Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Kuna mod anapendelea mimi nilale peke yangu kama pangašModerator wanahakiki labda,nimetuma Tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mod anapendelea mimi nilale peke yangu kama pangašModerator wanahakiki labda,nimetuma Tena.
Fanya kazi acha kumtegemea bwana ako siku hizi ni 50/50Jamani ndiyo tunamalizia wikiendi natumai mko poa.
Basi wikiendi ilivyoanza nikaona ni busara kwenda mtembelea bibi huko kijijini kwake Mwanzo Mgumu, nikapokelewa kwa kishindo. Basi bwana, bibi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, nilipokuwa napumzika chini ya mwembe nikagundua jambo la kipekee kuhusu jogoo.
Jogoo akiona chakula kiwe kikubwa au kidogo hali hicho chakula, bali anamwita tetea kwa madaha aje ale halafu yeye anasindikizia sindikizia kishkaji. Sasa nyie binadamu mnakwama wapi kuiga mfano? Mmekuwa walalamishi, kila siku humu nyuzi mpya za kulalamika, hamtaki kulisha matetea wenu, mara muwaite ombaomba, mara sijui nini.
Wajameni igeni mfano bora wa jogoo jamani, halafu hana hata kisasi pamoja na tetea kula mwamba ye kidogo tu[emoji106], binadamu sasa!
Jioni njema jamani.
Jogoo uteleze kuupata ni mbio zake tu,
Nyie sasa, mpka tupate utelezi tushatoboka tumekonda na kufadhaika
Vibomu vikizidi ni haki yao kulalamika
Inawezekana ikawa ni nature wao kuhudumiaKazi nafanya mama, lakini hili suala la wao kutuhudumia Ni nature kabisa,lipo tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu,achana na mbwembwe za Beijing,Ila Kama wewe Ni mdau wa kujipambania sio mbaya pambania kombe mkuu
Obviously š
Kwanini unauita utapeli?[mention]Joanah [/mention] safi mkuu, hebu toa recommendations zinging Ili huu utapeli tuusahau kabisa
Kama hulishwi mama ni wewe tu , na huyo jogooo wako.Jamani ndiyo tunamalizia wikiendi natumai mko poa.
Basi wikiendi ilivyoanza nikaona ni busara kwenda mtembelea bibi huko kijijini kwake Mwanzo Mgumu, nikapokelewa kwa kishindo. Basi bwana, bibi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, nilipokuwa napumzika chini ya mwembe nikagundua jambo la kipekee kuhusu jogoo.
Jogoo akiona chakula kiwe kikubwa au kidogo hali hicho chakula, bali anamwita tetea kwa madaha aje ale halafu yeye anasindikizia sindikizia kishkaji. Sasa nyie binadamu mnakwama wapi kuiga mfano? Mmekuwa walalamishi, kila siku humu nyuzi mpya za kulalamika, hamtaki kulisha matetea wenu, mara muwaite ombaomba, mara sijui nini.
Wajameni igeni mfano bora wa jogoo jamani, halafu hana hata kisasi pamoja na tetea kula mwamba ye kidogo tu[emoji106], binadamu sasa!
Jioni njema jamani.
Wewe nawe upo katika wanaodai usawa wa wanawake au katika kundi hilo haupo unakubali mwanamke awe mtumwa wa mwanamme?Jamani ndiyo tunamalizia wikiendi natumai mko poa.
Basi wikiendi ilivyoanza nikaona ni busara kwenda mtembelea bibi huko kijijini kwake Mwanzo Mgumu, nikapokelewa kwa kishindo. Basi bwana, bibi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, nilipokuwa napumzika chini ya mwembe nikagundua jambo la kipekee kuhusu jogoo.
Jogoo akiona chakula kiwe kikubwa au kidogo hali hicho chakula, bali anamwita tetea kwa madaha aje ale halafu yeye anasindikizia sindikizia kishkaji. Sasa nyie binadamu mnakwama wapi kuiga mfano? Mmekuwa walalamishi, kila siku humu nyuzi mpya za kulalamika, hamtaki kulisha matetea wenu, mara muwaite ombaomba, mara sijui nini.
Wajameni igeni mfano bora wa jogoo jamani, halafu hana hata kisasi pamoja na tetea kula mwamba ye kidogo tuš, binadamu sasa!
Jioni njema jamani.
Nime refer nyuzi za wanaume wenzio hapa JF za malamiko..Kama wewe unalisha mkeo bila malamiko BARIKIWA Sana Kaka,Mwenyezi akuzidishie riziki maradufu.Kama hulishwi mama ni wewe tu , na huyo jogooo wako.
Hivi hujui kuwa wanaume wanaumia Sana kwa ajiri ya familia zao, mwanaume anaweza kukesha, akihenya kutafuta riziki, wakati mwingine anajisahau hata kujinunulia nguo, viatu Ili familia yake ikae vzr, watoto wasome, mke avae, ale , apendeze
Mpaka wamejiingiza kwenye kazi za hatari Ili tu wake zao wapate maisha mazuri harafu unasema utumbo yaani mnashusha Sana mukari wa wanaume kustruggle kwa ajiri yenu . Tena ukute mtu unastruggle hafu unamletea maneno mbofu mbofu kama haya lazima akuache tu
Hakuna shukrani
Ukishakubali kuhudumiwa ushakubali kuwa mtumwa.Maswali yako huwaga MAGUMU Sana,,,anyway Mimi nataka kuhudumiwa na mume wangu na sio kuwa mtumwa wake.