Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waislam tumeumbwa kumcha mungu
Kwanini umezaliwa/hukuzaliwa "Na tuumbe mtu kwa mfano wetu" "umetoka kwa udongo utarudi kwa udongo"hayo ni maneno kutoka kitabu takatifu, umeletwa duniani kwa sababu Mungu alikuwa na haja na wewe, "kila nafsi iliyo hai itaonja mauti" maneno takatifu.
Ukiona unalalamikiwa sana, ni kwamba unakwaza wengine CCM siyo mpango wa Mungu, bali ni wa kishetani.
Kwa mantiki hiyo, asiasi hafi?Utii huwezi kuutenganisha maana mauti ililetwa kwa wale walio kosa utii na Adam akaonekana kutotii kwa hiyo adhabu yake ni kufa milele na ndiyo ilikuwa hukumu.
Kwa nini awe Yesu well!
Sijajua wewe ni atheist au[/QUETE]
Mimi ni Muslim tena mwenye mawazo huru! Sikubaliani na chochote without logic!
Bora nikuache mkuu! Coz nnachokuuliza haujibu na ukijibu ni kinyume na swali! Majibu yananipa uwanja mpana wa kukuuliza maswali mengine!but I need to answer vividly.
Gharama ya ukombozi wa mwanadamu aliyeanguka ilifaa tu kwa damu kumwagika na Sio damu yeyote ile na Mungu kwasababu alitenganishwa Mawasiliano na mwanadamu kwa dhambi ilipaswa aje kwa mfumo wa mwanadamu ili amkomboe fillipi 2:5-9
Zaidi sana umbo la kibinadamu lilitumika kumkomboa mwanadamu kwa njia ya kristo Yesu
But zingatia maneno haya!
Soma sana bible ikiwezekana soma yote, wakati unasoma jiulize maswali ili upate tafsiri halisi ya aya uliyoisoma, ukishindwa kupata reasonable meaning jaribu kuwauliza watu wengine!
na sio unaamini tu! Bible imeandikwa na binadamu kama wewe thus why kunamikanganyiko mengi sana!
I hope umenielewa!
Tukishaenda mbinguni..dunia itabaki na nani? bila shaka itakosa kazi je je dunia itatupwa pahala..kwa kukosa kazi?
kwani lazima mungu tumche tukiwa duniani tu? kwani tungemcha bila kuja duniani kingetokea nini?.
Lakini tukumbuke wengine hawaamini yesu wala mohamad je hao hawana haki ya kuishi?
kwani lazima mungu tumche tukiwa duniani tu? kwani tungemcha bila kuja duniani kingetokea nini?.
sio tunakula ili tuishi?
Ujifunze kukubali kukosolewa corz hakuna mkamilifu best, afu usipende kuona watu vilaza wakati ur worst of all, ungekua unajielewa ungeshirikisha ubongo kujibu unayoulizwa kutokana na uliyoyasema.
Utii huwezi kuutenganisha maana mauti ililetwa kwa wale walio kosa utii na Adam akaonekana kutotii kwa hiyo adhabu yake ni kufa milele na ndiyo ilikuwa hukumu.
Kwa nini awe Yesu well!
Sijajua wewe ni atheist au but I need to answer vividly.
Gharama ya ukombozi wa mwanadamu aliyeanguka ilifaa tu kwa damu kumwagika na Sio damu yeyote ile na Mungu kwasababu alitenganishwa Mawasiliano na mwanadamu kwa dhambi ilipaswa aje kwa mfumo wa mwanadamu ili amkomboe fillipi 2:5-9
Zaidi sana umbo la kibinadamu lilitumika kumkomboa mwanadamu kwa njia ya kristo Yesu
Acha nae Box tupu huyo! Anaongea pumba na hata hawezi kujitetea!
Asidhani akiulizwa maswali watu hawajui! Tunajua vizuri just tunataka kuproof pumba zake! Kuna rule inasema usipinge tu hata kama unajua, toa nafasi na umpinge mtu kutokana na utetezi wake!
Mikanganyiko ipo kwenye Qur'an 21:7
Qur'an 22:45
Qur'an 72:1-5
Acha nae Box tupu huyo! Anaongea pumba na hata hawezi kujitetea!
Asidhani akiulizwa maswali watu hawajui! Tunajua vizuri just tunataka kuproof pumba zake! Kuna rule inasema usipinge tu hata kama unajua, toa nafasi na umpinge mtu kutokana na utetezi wake!
Kwa hiyo unataka kutuambia MUNGU hana uwezo wa kutukomboa bila kujibadilisha na kuchukua umbo la binadamu? Mungu hana uwezo wa kushindana na shetani mpaka avae umbo la kibinadamu? Unazungumziaje kuhusu paulo na sila je nani aliwaokoa walipoomba maana damu ilikuwa haijamwagika ya huyo mungu unayesema ili atuokoe ilibidi aje na umbo la kibinadamu?
Al anbiyaa:Mikanganyiko ipo kwenye Qur'an 21:7
Al hajj:Qur'an 22:45
Al jinn:Qur'an 72:1-5