Sio makosa yako, kumbuka kuwa Mungu anajua kila kitu, alishakuseti uwe vile.Ukipita Mitandaoni utakuta Kwamba Kuna Mijadala Mingi inayohusu Mungu kwamba kama Anatupenda Kwanini Tunateseka ,, oooh kwanini Kuna Mafuriko...oooh kwanini WatotUlimuMara.. a na Njaa.. Oooh kwanini Vita Haviishi.. Haya Yote Hayana Tofauti na Kumlaumu Mungu kwa Makosa Yetu Wenyewe
Mwanzo 2:16-17
“Mwenyezi-Mungu alimwamuru huyo mwanamume, “Waweza kula matunda ya mti wowote katika bustani; lakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya, usile, maana siku utakapokula matunda ya mti huo, hakika utakufa.””
Neno HAKIKA UTAKUFA limebeba Maana Kubwa sana. Kumbuka Hakukuambia utakufa Ukiwa umelala Kitandani. UTAKUFA vifo vya AINA yote (VITA, NJAA, MAGONJWA, KUJIUA , MAFURIKO n.k) Hivyo Vyote ni Vifo
Sasa Unamshangaa Mtu anasema Kama Mungu anatupenda sana Kwanini Tunapatwa na Magonjwa, Vita , Njaa inaua watoto n.k. Kwani wakati anakuambia Wewe Usile maana Yake Alikupa Uwezo wa Kuchagua MEMA na MABAYA na uliishi Katika Kutokuwa na Magonjwa wala Vifo bustanini Mwake toka Mwanzo ila Kwa Vile ulichagua MABAYA usimlaumu Yeye tena.
Wasioamini Wengi wanasema, wanaoamini wanasema Mungu ni UPENDO ..je! Upendo huo ni upi mbona Tunaangaika Duniani. MNaanhaika Ndio maana Hukufuata Ulichoambiwa na Baba yako kabla, kwa Wenye Watoto wadogo tunajua unaweza Mkataza kitu maana Unajua Madhara yake baadae. Je! Akipatwa na Madhara hayo uliyomkataza Ina maanisha Wewe MZAZI huna UPENDO na Mtoto huyo? Jibu ni Hapana Utampenda Daima hata kama amekosea na Ulimuonya, hivyo Hivyo Kwa Mungu Wetu anatupenda Daima na Ametuonya Sana Ila Sisi Tunamlaumu kila Mara
Sasa Neema Imekuja Kwetu Tena Na Neema Hiyo ni Hii YESU alipokuja Ametupa Nafasi Ya Kurudi tena Katika Neema Ile Ile ya Bustani ya EDENI.Tuliyokuwa nayo Mwanzoni. Tulifanya KOSA la Kula Tunda Lile na Laana Hiyo Imekuja Kwetu alipokufa Msalabani Alichukua Dhambi Yetu hii na Kuifia Msalabani
Ndio maana Katika Mahubiri yake Alikiwa anasisitiza UZIMA WA MILELE , UZIMA WA MILELE maana Tulipoteza uzima Huo Mwanzoni
Mungu angetuacha Tufe tu maana Hana Cha Kupoteza ila Imeandikwa KWA MAANA MUNGU Aliupenda Ulimwengu Mpaka akamtoa Mwanae wa Pekee ili.Kila Amwaminie ASIPOTEE basi AWE NA UZIMA WA MILELE
Kama Mungu alijua hapendi mabaya yafanyike, kwa nini aliruhusu mabaya yawepo?
Kama huyo Mungu hakupenda na hapendi binadamu afanye mabaya, kwa nini aliweka uwezo wa binadamu kuchagua kutenda mabaya?
Kama huyo Mungu hapendi mabaya yafanyike, kwa nini hakuyazuia kabisa yasiwepo kabisa duniani?
Kwa nini uhuru wa binadamu utegemee uwepo wa mabaya?
Kwani binadamu hawezi kuwa mwenye uhuru pasipo mabaya kuwepo?
