Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

Wanyarwanda wapo au Wasomali?
 
wewe sio mwandishi wa habari. na ustaarabu wa hapa JF kwa habari kama hizo toa chanzo tukuamini, sasa kama umejitungia huko vichochoroni we unataka tukuamini tu.
basi hizo ni story za once upon a time.
paukwa pakawa stories .
unajuaje kama mie siyo muandishi wa habari? na je kila habari humu inawekwa na waandishi wa habari?
 
unajuaje kama mie siyo muandishi wa habari? na je kila habari humu inawekwa na waandishi wa habari?
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Alafu ni totoz tu, no men haahaaahaaah

Wacha niende kwa kibwetere aniombee nikaishi huko
halafu ukimwi hakuna utagegeda hadi utakoma ila sipati picha hizo mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…