Binadamu tunalazimisha kuwa na mwenzi mmoja?

Binadamu tunalazimisha kuwa na mwenzi mmoja?

Tunalazimisha tu lakini mambo kwa ground hayapo hivyo ,yaani miaka 10+ unato/ unato.. na mtu huyo huyo tu ni ngumu.
Wanawake kila siku wanatongozwa na wanaume wengi tu,lazima kati yao watampata tu hali kadhalika wanaume wana wanawake wa kando pia.
Kinachofanya watu wakaungana kama mke na mume ni ile hali ya utambulisho na makubaliano ya kushikikiana maisha kwa pamoja.ikiwapo na kuzaa watoto. Nje ya hapo kila mtu anatumia kiungo chake nje ya makubaliano
 
Sio lazima.kuwa na wanaume 10 na sio lazima kila mwanaume umzalie. But once in a while mtu ukiteleza isiwe dhambi.
Kuwa na wanaume/wanawake wengi kiasi hicho ni nadra sana kutokea kwa binamu wa kawaida ingawa pia inawezekana. Ila wawili watatu sio mbaya😅
Wewe ndio unasema wawili watatu ila sisi binadam haijaruhusiwa tayari kuna watu wanao zaidi ya 10.
 
Hayo ni mambo ya wazungu. Walianza na mke mmoja sasa wanasema ni sahihi kuoa mwanaume mwenzio.

Hii itapigiwa kelele na mwishowe itakuja kuonekana ya kawaida kama ya mke mmoja.

Mimi binafsi I don't buy that stupidity. Nakua na mwanamke mmoja amekua mama yangu?
Sasa kuoa mwanaume mwenzio hapa imekujajee?
 
Hayo ni mambo ya wazungu. Walianza na mke mmoja sasa wanasema ni sahihi kuoa mwanaume mwenzio.

Hii itapigiwa kelele na mwishowe itakuja kuonekana ya kawaida kama ya mke mmoja.

Mimi binafsi I don't buy that stupidity. Nakua na mwanamke mmoja amekua mama yangu?
Upande wa wanaume kwa tamaduni zetu za kiafrika ni sawa kuwa na wake wengi lakini mtoa mada kazigusa jinsia zote mbili, sasa upo tayari kuchangia mke na wanaume wengine?
 
Afadhali hata wazungu wanakuwa na mwenza mmoja wakichokana wanapigana chini kwa amani maisha yanaendelea.
Sisi tunalazimishana kubaki kwenye ndoa na kama mkifanikiwa kuachana basi jamii nzima inawatolea macho as if mmeua.
Wazungu wana-practice 50/50 kwa vitendo, mwanaume wa kizungu habebeshwi jukumu la kumhudumia mke au girlfriend, habebeshwi jukumu la kutoa mahari. Kinachowakutanisha ni mapenzi tu suala la pesa ni either kila mtu atumie za kwake au matumizi yagawanywe nusu kwa nusu kwaiyo hata mkiachana baada ya kuchokana ni rahisi mwanaume kuelewa tofauti na afrika kuanzia mwanaume unapomtongoza tu mwanamke unabebeshwa majukumu ya mzazi wa uyo mwanamke kwaiyo ukifika wakati wa kuachana akifikiria gharama alizoingia kwa mwanamke inakua ni ngumu sana kukubali kirahisi rahisi. Kabla ya kusema umemchoka mume/boyfriend wako piga hesabu ya gharama zote alizoingia kwa ajiri yako tafuta hela mpe, mwambie "mwenzangu mapenzi yamfika tamati milioni kadhaa zako ulizotumia kwa ajiri yangu kipindi cha mahusiano yetu hizi hapa" uone kama mtaachana kwa hard feelings
 
Back
Top Bottom