Kuacha nyoka aingie bustanini amdanganye Eva hadi ale tunda ili aangamie ni kuruhusu mabaya kwa binadamu.Ni Lini Mungu aliruhusu Mabaya? Mfano Ni Lini Umemruhusu Mwanao akutukane wewe mzazi ingawa Matusi Yapo anaweza Kukutukana
Mungu karuhusu mabaya kwa kuacha nyoka awepo bustanini kumdanganya Eva ale tunda ili binadamu aangamie.Kwahiyo Mabaya Mungu hajayaruhusu Ila wewe 🫵 mwenyewe ndio unayaruhusu
Sio makosa yako, kumbuka kuwa Mungu anajua kila kitu, alishakuseti uwe vile.
Mimi sikupewa fursa ya kuchagua mema na mabaya, sikuwepo bustani ya Eden. Watoto wote wakiwemo albino wanaokufa kwa kansa, vita, njaa na mauaji ya kila aina pamoja na wanaobakwa hawakupewa fursa ya kuchagua mema na mabaya huko kwenye story yenu ya Eden.Ukipita Mitandaoni utakuta Kwamba Kuna Mijadala Mingi inayohusu Mungu kwamba kama Anatupenda Kwanini Tunateseka ,, oooh kwanini Kuna Mafuriko...oooh kwanini WatotUlimuMara.. a na Njaa.. Oooh kwanini Vita Haviishi.. Haya Yote Hayana Tofauti na Kumlaumu Mungu kwa Makosa Yetu Wenyewe
Mwanzo 2:16-17
“Mwenyezi-Mungu alimwamuru huyo mwanamume, “Waweza kula matunda ya mti wowote katika bustani; lakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya, usile, maana siku utakapokula matunda ya mti huo, hakika utakufa.””
Neno HAKIKA UTAKUFA limebeba Maana Kubwa sana. Kumbuka Hakukuambia utakufa Ukiwa umelala Kitandani. UTAKUFA vifo vya AINA yote (VITA, NJAA, MAGONJWA, KUJIUA , MAFURIKO n.k) Hivyo Vyote ni Vifo
Sasa Unamshangaa Mtu anasema Kama Mungu anatupenda sana Kwanini Tunapatwa na Magonjwa, Vita , Njaa inaua watoto n.k. Kwani wakati anakuambia Wewe Usile maana Yake Alikupa Uwezo wa Kuchagua MEMA na MABAYA na uliishi Katika Kutokuwa na Magonjwa wala Vifo bustanini Mwake toka Mwanzo ila Kwa Vile ulichagua MABAYA usimlaumu Yeye tena.
Wasioamini Wengi wanasema, wanaoamini wanasema Mungu ni UPENDO ..je! Upendo huo ni upi mbona Tunaangaika Duniani. MNaanhaika Ndio maana Hukufuata Ulichoambiwa na Baba yako kabla, kwa Wenye Watoto wadogo tunajua unaweza Mkataza kitu maana Unajua Madhara yake baadae. Je! Akipatwa na Madhara hayo uliyomkataza Ina maanisha Wewe MZAZI huna UPENDO na Mtoto huyo? Jibu ni Hapana Utampenda Daima hata kama amekosea na Ulimuonya, hivyo Hivyo Kwa Mungu Wetu anatupenda Daima na Ametuonya Sana Ila Sisi Tunamlaumu kila Mara
Sasa Neema Imekuja Kwetu Tena Na Neema Hiyo ni Hii YESU alipokuja Ametupa Nafasi Ya Kurudi tena Katika Neema Ile Ile ya Bustani ya EDENI.Tuliyokuwa nayo Mwanzoni. Tulifanya KOSA la Kula Tunda Lile na Laana Hiyo Imekuja Kwetu alipokufa Msalabani Alichukua Dhambi Yetu hii na Kuifia Msalabani
Ndio maana Katika Mahubiri yake Alikiwa anasisitiza UZIMA WA MILELE , UZIMA WA MILELE maana Tulipoteza uzima Huo Mwanzoni
Mungu angetuacha Tufe tu maana Hana Cha Kupoteza ila Imeandikwa KWA MAANA MUNGU Aliupenda Ulimwengu Mpaka akamtoa Mwanae wa Pekee ili.Kila Amwaminie ASIPOTEE basi AWE NA UZIMA WA MILELE
Mungu angetuacha Tufe tu maana Hana Cha Kupoteza ila Imeandikwa KWA MAANA MUNGU Aliupenda Ulimwengu Mpaka akamtoa Mwanae wa Pekee ili.Kila Amwaminie ASIPOTEE basi AWE NA UZIMA WA MILELEUkipita Mitandaoni utakuta Kwamba Kuna Mijadala Mingi inayohusu Mungu kwamba kama Anatupenda Kwanini Tunateseka ,, oooh kwanini Kuna Mafuriko...oooh kwanini WatotUlimuMara.. a na Njaa.. Oooh kwanini Vita Haviishi.. Haya Yote Hayana Tofauti na Kumlaumu Mungu kwa Makosa Yetu Wenyewe
Mwanzo 2:16-17
“Mwenyezi-Mungu alimwamuru huyo mwanamume, “Waweza kula matunda ya mti wowote katika bustani; lakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya, usile, maana siku utakapokula matunda ya mti huo, hakika utakufa.””
