Kwani mpaka viniue mimi? Hausikii Kila siku watu wanakufa kwa virusi?Sio vikiamua kuniua, mzungumzie binadamu ukiwemo wewe. Swali ni kwanini havijaamua?
Ukifuatilia nyuzi zake nyingi sana za karibuni utagundua hiloAnahitaji maombi sana!
Mtafuteni BWANA maadam anapatikana!!!
May be!!! ndio maana kila mtu ana uhuru wa kuchagua na kuamini kivyake!Basi hizo Imani nyingine nao wako sahihi kwenye mambo mengi kushinda hata ukristo
Hoja ni macro-level control, sio micro-eventsKwani mpaka viniue mimi? Hausikii Kila siku watu wanakufa kwa virusi?
Unahitaji msaada wa haraka sanaHata kama ingekuwa ni kweli, kwa nini Mungu aruhusu watu wapatwe na spiritual crisis?
Binadamu kaumbwa na nani ?Unahitaji msaada wa haraka sana
Mwanadamu kaumbwa kuishi kwenye dunia ya mazuri na mabaya kwa lugha nyingine mazuri ni yetu na mabaya ni yetu
Bacteria na virusi wamemlazimisha binadamu anawe mikono kila wakati na apige mswaki.Hoja ni macro-level control, sio micro-events
Control ya species moja dhidi ya nyingine sababu ya intelligence na weapon sio mtu mmoja, wawili sijui kumi wamekula kande lenye virusi wakaarisha wakafa.
Kama ni binadamu dhidi ya virusi elezea jinsi gani species fulani ya virusi inavyomcontrol mwanadamu kama ambavyo mwanadamu anavyomcontrol kuku, mbuzi, nyani etc.
Binadamu sio kiumbe Muhimu/maalumu dhidi ya viumbe wengine hapa DunianiKatika jambo mojawapo la upotoshi mkuu ambao dini umeweza kufanya ni kuwaaminisha binadamu kwamba wa ndio kitovu cha ulimwengu (the center of the universe), kwamba kila kitu kimeumbwa kuwazunguka wao.
Kwamba wanyama, miti, Samaki, ndege na viumbe wengine wote vimewekwa kwa ajili yao, huu ni uongo mkubwa sana. Hapo ndipo mtu anamshukuru mungu wake kwa uhai wake kisha anaenda kuchinja kuku au ng'ombe na jumla! Anashukuru kwa uhai wake kisha anaenda kutoa uhai wa viumbe vingine!
Binadamu sio kitovu cha ulimwengu (center of the universe). Imetokea tu binadamu kuwepo kwenye sayari mojawapo ndogo kama vile viumbe wengine wote katika ulimwengu wenye mabilioni ya Galaxy na matrilioni ya Sayari.
Hahaha, hii kali sasa. Kwahiyo wamefanikiwa kumcontrol binadamu siyo? Haya bana.Bacteria na virusi wamemlazimisha binadamu anawe mikono kila wakati na apige mswaki.