Uandishi!! Uandishi!! Uandishi!!Nyerere kuna nukuu yake alisema " Yesu kuna mda hakutoa majibu ya maswali sababu Wanafunzi wake walikuwa kama marofa"
Neno Rofa tumeliona mfano hapo bungeni angalia walivyokuwa wakimsifu magufuri baada ya kufa hata hawa elewi wanaanza kusifia samia.
Kesho hakija mtu mwengine hata kwa mapinduzi utashangaa wanakwambia ajawahi kutokea raisi yoyote kama huyu.
Mimi hizo errors hua nafanya km sijaona ili niisimtoe mchezoniUandishi!! Uandishi!! Uandishi!!
Kesho hakija??
Hiyo wisdom nani kaiongea? Na kwanini iwe universal?Kuna wisdom inasema ukiona mtu anatafuta makosa ulichokifanya au kusema fahamu huyo kimemuuma au kumgusa ukweli.We ni ccm