Binadamu sio kitovu cha ulimwengu kama dini zilivyoaminisha watu.

Tukiamua kuwinda mnyama yoyote tunawinda. Mnyama gani anaweza kuwa against Ak47?
Food chain haiko hivyo, it's about energy. Kwenye "Trophic level" binadamu wako katikati, hawako top.
 
Food chain haiko hivyo, it's about energy. Kwenye "Trophic level" binadamu wako katikati, hawako top.
Energy ya Ak47 inazidi hiyo ya food chain uchwara mkuu. Naongelea kuhusu species in control.
 
AK47 inazidiwa na bacteria, virusi na fangasi.
Ishu si weapon tu, issue ni intelligence behind that weapon. Bado binadamu huwezi mtoa hapo juu.
 
Hello Mr Yoda is there any other creature in this universe that actively hunts humans for food?
 
Unataka kumaanisha kama mwanadamu ni kitovu cha ulimwengu asile nyama? Au hiv unaujua utamu wa nyama ya guruwe kwel?
 
KWAHIYO NIKUAMINI WEWE MLA MIHOGO MWENZANGU AU NIIAMINI BIBLIA?
 
Where are the references according to this article??
 
Binadamu ni kama mnyama tu..
Kapewa system ile ile kama wanyama..

Tunajipa umuhimu sana
Yeah Binadamu tunajikuta special Sana ila mwisho wa siku hatuna tofauti na viumbe wengine
 
Upo kwenye spiritual crisis kubwa sana
 
Majini na mashetani ni top
 
Tukiamua kuwinda mnyama yoyote tunawinda. Mnyama gani anaweza kuwa against Ak47?
Virusi vingi vikiamua kukuua vinakuua na hauna Cha kufanya
 
Unataka kumaanisha kama mwanadamu ni kitovu cha ulimwengu asile nyama? Au hiv unaujua utamu wa nyama ya guruwe kwel?
Sijasema binadamu wasile nyama bali nazungumzia ritual za kidini zinazohusiana na binadamu kuua na kula wanyama, hata Simba, Fisi, Chui, Tiger, Mamba, Tai na wanyama wengine wengi wanakula nyama ila tofauti na sisi wao hawana rituals zozote zaidi ya kuwinda, kuua na kula tu. Hawajioni wao wao ni center ya universe.
 
Kwanini uchague upande? Kwamba pande zingine haziko sahihi ila tu ukristo?
Hapana mkuu!
kwenye ukristo ndio najua mambo mengi kidogo.

Tofauti na dini zingine ambazo sijui mafundisho yao na imani zao...
Eg. Islamic, taoism, shinto, hinduism n.k!
 
Virusi vingi vikiamua kukuua vinakuua na hauna Cha kufanya
Sio vikiamua kuniua, mzungumzie binadamu ukiwemo wewe. Swali ni kwanini havijaamua?
 
Hapana mkuu!
kwenye ukristo ndio najua mambo mengi kidogo.

Tofauti na dini zingine ambazo sijui mafundisho yao na imani zao...
Eg. Islamic, taoism, shinto, hinduism n.k!
Basi hizo Imani nyingine nao wako sahihi kwenye mambo mengi kushinda hata ukristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…