Binadamu wana tatizo moja ndio maana Yesu alikataa kuwapa nafasi japo walijifunza mengi.

Binadamu wana tatizo moja ndio maana Yesu alikataa kuwapa nafasi japo walijifunza mengi.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Nyerere kuna nukuu yake alisema " Yesu kuna mda hakutoa majibu ya maswali sababu Wanafunzi wake walikuwa kama marofa"

Neno Rofa tumeliona mfano hapo bungeni angalia walivyokuwa wakimsifu magufuri baada ya kufa hata hawa elewi wanaanza kusifia samia.

Kesho hakija mtu mwengine hata kwa mapinduzi utashangaa wanakwambia ajawahi kutokea raisi yoyote kama huyu.
 
Sasa usichoelewa hapo ni Nini !?

Ulitaka wasimsifie ili wakose ulaji wao !? Siasa haipo hivyo hata siku Moja unapokuwa kwenye kundi Fulani la siasa agenda yenu Huwa Moja tu kuhakikisha Department/chama chenu kinazidi kutawala Hata kama Kuna mapungufu wewe kausha , kama unaona Kuna mapungufu basi achia ngazi kaungane na team nyingine,

Tatizo la wabongo wengi hawajui hiyo michezo na wanajipa hope kwamba wanasiasa wa Africa wata wapatia maendeleo thubutuuu maybe 300 yrs to come not now
 
Nyerere kuna nukuu yake alisema " Yesu kuna mda hakutoa majibu ya maswali sababu Wanafunzi wake walikuwa kama marofa"

Neno Rofa tumeliona mfano hapo bungeni angalia walivyokuwa wakimsifu magufuri baada ya kufa hata hawa elewi wanaanza kusifia samia.

Kesho hakija mtu mwengine hata kwa mapinduzi utashangaa wanakwambia ajawahi kutokea raisi yoyote kama huyu.
Uandishi!! Uandishi!! Uandishi!!

Kesho hakija??
 
Back
Top Bottom