini ya kapet ni kwamba anavuta bangi ndo maana anapta craziest ideas ever to be implemented
mi mwenyew nina craziest idea ambayo ninataka kuimplement ambayo ni kuvuna umeme wa radi au cosmic rays kwa lugha ya kitaalamu ambapo kutakuwa hakuna haja ya kutumia nyanya kusafirisha umeme kutoka sehemu A Kwenda sehemu B kwani kila nyumba inafugwa device ndogo tu ukubwa wa mita ya umeme ambayo itakuwa na uwezo wa kusuply umeme wa kutosha tu. nitakuwa na kazi ya kwashawishi watu waachane na umeme wa tanesco wahamie kwenye umeme wa radi kwani gharama itakuwa ndogo sana just you buy a device and little mainatainance fee