Binadamu tunaishi ili iweje? Au tupo duniani kufanya nini? Why Do We Live?


hiyo sentensi ya mwisho mimi simo jamani.
 
Utii huwezi kuutenganisha maana mauti ililetwa kwa wale walio kosa utii na Adam akaonekana kutotii kwa hiyo adhabu yake ni kufa milele na ndiyo ilikuwa hukumu.
Kwa mantiki hiyo, asiasi hafi?
Ivi mkuu unatambua nini maana ya utii?
Scope and limitation ya utii ni ipi?
 
Tukishaenda mbinguni..dunia itabaki na nani? bila shaka itakosa kazi je je dunia itatupwa pahala..kwa kukosa kazi?

Leonard Robert, Kiama itakuwa duniani! Kitakachotendeka ni kusafishwa/kubadilishwa dunia na kuwa kitu kingine!
 
kwani lazima mungu tumche tukiwa duniani tu? kwani tungemcha bila kuja duniani kingetokea nini?.
 
Lakini tukumbuke wengine hawaamini yesu wala mohamad je hao hawana haki ya kuishi?

Mkuu usichanganye!
Kila mtu anahaki ya kuishi!
Na kila mtu anaamini atakacho! Waislamu wa(tu)naamini tumeletwa duniani ili Tumuabudu Mungu, but hiyo sio sababu usifanye na shughuli nyengine unazopenda mwenyewe!

If usipoabudu Mungu hukumu ni kiama!
 
kwani lazima mungu tumche tukiwa duniani tu? kwani tungemcha bila kuja duniani kingetokea nini?.

Sasa kinyume na wewe kuzaliwa (kuwepo duniani)
unategemea huyo Mungu ukamche wapi?
 
Ubarikiwe kwa ushauri though hujui unaeongea nae anaelimu gan kwenye theology ya maandiko.
What I know kama angekuwa mkristo msomaji wa maandiko angeelewa nilicho eleza
 
Mikanganyiko ipo kwenye Qur'an 21:7
Qur'an 22:45
Qur'an 72:1-5
 
Ujifunze kukubali kukosolewa corz hakuna mkamilifu best, afu usipende kuona watu vilaza wakati ur worst of all, ungekua unajielewa ungeshirikisha ubongo kujibu unayoulizwa kutokana na uliyoyasema.

Acha nae Box tupu huyo! Anaongea pumba na hata hawezi kujitetea!
Asidhani akiulizwa maswali watu hawajui! Tunajua vizuri just tunataka kuproof pumba zake! Kuna rule inasema usipinge tu hata kama unajua, toa nafasi na umpinge mtu kutokana na utetezi wake!
 

Kwa hiyo unataka kutuambia MUNGU hana uwezo wa kutukomboa bila kujibadilisha na kuchukua umbo la binadamu? Mungu hana uwezo wa kushindana na shetani mpaka avae umbo la kibinadamu? Unazungumziaje kuhusu paulo na sila je nani aliwaokoa walipoomba maana damu ilikuwa haijamwagika ya huyo mungu unayesema ili atuokoe ilibidi aje na umbo la kibinadamu?
 
Mungu angekuja kwa njia yeyote anayotaka pia ungehoji.
 

is well and good ,the world will tell on its own way and time.you will never ever see and read the real semantic in my statements by been arrogant through predicting the unknown.Attacking a person individually by insults is lack of potential knowledge stability and outputting ignorant inborn character you where hiding.I thank my GOD that the rail is straight and the praise towards is infinity.keep dreaming
 
Mikanganyiko ipo kwenye Qur'an 21:7
Qur'an 22:45
Qur'an 72:1-5

Toa hayo maandiko kwa kuandika hizo aya zake hapa si wote wanajua kusoma au wana quran. Andika hizo aya hapa jf kila mtu azione mjadala uendelee.
 

Best nsha achana nae huyo siunajua tuna uelewa tofauti tofauti.
 

jua kwanza ni nani,pili we ni nani,tafuta upo hapa duniani kwa ajili gani ukipata majibu ukaungame.
 
Mikanganyiko ipo kwenye Qur'an 21:7
Al anbiyaa:
  • Au wamepata waungu katika ardhi wafufuao?
Qur'an 22:45
Al hajj:
  • Miji mingapi tuliiangamiza iliyokuwa ikidhulumu, ikaanguka juu ya mapaja yake; na visima (vingapi) vilivyoachwa, na majumba (yaliyokuwa) madhubuti?
Qur'an 72:1-5
Al jinn:
  • 1 Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini liliskia (Quran) likasema: 'Hakika tumeskia Quran ya ajabu'

  • 2 'Inaongoza katika uongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutomshirikisha yoyote tena na Mola wetu'

  • 3 'Na kwa hakika utukufu wa Mola wetu umetukuka kabisa, hakujifanyia mke wala mwana'

  • 4 'Na kwa hakika wapumba.vu miongoni mwetu walikuwa wakisema maneno yaliyopindukia mipaka juu ya Mwenyezi Mungu'

  • 5 'Nasi tulikuwa tukidhani ya kuwa watu na majini hawatasema uwongo juu ya Mwenyezi Mungu'
Mkanganyiko uko wapi hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…