Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanyarwanda wapo au Wasomali?Katika utafiti wa kijiografia huko Marekani, imegundulika kuwa katika sayari ya jupiter pia huishi binadamu kama sayari yetu hii ya dunia [earth].
Tofauti iliyopo kati yao na siye ni kwamba, sisi huzaliwa kwa kupitia mama zetu baada ya kubeba mimba miezi 9 lakini wao hutotolewa kama vifaranga vya Mbuni baada ya kukaa katika yai mwaka 1 na miezi 7.
Wanaishi maisha mazuri sana kama ya Adamu na Eva. Hawaugui wala kufa bali wakizeeka huyeyuka na kupaa mbinguni. Wanaishi maisha ambayo hayapo duniani, hakuna magari wala majumba zaidi ya yote huko hakuna UKIMWI.
HII NDO JUPITER
View attachment 401458
safar hadi huko n siku ngapiyeaah mkuu kwani huna habari hiyo?
unajuaje kama mie siyo muandishi wa habari? na je kila habari humu inawekwa na waandishi wa habari?wewe sio mwandishi wa habari. na ustaarabu wa hapa JF kwa habari kama hizo toa chanzo tukuamini, sasa kama umejitungia huko vichochoroni we unataka tukuamini tu.
basi hizo ni story za once upon a time.
paukwa pakawa stories .
halfu mbona yai linataga wazungu tu?
😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛unajuaje kama mie siyo muandishi wa habari? na je kila habari humu inawekwa na waandishi wa habari?
tena watu wazima waliopevuka tayari... [emoji23] [emoji23] [emoji23]halfu mbona yai linataga wazungu tu?