Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
🤣🤣Sasa wewe ni binadamu unae shangaza kuliko wote.
Unammezea mate mtu ambae hata sura yake huijui. Tuseme unamezea mate maandishi yake au ni nini sijaelewa bado😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Sasa wewe ni binadamu unae shangaza kuliko wote.
Unammezea mate mtu ambae hata sura yake huijui. Tuseme unamezea mate maandishi yake au ni nini sijaelewa bado😅😅😅
Binadamu wa kidigitali itakuwa🤣🤣
[emoji16]Tunatafutiana dhambi bure. Hata kutamani eti ni dhambi
Imagine uko seminar na co. Worker na baridi hii ety ulale peke yako kisa umeoa [emoji16] wakati ilitakiwa mpeane company.Sio lazima.kuwa na wanaume 10 na sio lazima kila mwanaume umzalie. But once in a while mtu ukiteleza isiwe dhambi.
Kuwa na wanaume/wanawake wengi kiasi hicho ni nadra sana kutokea kwa binamu wa kawaida ingawa pia inawezekana. Ila wawili watatu sio mbaya[emoji28]
Tuna zoom visivyowezekanaBinadamu wa kidigitali itakuwa
kwenye sheria na miongozo ya imani zetu, makabila.Haijaruhusiwa na nani? Unataka nani aruhusu?
Tatizo lipo hapoUpo tayari kwa mkeo kua na wanaume wengi ili uvunje hiyo dhana ya kua na mwenzi mmoja?
Tuanzie hapo kwanza.