Neno HAKIKA UTAKUFA limebeba Maana Kubwa sana. Kumbuka Hakukuambia utakufa Ukiwa umelala Kitandani. UTAKUFA vifo vya AINA yote (VITA, NJAA, MAGONJWA, KUJIUA , MAFURIKO n.k) Hivyo Vyote ni Vifo
Sasa Unamshangaa Mtu anasema Kama Mungu anatupenda sana Kwanini Tunapatwa na Magonjwa, Vita , Njaa inaua watoto n.k. Kwani wakati anakuambia Wewe Usile maana Yake Alikupa Uwezo wa Kuchagua MEMA na MABAYA na uliishi Katika Kutokuwa na Magonjwa wala Vifo bustanini Mwake toka Mwanzo ila Kwa Vile ulichagua MABAYA usimlaumu Yeye tena.
Wasioamini Wengi wanasema, wanaoamini wanasema Mungu ni UPENDO ..je! Upendo huo ni upi mbona Tunaangaika Duniani. MNaanhaika Ndio maana Hukufuata Ulichoambiwa na Baba yako kabla, kwa Wenye Watoto wadogo tunajua unaweza Mkataza kitu maana Unajua Madhara yake baadae. Je! Akipatwa na Madhara hayo uliyomkataza Ina maanisha Wewe MZAZI huna UPENDO na Mtoto huyo? Jibu ni Hapana Utampenda Daima hata kama amekosea na Ulimuonya, hivyo Hivyo Kwa Mungu Wetu anatupenda Daima na Ametuonya Sana Ila Sisi Tunamlaumu kila Mara
Sasa Neema Imekuja Kwetu Tena Na Neema Hiyo ni Hii YESU alipokuja Ametupa Nafasi Ya Kurudi tena Katika Neema Ile Ile ya Bustani ya EDENI.Tuliyokuwa nayo Mwanzoni. Tulifanya KOSA la Kula Tunda Lile na Laana Hiyo Imekuja Kwetu alipokufa Msalabani Alichukua Dhambi Yetu hii na Kuifia Msalabani
Ndio maana Katika Mahubiri yake Alikiwa anasisitiza UZIMA WA MILELE , UZIMA WA MILELE maana Tulipoteza uzima Huo Mwanzoni
Mungu angetuacha Tufe tu maana Hana Cha Kupoteza ila Imeandikwa KWA MAANA MUNGU Aliupenda Ulimwengu Mpaka akamtoa Mwanae wa Pekee ili.Kila Amwaminie ASIPOTEE basi AWE NA UZIMA WA MILELE
Kama huyo Mungu alikuwa hataki tunda la mti wa ujuzi wa mema na mabaya liliwe, kwa nini aliruhusu nyoka kuingia bustanini kwenda kumdanganya Eva alile tunda hilo?
Kwa nini huyo Mungu aliruhusu nyoka awepo bustanini kumdanganya na kumshawishi Eva kula tunda?
