Binadamu tunaishi ili iweje? Au tupo duniani kufanya nini? Why Do We Live?

Mwanzoni mwa kizazi cha binadamu tulikuwa tukifanana jinsia zote 2 ila kadri muda ulivyoenda ndivyo mabadiliko yalizidi kutokea kwa kasi!

Wakati huo swala la uzazi ilikuwa ni kuzidiana tu yaani kama wewe ni Mariamu alfu ukamzidi nguvu Joseph, basi papo hapo unambebesha mimba.

Vivyo hivyo upande wa pili,,,, kwahiyo kadri muda ulivyozidi kusonga ndipo tukaweza kutofautiana na kuwa na jinsia tofauti na hapo kabla.

Manyonyo haya /chuchu unazoziongelea leo ni matokeo ya uhalisia uliokuwepo hapo kabla/evolution
 
kwa waliowahi kufatilia seris za harry potter aliwahi kuulizwa swali 'why do yu live' akajibu 'bacause i have something worth living for' so kuna vitu vingi vinavyompa mtu sababu ya kutaka kuendelea kuishi. MONEY, FAME, POWER, FAMILY, VALUES, HONOUR
 

"Kama Muungu Pekee ndo anajua" lengo a kumuumba binaadamu. siutakuwa umeshapeta jibu?
jibu lake nenda katika vitabu vya Muungu (Biblia, Quran, nk) haina haja kuumizwa kichwa bila ya kupata faida yeyote.
 
Waumini jibuni hili swali
 
Ni sayari zipi zinazoizunguka dunia?

Alafu kukosa majibu ya baadhi ya vitu isiwe kigezo cha kusema kuna Mungu muumbaji.
 
Fanya tafiti utajua tunaishi ili iweje!....na hiyo ni nafasi ya kupata uprofesa kwa sababu bado tafiti haijafanyika kwenye nyanja hizo!!
 
Waumini jibuni hili swali
Maswali mengine sio lazma mjibiwe, kwasababu ninyi mnauliza kijeuri, ila ngoja nikusaidie,


JUKUMU LA MUUMINI HALISI KATIKA MUNGU , NI KUSHUKURU KWA KILA JAMBO, NDIO MAANA HATA TUNAPOMZIKA MTU ALIEKUFA MWILI HUWA TUNAMSHUKURU SANA MUNGU KWASABABU YA KAZI YAKE,:

Songa na hii,>>>>>>>> Sitakufa Bali nitaishi, nami nitayasimulia matendo ya Bwana, (Zabr 118:17) kwa mjibu wa Daudi, nikwamba tunaposhukuru pale tunapokuwa hai Ni ili tuyasimulie matendo ya Bwana, na si tufurahie anasa za Dunia.






>>>>kama vile nilivyotazamia sana, na kutumaini,kwamba sitaaibika kamwe, Bali kwa uthabiti wote, kama siku zote na sasa vivyo hivyo Kristo ataadhimishwa katka mwili wangu; ikiwa kwa maisha yangu, au ikiwa kwa mauti yangu.

Kwa maana kwangu Mimi KUISHI NI KRISTO, NA KUFA NI FAIDA.

Ila ikiwa kuishi katka mwili , kwangu Mimi Ni matunda ya kazi; basi nitakalolichagua silitambui.

Ninasongwa katka ya mambo mawili, ninatamani kwenda zangu nikae na Kristo maana Ni vizur zaidi sana;

Bali kudumu katka mwili kwahitajiwa zaidi kwa ajili yenu.
(Waphilip 1:20-24



KWA MJIBU WA PAULO ANAFUNDISHA JINSI YOTE YALIVYO NA UMHIMU KATKA MUNGU, IVYO HAYA MASWALI NIYAKITOTO KWASABABU MAJIBU YAKE YAPO WAZI KWENYE VITABU HUSIKA, ILA KWA KUWA MNAPENDA KUSOMA VITABU VYA KUONGEZA VIBURI , HAKUNA HAJA YA KUHOJI VIJISWALI HIVI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupo duniani kwa ajili ya kumuabudu alietuumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…