Mimi ni mtu ninayeamini na kuelewa kwamba Mungu yupo? kwa sababu kuu mbili
1, uambaji wa ulimwengu
2, viumbe hai
hivyo ndio vitu vinanifanya niendelea kuamini yakwamba MUNGU YUPO kwa sababu sijui ulimwengu na viumbe hai vimetoka wapi? au nani kavitengeneza?
pamoja na hivyo huwanga naendelea kubaki njia panda nakushidwa nielewe kipi? ninapojiuliza maswali kama haya
1,ukisoma biblia inaelezea njisi uumbaji wa ulimwengu huu. lakini haijaeleza wazi kuhusu sayari zingine ziliubwaje? au mungu alikuwanga anakosea kuumba sayari hadi alipobahatisha kuumba sayari ya dunia yenye uwezo wa kuishi viumbe hai.?
2, maligafi zenye uwezo wa kuumba ulimwengu alizitoa wapi??
3, biblia inasema binadamu anafanana na mungu kiumuonekano.
kama ni kweli aliwezaje kuumba ulimwengu unaumzidi ukubwa dani ya siku moja?
4, undogo alioutumia kumuumba adam ninaweza nikaupata wapi? katika dunia hii., je kama nikupata ninaweza na mimi nikategema mwili wa binadamu wenye nyama, mifupa, mishipa na damu
Kama unaamini kupitia Biblia rudi ukasome vizuri na uhakikishe unaielewa,naamini ukifanikiwa hilo utarudi hapa na maswali mengine tofauti na haya ya sasa ambayo hata baadhi ya uandishi umeunga unga herufi na kufanya usieleweke!
Kesho ukiambiwa kwamba havijaumbwa utakubali?Mimi ni mtu ninayeamini na kuelewa kwamba Mungu yupo? kwa sababu kuu mbili
1, uambaji wa ulimwengu
2, viumbe hai
hivyo ndio vitu vinanifanya niendelea kuamini yakwamba MUNGU YUPO kwa sababu sijui ulimwengu na viumbe hai vimetoka wapi? au nani kavitengeneza?
Biblia ni manual book kwaajili ya binadamu aliyeko duniani kwa matumizi ya binadamu huyo huyo aliyeko huku huku duniani,unataka ielezee mambo ya sayari nyingine kwasababu gani?pamoja na hivyo huwanga naendelea kubaki njia panda nakushidwa nielewe kipi? ninapojiuliza maswali kama haya
1,ukisoma biblia inaelezea njisi uumbaji wa ulimwengu huu. lakini haijaeleza wazi kuhusu sayari zingine ziliubwaje? au mungu alikuwanga anakosea kuumba sayari hadi alipobahatisha kuumba sayari ya dunia yenye uwezo wa kuishi viumbe hai.?
Unajua maana ya kuumba?2, maligafi zenye uwezo wa kuumba ulimwengu alizitoa wapi??
Kimuonekano? Ya wapi hii?3, biblia inasema binadamu anafanana na mungu kiumuonekano.
Msingi wa swali hili umetokana na kutokujua,kwa maana hiyo swali hili nalo ni la namna hiyo hiyokama ni kweli aliwezaje kuumba ulimwengu unaumzidi ukubwa dani ya siku moja?
Jibu la swali hili liko hapo juu ....!!4, undogo alioutumia kumuumba adam ninaweza nikaupata wapi? katika dunia hii., je kama nikupata ninaweza na mimi nikategema mwili wa binadamu wenye nyama, mifupa, mishipa na damu
Mimi ni mtu ninayeamini na kuelewa kwamba Mungu yupo? kwa sababu kuu mbili
1, uambaji wa ulimwengu
2, viumbe hai
hivyo ndio vitu vinanifanya niendelea kuamini yakwamba MUNGU YUPO kwa sababu sijui ulimwengu na viumbe hai vimetoka wapi? au nani kavitengeneza?
pamoja na hivyo huwanga naendelea kubaki njia panda nakushidwa nielewe kipi? ninapojiuliza maswali kama haya
1,ukisoma biblia inaelezea njisi uumbaji wa ulimwengu huu. lakini haijaeleza wazi kuhusu sayari zingine ziliubwaje? au mungu alikuwanga anakosea kuumba sayari hadi alipobahatisha kuumba sayari ya dunia yenye uwezo wa kuishi viumbe hai.?
2, maligafi zenye uwezo wa kuumba ulimwengu alizitoa wapi??
3, biblia inasema binadamu anafanana na mungu kiumuonekano.
kama ni kweli aliwezaje kuumba ulimwengu unaumzidi ukubwa dani ya siku moja?
4, undogo alioutumia kumuumba adam ninaweza nikaupata wapi? katika dunia hii., je kama nikupata ninaweza na mimi nikategema mwili wa binadamu wenye nyama, mifupa, mishipa na damu
kwasababu umesoma biblia tu huwezi kupata jibu. Biblia haina kila kitu.

Biblia haina nini?
Biblia haijaandika au kuekeza kila kitu ktk dunia hii ubishi Wa nini?
Nimeuliza swali dogo tu kwamba "kwenye biblia hakuna nini" lakini badala ya kujibu unakuja na madai ya ubishi,hii ni tabia ambayo sio nzuri kwa afya ya ubongo ...
Kama una jibu si unanijibu tu na kama huna jibu si unakaa kimya tu?
Kwenye biblia kuna kompyuta? Kuna ndege ya abiria?