Binadamu mnashindwaje hata na jogoo?

Jogoo nae anayo nature ya kuhonga ili ampate mtetea kwa mfano jogoo anayo punje moja tu ya nafaka mdomoni atatoa sauto ko! ko! ko! ya kumwita mtetea mtetea akishafika jogoo anampa ile nafaka afu mtetea anachakatwa kilaini [emoji16][emoji16]
Sasa umeona eeeh ninachokisema?Sasa binadamu wa siku hizi mbona wataka bure?ndio maana nawauliza mbona wanashindwa na hayawani?sijui wanakwama wapi hata
 
Nyie hamuelewi kitu kimoja. Wanaume sio kwamba hatutaki kuhonga tatizo ni pale mnapoleta story za kwamba tutombeeee mbususu moja. Wee pokea chako wacha na mwanamke mwengine nae apate chake. Msitubane
 
Bure tunapewa zipo ujue
 
Kwa Nini mpewe bure?kwa Nini?inasikitisha sana
Utakuta Joannah una rafik ako nkaja mahala naondoka rafiki yako anaanza kuniulizia...wewe sasa unakuja kuleta habari β€œJaneth kakuulizia bla bla” ahh! ukisema hivyo Janeth kafa na hapati ela
 
Nyie hamuelewi kitu kimoja. Wanaume sio kwamba hatutaki kuhonga tatizo ni pale mnapoleta story za kwamba tutombeeee mbususu moja. Wee pokea chako wacha na mwanamke mwengine nae apate chake. Msitubane
Hatuwezi kuwaacha kuwabana,hapo Sasa so tutakuwa hatuwapendi?tukipenda mioyo yetu kidogo sir tuna wivu
 
Utakuta Joannah una rafik ako nkaja mahala naondoka rafiki yako anaanza kuniulizia...wewe sasa unakuja kuleta habari β€œJaneth kakuulizia bla bla” ahh! ukisema hivyo Janeth kafa na hapati ela
Kumbe Hilo Ni kosa la kiufundi sio?
 
Hatuwezi kuwaacha kuwabana,hapo Sasa so tutakuwa hatuwapendi?tukipenda mioyo yetu kidogo sir tuna wivu
Kwanza wacheni uwongo, nyie hampendi. Nyie mnaoaswa kutuheshimu na kututii sie ndio tunapaswa kuwapenda.
Mkitupenda hicho ni kiherehere chenu
 
Jo Jogoo mwenyewe analishwa haoni hasara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…