Binadamu tunaishi ili iweje? Au tupo duniani kufanya nini? Why Do We Live?


Teh teh teh!
Mkuu mi utanichukia bure tu!

Mi najaribu kuwatoa hawa watu kwenye giza la UKAFIRI na kuwaleta kwenye mwanga wa KUMTAMBUA MUNGU MKUU!

NA kazi hii aliifanya YESU pia.
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh!
Mkuu mi utanichukia bure tu!

Mi najaribu kuwatoa hawa watu kwenye giza la UKAFIRI na kuwaleta kwenye mwanga wa KUMTAMBUA MUNGU MKUU!

NA kazi hii aliifanya YESU pia.
 
Teh teh teh!
Mkuu mi utanichukia bure tu!

Mi najaribu kuwatoa hawa watu kwenye giza la UKAFIRI na kuwaleta kwenye mwanga wa KUMTAMBUA MUNGU MKUU!

NA kazi hii aliifanya YESU pia.

quran 40;60 inakuhusu.
 
Binadamu wa ajabu sana maswali mgumu ya kutafuta majibu yakiwashinda wanakimbilia kusema mambo ya mungu hayo lakini tukumbuke hata gono lilikuwa halina dawa watu wakatafuta majibu wakayapata.sasa wacha kusingizia mungu chekechecha bongo.

ni kweli mkuu weng humu tumedumaa mentaly
 
Tumeletwa ili kumuabudu yeye...na kuongeza binadamu kama sisi (Watoto)









 
7 Likes from me!! As complicated as it is....these tend to be my thoughts as well!
 
wakuu

mi nina swali je siku ya mwisho ni lini? wanadamu tupo makundi
mbalimbali ya dini je ni kundi gani ndio litafanikiwa kufika mbinguni?
je makundi yote yaliyobaki MUNGU atayaangamiza? je watakapokufa roho zao
zitaenda wapi? je kweli mungu ana upendo na kama anao kwanini atuachie
kwa shetani atudanganye ndipo atuadhibu? je MUNGU na shetani nani mwenye mamlaka? hivi mzazi unaweza kumtega mwanao akosee ili umuadhibu (mf.) ? kwa maelezo haya nikisema MUNGU hana upendo nitakua nimekosea ? Nisaidieni wakuu
 
Ukisikia watu wenye akili ndo kama wewe....Kuna masuali hatuna budi kujiuliza....Fanya utafiti utapata Jibu...
 

soma bible inamajibu yote
 
...Siku ya Mwisho hakuna kiumbe ambae anaijua kuja kwake.
....Kundi litakalo amini kua hakuna Mungu anaepasa kuabudiwa kwa haki isipokua Mwenyezi Mungu 1...hakuzaa wala hakuzaliwa wala hakuna anaefanana nae.
....Makundi yaliobaki kama yalifikiwa na Elimu juu ya Mwenyezi Mungu wa kweli na wakaamua kukataa kwa mausudi basi hayo ni kweli yatakwenda motoni bila ya shaka yoyote....Kama hayakupata elimu juu ya Mwenyezi Mungu basi Mwenyezi Mungu atayasamehe na kuwaingiza katika pepo wakiwa wameridhia.
...Wapi zinakwenda roho baada ya Mtu kufa?...Kwa mafundisho ya uislam baadhi ya wanazuoni wanatuambia kua kunakwahali kunaitwa Barzaq..huku ndio zinakowekwa....waliowengi wanatuambia kua kaburini mtu anarejeshewa roho yake na anakua na uhai wake katika maisha ya waliowafu....ushahidi huu tunaupata katika sura ya tatu Ali-imraan...

tut'ii wasingeli uliwa. Sema: Ziondoleeni nafsi zenu mauti kama mnasema kweli.

3:169to top

Sahih International
And never think of those who have been killed in the cause of Allah as dead. Rather, they are alive with their Lord, receiving provision,

Swahili
Wala kabisa usiwadhanie walio uliwa katika Njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni maiti. Bali hao ni wahai, wanaruzukiwa kwa Mola wao Mlezi.


3:170to top

Sahih International
Rejoicing in what Allah has bestowed upon them of His bounty, and they receive good tidings about those [to be martyred] after them who have not yet joined them - that there will be no fear concerning them, nor will they grieve.

Swahili
Wanafurahia aliyo wapa Mwenyezi Mungu kwa fadhila yake, na wanawashangilia wale ambao bado hawajajiunga nao, walio nyuma yao, ya kwamba haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika.