Je huyo Mungu, ali-plan kabisa binadamu aangamie, akaacha nyoka awepo bustanini amdanganye Eva ale tunda?
Au alizembea hadi nyoka akapata mwanya wa kuingia bustanini kwenda kumdanganya Eva?
Halafu kwanza wakati Adam na Eva wanakula tunda sisi hatukuwepo.Kuna upotoshaji mkubwa sana na Moja wapo ni Hili kwamba Mungu ndie aliyekuumba Hivyo Hapana. Adam ameishi Bustanini Muda Mrefu Na Ule Mti ulikuwepo Muda Mrefu kama Alimuumba Vile hakuhitajika Shetani amshawishi Au Mwanamke amshawishi ale angekula Bila Kusubiri Ushawishi wowote ule.
Mungu hakukuumba Hivyo achana na hayo Mawazo. Mungu amekuumba Uchague Mwenyewe. Ukichagua Mabaya amesema.Utapatwa na Mabaya ma Ukichagua Mema Utapatwa na Mema. Ni Wewe Mwenyewe si Mungu
Kwa nini mungu alimruhusu Nyoka kuingia bustani ya Eden ? Alikuwa hajui kitakachotokea baadaye Nyoka atakapokutana na Hawa na Adamu?1. Mungu hakumruhusu Nyoka Kuingia Bustanini. Nyoka Yule alikuwa tayari ameshamhasi Mungu , kwahiyo alikuwa anafanya Mambo Yake kuharibu Uuambaji wa Mungu, Na Pia Eva Alikuwa na Haki ya Kukataa au Kukubali Ila Kwa Vile Alidanganywa kama Mm na Wewe tunavyoweza Kudanganywa na Marafiki zetu tukaingia Matatizoni. Mfano Unaweza Pia Ww kudanganywa Kwamba Ukaibe benki pesa 💰 utajirike, ingawa ushaambiwa Kuiba Benki utafungwa jela Hakika ila Ukaenda ukaiba na Ukafungwa kweli. Je utamlaumu Mungu kwanini alimruhusu Rafiki yako Akudanganye
2. Mpango wa Mungu upo Pale pale Kwamba Uwe na Uzima wa Milele. Hajawahi kupanga Uangamie Hata Siku Moja. Ni WEWE mwenyewe Ulijiangmiza Ulipodanganywa na Nyoka. Usimlaumu Mungu. Maana Alikuambia HAKIKA UTAKUFA ila Wewe nyoka alipokuambia Kwamba Ukila Utakuwa kama Mungu ukijua Mema na Mabaya ukawaka Tamaa kwamba Utakuwa kama Mungu. Kwahiyo Mungu hajawahi Kuruhusu mambo mabaya Yakutokee ila Wewe mwenyewe una Uhuru Huo wa Jambo Baya Likutokee.
3. Mungu Hakuzembea Wala hakufungi Mnyororo wewe kwenda Popote utakapo hata shetani 👿alivyomhasi alimtupa Chini na Akamwambia atamhukumu siku yake ikifika. Wewe Ukitenda Dhambi anakupa Muda wa kujirekebisha na Kumrudia maana Ameshakupa Neema Ya Kukusamehe kupitia Yesu Kristo Mwenyewe kwamba kwa Vile Ulipoteza Neema Hiyo basi Anakurudishia Tena kwa Njia Ya Yesu Kristo Mwanae
Kwa nini huyo Mungu hakumdhibiti nyoka asiharibu uumbaji wake?1. Mungu hakumruhusu Nyoka Kuingia Bustanini. Nyoka Yule alikuwa tayari ameshamhasi Mungu , kwahiyo alikuwa anafanya Mambo Yake kuharibu Uuambaji wa Mungu, Na Pia Eva Alikuwa na Haki ya Kukataa au Kukubali Ila Kwa Vile Alidanganywa kama Mm na Wewe tunavyoweza Kudanganywa na Marafiki zetu tukaingia Matatizoni. Mfano Unaweza Pia Ww kudanganywa Kwamba Ukaibe benki pesa 💰 utajirike, ingawa ushaambiwa Kuiba Benki utafungwa jela Hakika ila Ukaenda ukaiba na Ukafungwa kweli. Je utamlaumu Mungu kwanini alimruhusu Rafiki yako Akudanganye
Kwa nini Mungu aliumba wanadamu wenye uwezo wa kudanganywa na nyoka?2. Mpango wa Mungu upo Pale pale Kwamba Uwe na Uzima wa Milele. Hajawahi kupanga Uangamie Hata Siku Moja. Ni WEWE mwenyewe Ulijiangmiza Ulipodanganywa na Nyoka.
