suleiman omary
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 257
- 49
Mungu kaingiaje tena hapa?....kwenye vitabu vya Mungu hakuna sayari nyingine iliyozungmziwa zaidi ya dunia....jupter kuna Mungu gani?ndio nyie hamuamini uwepo wa mungu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mmmhhh hilo yai linatagwa na nani sasa?
Kubwa kiasi hicho
Ni mkusanyiko wa Gases zinazo-move kwa kasi sana...ila ?
Hahahahahahahahahahahahahaahahahahahahahahahahahajahahajahahahahaah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Katika utafiti wa kijiografia huko Marekani, imegundulika kuwa katika sayari ya jupiter pia huishi binadamu kama sayari yetu hii ya dunia [earth].
Tofauti iliyopo kati yao na siye ni kwamba, sisi huzaliwa kwa kupitia mama zetu baada ya kubeba mimba miezi 9 lakini wao hutotolewa kama vifaranga vya Mbuni baada ya kukaa katika yai mwaka 1 na miezi 7.
Wanaishi maisha mazuri sana kama ya Adamu na Eva. Hawaugui wala kufa bali wakizeeka huyeyuka na kupaa mbinguni. Wanaishi maisha ambayo hayapo duniani, hakuna magari wala majumba zaidi ya yote huko hakuna UKIMWI.
HII NDO JUPITER
View attachment 401458
umechukua google ama?
- These planets have no solid surface like the earth. The surfaces consist entirely of a sea of liquid hydrogen, hundreds of miles deep.
- The atmospheric pressure is millions of times greater than the earth's. The pressure is enough to crush the strongest metals.
- Numerous space probes have examined these planets using advanced technology and have not detected any sign of life whatsoever. No plants. No animals. No tall people. Nothing but hydrogen, helium and other gases
Hapo mbona kama ni IgugumyaKatika utafiti wa kijiografia huko Marekani, imegundulika kuwa katika sayari ya jupiter pia huishi binadamu kama sayari yetu hii ya dunia [earth].
Tofauti iliyopo kati yao na siye ni kwamba, sisi huzaliwa kwa kupitia mama zetu baada ya kubeba mimba miezi 9 lakini wao hutotolewa kama vifaranga vya Mbuni baada ya kukaa katika yai mwaka 1 na miezi 7.
Wanaishi maisha mazuri sana kama ya Adamu na Eva. Hawaugui wala kufa bali wakizeeka huyeyuka na kupaa mbinguni. Wanaishi maisha ambayo hayapo duniani, hakuna magari wala majumba zaidi ya yote huko hakuna UKIMWI.
HII NDO JUPITER
View attachment 401458
wewe sio mwandishi wa habari. na ustaarabu wa hapa JF kwa habari kama hizo toa chanzo tukuamini, sasa kama umejitungia huko vichochoroni we unataka tukuamini tu.sasa unataka link inamaana haujaamini habari yangu
Wanagegedana halafu mimba ndio inakuwa yaiHuko hakuna kugegedana?