Binadamu pekee aliye nyoosha mkono juu kwa miaka zaidi ya 52 bila kuushusha

Papillon 1906

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
228
Reaction score
753
Amar Bharati ni raia wa India aliyeweza kuunyosha mkono wake juu bila kushusha toka mwaka 1973 kwa kuashiria kumtukuza mungu Shiva.

Ameweka nadhiri hii kwa lengo la kusafisha na kutakasa nafsi yake na kuonyesha Imani thabiti kwa Shiva.

Kwa miaka Mingi mkono wake umekuwa juu na kutengeneza ugumu mithili ya jiwe na hauwezi kushuka tena chini.

Maamuzi yake yameionesha dunia kwamba jinsi gani unavyoweza kujitoa sadaka kwa lengo la kukua kiroho zaidi.

Je umewai kuweza nadhiri gani kwa muumba wako na uliitimiza?

 
Huyu MUNGU wake wa Shiva ndio alimwambia anataka kuabudiwa Kwa staili hyo mkuu🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…