Mungu mnayedai kwamba ni mjuzi wa vyote, Je hakujua kwamba nyoka atakuja kudanganya binadamu amdhibiti na kumzuia mapema?Usimlaumu Mungu. Maana Alikuambia HAKIKA UTAKUFA ila Wewe nyoka alipokuambia Kwamba Ukila Utakuwa kama Mungu ukijua Mema na Mabaya ukawaka Tamaa kwamba Utakuwa kama Mungu.
Huo uhuru wa binadamu kuamua jambo baya limtokee, uliwekwa na nani?Kwahiyo Mungu hajawahi Kuruhusu mambo mabaya Yakutokee ila Wewe mwenyewe una Uhuru Huo wa Jambo Baya Likutokee.
Mungu muweza wa vyote, aliumbaje binadamu wanaoweza kutenda mabaya?3. Mungu Hakuzembea Wala hakufungi Mnyororo wewe kwenda Popote utakapo hata shetani 👿alivyomhasi alimtupa Chini na Akamwambia atamhukumu siku yake ikifika. Wewe Ukitenda Dhambi anakupa Muda wa kujirekebisha na Kumrudia maana Ameshakupa Neema Ya Kukusamehe kupitia Yesu Kristo Mwenyewe kwamba kwa Vile Ulipoteza Neema Hiyo basi Anakurudishia Tena kwa Njia Ya Yesu Kristo Mwanae
Nani alimuumba shetani ?
Wakati mungu anamuumba Lucifer alijuwa atakavyokuwa mwanzo wake mpake mwisho wake ?Mungu alimuumba Malaika Aitwae Lucifer(lusifa),Akiwa na Uwezo wa Kuchagua Kumtumikia Mungu au Kutomtumikia Mungu. Akachagua Kutomtumikia Mungu na akawaka tamaa na Kutaka Kiti au Sehemu aliyokaa Mungu Yeye mwenyewe ndio akae . ndipo Jina Lake Likabadilika na Kuitwa SHETANI maana Yake (MPINZANI au MSHITAKI).
HIVYO hivyo YESU alipokuja Duniani SHETANI alimshawishi Sana Kwamba ATAMFANYA awe Mfalme wa Dunia hii kwa Kumpa Miliki zote za Dunia Hii na FAHARI zake zote ila ALIKATAA
Ila Kama Yesu angekubali Basi Angekuwa ni MSALITI wa Mungu pia na Angepewa Jina Kama Hilo la Shetani alilopewa ila HAKUFANYA hivyo maana Alichagua (freewill) KUMWABUDU MUNGu Peke yake
Kuacha nyoka aingie bustanini amdanganye Eva hadi ale tunda ili aangamie ni kuruhusu mabaya kwa binadamu.
Mungu karuhusu mabaya kwa kuacha nyoka awepo bustanini kumdanganya Eva ale tunda ili binadamu aangamie.
Kumbe huyo Mungu aliumba viumbe wenye uwezo wa kutomtumikia halafu hapohapo anataka kutumikiwa.Mungu alimuumba Malaika Aitwae Lucifer(lusifa),Akiwa na Uwezo wa Kuchagua Kumtumikia Mungu au Kutomtumikia Mungu. Akachagua Kutomtumikia Mungu na akawaka tamaa na Kutaka Kiti au Sehemu aliyokaa Mungu Yeye mwenyewe ndio akae . ndipo Jina Lake Likabadilika na Kuitwa SHETANI maana Yake (MPINZANI au MSHITAKI).