Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

Katika utafiti wa kijiografia huko Marekani, imegundulika kuwa katika sayari ya jupiter pia huishi binadamu kama sayari yetu hii ya dunia [earth].

Tofauti iliyopo kati yao na siye ni kwamba, sisi huzaliwa kwa kupitia mama zetu baada ya kubeba mimba miezi 9 lakini wao hutotolewa kama vifaranga vya Mbuni baada ya kukaa katika yai mwaka 1 na miezi 7.

Wanaishi maisha mazuri sana kama ya Adamu na Eva. Hawaugui wala kufa bali wakizeeka huyeyuka na kupaa mbinguni. Wanaishi maisha ambayo hayapo duniani, hakuna magari wala majumba zaidi ya yote huko hakuna UKIMWI.

HII NDO JUPITER
View attachment 401458
Wanyarwanda wapo au Wasomali?
 
wewe sio mwandishi wa habari. na ustaarabu wa hapa JF kwa habari kama hizo toa chanzo tukuamini, sasa kama umejitungia huko vichochoroni we unataka tukuamini tu.
basi hizo ni story za once upon a time.
paukwa pakawa stories .
unajuaje kama mie siyo muandishi wa habari? na je kila habari humu inawekwa na waandishi wa habari?
 
Back
Top Bottom