Binadamu sio kitovu cha ulimwengu kama dini zilivyoaminisha watu.

Binadamu sio kitovu cha ulimwengu kama dini zilivyoaminisha watu.

Sio vikiamua kuniua, mzungumzie binadamu ukiwemo wewe. Swali ni kwanini havijaamua?
Kwani mpaka viniue mimi? Hausikii Kila siku watu wanakufa kwa virusi?
 
Kwani mpaka viniue mimi? Hausikii Kila siku watu wanakufa kwa virusi?
Hoja ni macro-level control, sio micro-events

Control ya species moja dhidi ya nyingine sababu ya intelligence na weapon sio mtu mmoja, wawili sijui kumi wamekula kande lenye virusi wakaarisha wakafa.

Kama ni binadamu dhidi ya virusi elezea jinsi gani species fulani ya virusi inavyomcontrol mwanadamu kama ambavyo mwanadamu anavyomcontrol kuku, mbuzi, nyani etc.
 
Hata kama ingekuwa ni kweli, kwa nini Mungu aruhusu watu wapatwe na spiritual crisis?
Unahitaji msaada wa haraka sana
Mwanadamu kaumbwa kuishi kwenye dunia ya mazuri na mabaya kwa lugha nyingine mazuri ni yetu na mabaya ni yetu
 
Unahitaji msaada wa haraka sana
Mwanadamu kaumbwa kuishi kwenye dunia ya mazuri na mabaya kwa lugha nyingine mazuri ni yetu na mabaya ni yetu
Binadamu kaumbwa na nani ?
Kwa nini kuna mabaya duniani?
Haiwezekani kuwepo Dunia isiyo na mabaya ?
 
Hoja ni macro-level control, sio micro-events

Control ya species moja dhidi ya nyingine sababu ya intelligence na weapon sio mtu mmoja, wawili sijui kumi wamekula kande lenye virusi wakaarisha wakafa.

Kama ni binadamu dhidi ya virusi elezea jinsi gani species fulani ya virusi inavyomcontrol mwanadamu kama ambavyo mwanadamu anavyomcontrol kuku, mbuzi, nyani etc.
Bacteria na virusi wamemlazimisha binadamu anawe mikono kila wakati na apige mswaki.
 
Katika jambo mojawapo la upotoshi mkuu ambao dini umeweza kufanya ni kuwaaminisha binadamu kwamba wa ndio kitovu cha ulimwengu (the center of the universe), kwamba kila kitu kimeumbwa kuwazunguka wao.

Kwamba wanyama, miti, Samaki, ndege na viumbe wengine wote vimewekwa kwa ajili yao, huu ni uongo mkubwa sana. Hapo ndipo mtu anamshukuru mungu wake kwa uhai wake kisha anaenda kuchinja kuku au ng'ombe na jumla! Anashukuru kwa uhai wake kisha anaenda kutoa uhai wa viumbe vingine!

Binadamu sio kitovu cha ulimwengu (center of the universe). Imetokea tu binadamu kuwepo kwenye sayari mojawapo ndogo kama vile viumbe wengine wote katika ulimwengu wenye mabilioni ya Galaxy na matrilioni ya Sayari.
Binadamu sio kiumbe Muhimu/maalumu dhidi ya viumbe wengine hapa Duniani

Binadamu anacho wazidi viumbe wengine ni intelijensia dhidi ya viumbe wengine

Dunia hii ni salama zaidi ikiwa bila binadamu……… binadamu ndio muharibifu mkubwa wa ikolojia ya dunia kuliko kiumbe kingine chochote

So binadamu sio MUHIMU kwenye hii Dunia
Anaweza akatoweka na Dunia ikaendelea kuwa bora zaidi kuliko akiwepo
 
Bacteria na virusi wamemlazimisha binadamu anawe mikono kila wakati na apige mswaki.
Hahaha, hii kali sasa. Kwahiyo wamefanikiwa kumcontrol binadamu siyo? Haya bana.
 
Back
Top Bottom