Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Tukishaenda mbinguni..dunia itabaki na nani? bila shaka itakosa kazi je je dunia itatupwa pahala..kwa kukosa kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawasiki watu wa imani mbalimbali wakijadili kuwa binadamu hapa duniani ni wapitaji tu na wengine wakitufundisha tujiandae kwa maisha ya milele baada kufa. Je kama kuna maisha baada ya kufa kwanini watu wanamsifia na kumshukuru mungu sana kila wanapoamka asubuhi wakiwa wazima? Kama kuna maisha mengine hapa dunia tumekuja kufanya nini?. Nini hasa sababu ya sisi kuishi hapa duniani?.
Ukisema upeo mdogo basi hata wako mdogo maana umeshindwa kuwafanya watu wakuelewe unachomaanisha.
Wewe mwenye upeo mkubwa wa kufikiri si utupe elimu sisi wapu.uzi!!!
Na jee ni nani alienaupeo mdogo wa kufikiri kati ya yule anaesema kitu na kushindwa kukielezea, na yule anaeuliza maswali?
...
Jibu ulichoulizwa acha bla blaa!
Leonardo da Vinci ana fit kwenye fikra zako introvert. Kwa maana ya kwamba ni mtu aliyeona anakipaji cha
kufanya chochote atakacho katika ustadi wa hali ya juu. Lakini si kila mtu ni multi talented. Natumia neno
kipaji/talent kwa maana ya uasili wa neno hilo. Umepewa uwezo fulani ambao ni distinct na unique. Sasa labda
wewe huamini kwenye swala la kipaji lakini kama unaamini basi itapaswa pia uamini kuwa hicho kipaji haujapewa
bure.Kuna sababu maalum za wewe kupewa au kuwa hicho kipaji. Sasa kwa jinsi ambavyo Introvert
unaongea ni kana kwamba kila mtu anaweza akafanya chochote kile kwa ustadi wa hali ya juu! na hii si
kweli. Kuna watu wana uwezo mkubwa katika eneo / maeneo fulani na hawajui kama wana uwezo huo.
Wanahangaika kujishughulisha na sehemu ambazo wanaowezo mdogo mno. Mimi nahimiza watu wa-unleash their potential. Otherwise LET US AGREE TO DISAGREE🙂🙂🙂.
mandate ya kupinga si kweli unaitoa wapi
Ujifunze tabia yakuelewesha watu.
Hakuna uthibitisho wa hiyo dhana.
Ni ngumu kumwelewesha mtu ambaye hajielewi mwenyewe afu isitoshe sipendi tabia ya mtu ya kutoshirikisha ubongo wake namwona kama daraja ,nitamrudisha kundini endapo atanielewa
Je unaamini kila kinachotokea ni mipango ya Mungu?kama mtu hauju kipaji chake na anaendelea kufanya mambo mengine nje ya aneo analoweza kufanya vizuri zaidi hadi anakufa..je, lengo la mungu kumleta hapa duniani kama ulivyosema litakuwa limekamika kwa njia ipi ???
Ujifunze kukubali kukosolewa corz hakuna mkamilifu best, afu usipende kuona watu vilaza wakati ur worst of all, ungekua unajielewa ungeshirikisha ubongo kujibu unayoulizwa kutokana na uliyoyasema.
only fools understand fools only the bright will the light ,king and queens of judging and predicting are worst ignorant and arrogant creatures,ni bora nikae kimya than conversing with a fool am nt your TEACHER,PREACHER nor SEARCHER
And Vice versa.
badala ya kuchangia mada una muattack mtu individually bila fact eti unamrekebisha huku huelewi kamaanisha nini,at the otherside ulichochangia hakuna only fools will deal with personalities not issues very depressing and afteral i think ni allogernic beh. Ndo tatizo I CONCUR.
I thought umesema unakaa kimya hutaki kubishana na fools watsup?