Energy ya Ak47 inazidi hiyo ya food chain uchwara mkuu. Naongelea kuhusu species in control.Food chain haiko hivyo, it's about energy. Kwenye "Trophic level" binadamu wako katikati, hawako top.
Ishu si weapon tu, issue ni intelligence behind that weapon. Bado binadamu huwezi mtoa hapo juu.AK47 inazidiwa na bacteria, virusi na fangasi.
Kwanini uchague upande? Kwamba pande zingine haziko sahihi ila tu ukristo?hebu leta hilo fungu linalosema hivyo!!! kwa upande wa ukristo tu....
Where are the references according to this article??Katika jambo mojawapo la upotoshi mkuu ambao dini umeweza kufanya ni kuwaaminisha binadamu kwamba wa ndio kitovu cha ulimwengu (the center of the universe), kwamba kila kitu kimeumbwa kuwazunguka wao.
Kwamba wanyama, miti, Samaki, ndege na viumbe wengine wote vimewekwa kwa ajili yao, huu ni uongo mkubwa sana. Hapo ndipo mtu anamshukuru mungu wake kwa uhai wake kisha anaenda kuchinja kuku au ng'ombe na jumla! Anashukuru kwa uhai wake kisha anaenda kutoa uhai wa viumbe vingine!
Binadamu sio kitovu cha ulimwengu (center of the universe). Imetokea tu binadamu kuwepo kwenye sayari mojawapo ndogo kama vile viumbe wengine wote katika ulimwengu wenye mabilioni ya Galaxy na matrilioni ya Sayari.
Yeah Binadamu tunajikuta special Sana ila mwisho wa siku hatuna tofauti na viumbe wengineBinadamu ni kama mnyama tu..
Kapewa system ile ile kama wanyama..
Tunajipa umuhimu sana
Upo kwenye spiritual crisis kubwa sanaKatika jambo mojawapo la upotoshi mkuu ambao dini umeweza kufanya ni kuwaaminisha binadamu kwamba wa ndio kitovu cha ulimwengu (the center of the universe), kwamba kila kitu kimeumbwa kuwazunguka wao.
Kwamba wanyama, miti, Samaki, ndege na viumbe wengine wote vimewekwa kwa ajili yao, huu ni uongo mkubwa sana. Hapo ndipo mtu anamshukuru mungu wake kwa uhai wake kisha anaenda kuchinja kuku au ng'ombe na jumla! Anashukuru kwa uhai wake kisha anaenda kutoa uhai wa viumbe vingine!
Binadamu sio kitovu cha ulimwengu (center of the universe). Imetokea tu binadamu kuwepo kwenye sayari mojawapo ndogo kama vile viumbe wengine wote katika ulimwengu wenye mabilioni ya Galaxy na matrilioni ya Sayari.
Majini na mashetani ni topHizo galaxy umezijuaje? Paka wa hapa Mwakizaro wanajua kwamba kuna sayari nyingine ..Sioni uliochoandika , binadamu hata bila ya kurejea kwenye dini ndiye top notch , anajua uwepo wa vitu vingine , yaani anajua vilivyopo angani , ardhini mpaka majini .
Swali: Nje ya binadamu kipi ambacho ni top ?
Virusi vingi vikiamua kukuua vinakuua na hauna Cha kufanyaTukiamua kuwinda mnyama yoyote tunawinda. Mnyama gani anaweza kuwa against Ak47?
Sijasema binadamu wasile nyama bali nazungumzia ritual za kidini zinazohusiana na binadamu kuua na kula wanyama, hata Simba, Fisi, Chui, Tiger, Mamba, Tai na wanyama wengine wengi wanakula nyama ila tofauti na sisi wao hawana rituals zozote zaidi ya kuwinda, kuua na kula tu. Hawajioni wao wao ni center ya universe.Unataka kumaanisha kama mwanadamu ni kitovu cha ulimwengu asile nyama? Au hiv unaujua utamu wa nyama ya guruwe kwel?
Hapana mkuu!Kwanini uchague upande? Kwamba pande zingine haziko sahihi ila tu ukristo?
Sio vikiamua kuniua, mzungumzie binadamu ukiwemo wewe. Swali ni kwanini havijaamua?Virusi vingi vikiamua kukuua vinakuua na hauna Cha kufanya
Apex prefator anayeuawa na mbu, na bacteria, na virusi.Binadamu ni 'APEX PREDATOR' wa ulimwengu tunaoufahamu, PERIOD!
Uliwaona?Majini na mashetani ni top
Anahitaji maombi sana!Upo kwenye spiritual crisis kubwa sana
Basi hizo Imani nyingine nao wako sahihi kwenye mambo mengi kushinda hata ukristoHapana mkuu!
kwenye ukristo ndio najua mambo mengi kidogo.
Tofauti na dini zingine ambazo sijui mafundisho yao na imani zao...
Eg. Islamic, taoism, shinto, hinduism n.k!