Binadamu mnashindwaje hata na jogoo?

Binadamu mnashindwaje hata na jogoo?

Jamani ndiyo tunamalizia wikiendi natumai mko poa.

Basi wikiendi ilivyoanza nikaona ni busara kwenda mtembelea bibi huko kijijini kwake Mwanzo Mgumu, nikapokelewa kwa kishindo. Basi bwana, bibi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, nilipokuwa napumzika chini ya mwembe nikagundua jambo la kipekee kuhusu jogoo.

Jogoo akiona chakula kiwe kikubwa au kidogo hali hicho chakula, bali anamwita tetea kwa madaha aje ale halafu yeye anasindikizia sindikizia kishkaji. Sasa nyie binadamu mnakwama wapi kuiga mfano? Mmekuwa walalamishi, kila siku humu nyuzi mpya za kulalamika, hamtaki kulisha matetea wenu, mara muwaite ombaomba, mara sijui nini.

Wajameni igeni mfano bora wa jogoo jamani, halafu hana hata kisasi pamoja na tetea kula mwamba ye kidogo tu[emoji106], binadamu sasa!

Jioni njema jamani.
Fanya kazi acha kumtegemea bwana ako siku hizi ni 50/50
 
Jogoo uteleze kuupata ni mbio zake tu,
Nyie sasa, mpka tupate utelezi tushatoboka tumekonda na kufadhaika

[mention]mzabzab [/mention] njoo huku Utupe maoni yako [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kazi nafanya mama, lakini hili suala la wao kutuhudumia Ni nature kabisa,lipo tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu,achana na mbwembwe za Beijing,Ila Kama wewe Ni mdau wa kujipambania sio mbaya pambania kombe mkuu
Inawezekana ikawa ni nature wao kuhudumia
Lakini wasipohudumia hainipi haki ya mimi kulalamika

Mbwembwe za Beijing ni zipi ndugu Joannah ?
 
Jamani ndiyo tunamalizia wikiendi natumai mko poa.

Basi wikiendi ilivyoanza nikaona ni busara kwenda mtembelea bibi huko kijijini kwake Mwanzo Mgumu, nikapokelewa kwa kishindo. Basi bwana, bibi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, nilipokuwa napumzika chini ya mwembe nikagundua jambo la kipekee kuhusu jogoo.

Jogoo akiona chakula kiwe kikubwa au kidogo hali hicho chakula, bali anamwita tetea kwa madaha aje ale halafu yeye anasindikizia sindikizia kishkaji. Sasa nyie binadamu mnakwama wapi kuiga mfano? Mmekuwa walalamishi, kila siku humu nyuzi mpya za kulalamika, hamtaki kulisha matetea wenu, mara muwaite ombaomba, mara sijui nini.

Wajameni igeni mfano bora wa jogoo jamani, halafu hana hata kisasi pamoja na tetea kula mwamba ye kidogo tu[emoji106], binadamu sasa!

Jioni njema jamani.
Kama hulishwi mama ni wewe tu , na huyo jogooo wako.

Hivi hujui kuwa wanaume wanaumia Sana kwa ajiri ya familia zao, mwanaume anaweza kukesha, akihenya kutafuta riziki, wakati mwingine anajisahau hata kujinunulia nguo, viatu Ili familia yake ikae vzr, watoto wasome, mke avae, ale , apendeze

Mpaka wamejiingiza kwenye kazi za hatari Ili tu wake zao wapate maisha mazuri harafu unasema utumbo yaani mnashusha Sana mukari wa wanaume kustruggle kwa ajiri yenu . Tena ukute mtu unastruggle hafu unamletea maneno mbofu mbofu kama haya lazima akuache tu

Hakuna shukrani
 
Jamani ndiyo tunamalizia wikiendi natumai mko poa.

Basi wikiendi ilivyoanza nikaona ni busara kwenda mtembelea bibi huko kijijini kwake Mwanzo Mgumu, nikapokelewa kwa kishindo. Basi bwana, bibi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, nilipokuwa napumzika chini ya mwembe nikagundua jambo la kipekee kuhusu jogoo.

Jogoo akiona chakula kiwe kikubwa au kidogo hali hicho chakula, bali anamwita tetea kwa madaha aje ale halafu yeye anasindikizia sindikizia kishkaji. Sasa nyie binadamu mnakwama wapi kuiga mfano? Mmekuwa walalamishi, kila siku humu nyuzi mpya za kulalamika, hamtaki kulisha matetea wenu, mara muwaite ombaomba, mara sijui nini.

Wajameni igeni mfano bora wa jogoo jamani, halafu hana hata kisasi pamoja na tetea kula mwamba ye kidogo tušŸ‘, binadamu sasa!

Jioni njema jamani.
Wewe nawe upo katika wanaodai usawa wa wanawake au katika kundi hilo haupo unakubali mwanamke awe mtumwa wa mwanamme?
 
Kama hulishwi mama ni wewe tu , na huyo jogooo wako.

Hivi hujui kuwa wanaume wanaumia Sana kwa ajiri ya familia zao, mwanaume anaweza kukesha, akihenya kutafuta riziki, wakati mwingine anajisahau hata kujinunulia nguo, viatu Ili familia yake ikae vzr, watoto wasome, mke avae, ale , apendeze

Mpaka wamejiingiza kwenye kazi za hatari Ili tu wake zao wapate maisha mazuri harafu unasema utumbo yaani mnashusha Sana mukari wa wanaume kustruggle kwa ajiri yenu . Tena ukute mtu unastruggle hafu unamletea maneno mbofu mbofu kama haya lazima akuache tu

Hakuna shukrani
Nime refer nyuzi za wanaume wenzio hapa JF za malamiko..Kama wewe unalisha mkeo bila malamiko BARIKIWA Sana Kaka,Mwenyezi akuzidishie riziki maradufu.
 
Wewe nawe upo katika wanaodai usawa wa wanawake au katika kundi hilo haupo unakubali mwanamke awe mtumwa wa mwanamme?
Maswali yako huwaga MAGUMU Sana,,,anyway Mimi nataka kuhudumiwa na mume wangu na sio kuwa mtumwa wake.
 
Ukishakubali kuhudumiwa ushakubali kuwa mtumwa.

Yani kuhudumiwa unakulipia kwa gharama ya kuwa mtumwa, huwezi kuhudumiwa bila kukubali kwamba wewe ni dhaifu na mwanamme ni zaidi yako, ndiyo maana unahitaji kuhudumiwa.

Ukishakubali wewe ni dhaifu ndiyo ushakuwa mtumwa hapo.

You can't eat your cake and still have it.

Tatizo la wanawake wengi hawataki kukubali ukweli huu mchungu.

Yani wanataka kuhudumiwa, lakini hawataki kukubali ukweli mchungu kwamba kuhudumiwa kunakuja sambamba na kukubali kwamba wewe ni dhaifu, dhalili, mtu wa kuhudumiwa, mtu wa kupangiwa, mtumwa.

Huwezi kukubali kuwa mtu wa kuhudumiwa bila kukubali utumwa huu.

Huku kupenda kuhudumiwa ndiyo kunafanya wanawake wawe watu wa kupigwa, kuchepukiwa, kudharauliwa, na kimsingi kuonekana viumbe dhaifu wakilinganishwa na wanaume.
 
Back
Top Bottom