3:171to top

Sahih International
They receive good tidings of favor from Allah and bounty and [of the fact] that Allah does not allow the reward of believers to be lost -

Swahili
Wanashangilia neema na fadhila za Mwenyezi Mungu, na ya kwamba Mwenyezi Mungu hapotezi ujira wa Waumini,

Kuhusu mapenzi ya Mungu na kumuachia shetani atupoteze...Hapa hatutakiwi kumlaumu M/Mungu kwa sababu ametuletea mitume na pia warithi wa Mitume(wanazuoni)...Sisi tunawakataa na wengine tunawauwa..na tunamfanya shetani ndio rafiki yetu...Tuangalie Uganda Museveni amepiga marufuku Ushoga...wakati nchi nyengine ndo wanashabikia...Uk wameweka sheria Umri halali wa mwanamke kuolewa iwe 18...lakini umri halali wa kijana wa kiume KUFIRWA iwe 16...kweli hapa tumlaumu M/Mungu mkuu...M/Mungu ametupa akili kuliko viumbe vyote...ata uyo shetani hatufikii.....Kimamlaka Shetani hawezi kutufikia hata sisi binadamu achilia M/Mungu...ni kwamba mamlaka shetani tunampa sisi wenyewe...Ni kama unapomwambia mkeo mimi kwako sijiwezi...na ukamaanisha kivitendo...yani mpaka ukitaka kwenda msakani upewe ruhusa...unapangiwa mpaka marafiki wa kufuatana nao

Khitimisho:
Kuna baadhi masuali mkuu elimu yake hata tukiijua haitusaidii kitu..kwa mfano wanyama wanaongea lugha zao za kinyama...lakini wewe itakusaidia nini kutaka kujua kuku wako,bata au mbwa wameongea nini?...hata ukinyeshwa wapi roho zinapelekwa ndo utakwenda kuchukua ujirejeshee mwenyewe?

 
Acha kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu.

Swali ni gumu kwako.
Kwa wengine ni km keki ya harusi!
Lainiiiii!

The simple answer is this one.

Quraan.
Al Dhariyat. 51:56

وَمَا خَلَقْتُ الْجِنَّ وَالْإِنْسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ

Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi.

Lengo la sisi binaadamu kuwa hapa DUNIANI NI KUMUABUDU MUNGU TU.
Thats it.

Take it or leave it but that is the truth and the final ANSWER.
 
Swali zima la "tunaishi ili iweje" lina assume kwamba kuna sababu za kila kitu kuelekea. Kitu ambacho si kweli.

Wacha kudanganya watu wewe, hakuna kitu kisichokuwa na sababu ya kuelekea hapa ulimwenguni.

Kila kilicho mbele ya macho yako kina sababu ya kuwepo!
Ukisema binaadamu HANA SABABU MAALUM YA KUWEPO HAPA DUNIANI maana yake ni kuwa Tuko hapa kipu.mbavu tu. Au kwa lugha ya wakoloni ni "we are here for foo.lish porpoises!

WHICH IS IMPOSSIBLE!

Kama kuku yuko hapa kwa SABABU MAALUM.
MBUZI ana sababu MAALUM ya kuwepo.
Mpaka FUNZA na Nzi Wana SABABU MAALUM ZA KUWEPO HAPA.
Na KAMA VIUMBE HAO WASINGEKUWEPO basi MAISHA TULIONAYO LEO YASINGEKUWE.

WE ulikuwa unayafahamu hayo??
BILA FUNZA wewe mzaramo wa Msata USINGEKUWEPO HAPA JF.

sasa KAMA FUNZA (maggots) wana SABABU KUBWA NA MAALUM SANA YA KUWEPO HAPA DUNIANI.
Vipi iweje BINAADAMU ASIWE NA SABABU MAALUM?

Sema WEWE Kiranga wa msata HUJUI SABABU YA WEWE KUWEPO lkn USISEME KUWA HAKUNA SABABU,
kwa sababu Elimu Na Ujuzi Ulionao Umemalizikia Kwenye GOOGLE!

Kuna msemo mmoja wa hekima unakwenda hivi :-

Five percent of the people think;

ten percent of the people think they think;

and the other eighty-five percent would rather die than think.

And I think you are on the bigger percentage!
 
Last edited by a moderator:
A very interesting question though, navyojua kulingana na imani yangu, kitabu changu cha muongozo, kinaniambia Mungu aliumba mbingu na dunia, baada ya hapo akaumba binadamu ili akatawale viumbe vyote vya nchi kavu na baharini, akazae na kuongezeka na kuijaza dunia Vile vile Mungu akampa binadamu kanuni za kuishi ambazo Ni amri kumi ambazo katika hizo utapata kanuni nyingine ndogo ndogo za kuishi.hakuna zaidi ya hapo mengine Ni ubatili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…