Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azima babe ukija nakusababishia kibunda ๐Nakuja kulala kwako leo ila sina nauli
๐๐๐๐Na sisi tutaendelea kuwaambia kitu"
Nao hawana, nitumie bas babyAzima babe ukija nakusababishia kibunda ๐
Labda nkutumie jini. Chukua Bolt chap Mbezi hii hapa, namkeshia driver then twasepa ๐Nao hawana, nitumie bas baby
Yategemea nini tenaKwa wanawake itategemeana.
Mzee acha kbsa unachukua nmb unajeuka unaomba vocha
๐คฃ Khaaa! Ila wanaume kuna muda huwa nawaelewa poleni sana.Labda nkutumie jini.
Chukua Bolt chap Mbezi hii hapa, namkeshia driver then twasepa ๐
Basi msitake tuwe kama jogooEeh hapo itabidi mkaze kidogo,maana hizo stress za kuachwa pale lango na marangu bila kufika kibo zitatumaliza aisee
Umeanza fixWeeeeh Kelly au mwingine ... Anachuna vibaya Sana naskia.๐คฃ
Tetesi bhana na wewe ๐Umeanza fix
Baba bear una mamboTetesi bhana na wewe ๐
Napamba jukwaa.
Leo upo mwenyewe ...mbona hulali Bear๐Baba bear una mambo
Sipo home, nazurura kidogo ntarudi badae badae.Leo upo mwenyewe ...mbona hulali Bear๐
Hata watetea mkiwa 12 hawapigani, uko tayari?Jogoo ana real love[emoji2]