Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

Katika utafiti wa kijiografia huko Marekani, imegundulika kuwa katika sayari ya jupiter pia huishi binadamu kama sayari yetu hii ya dunia [earth].

Tofauti iliyopo kati yao na siye ni kwamba, sisi huzaliwa kwa kupitia mama zetu baada ya kubeba mimba miezi 9 lakini wao hutotolewa kama vifaranga vya Mbuni baada ya kukaa katika yai mwaka 1 na miezi 7.

Wanaishi maisha mazuri sana kama ya Adamu na Eva. Hawaugui wala kufa bali wakizeeka huyeyuka na kupaa mbinguni. Wanaishi maisha ambayo hayapo duniani, hakuna magari wala majumba zaidi ya yote huko hakuna UKIMWI.

HII NDO JUPITER
View attachment 401458
Huu ni uwongo wa wazi.Jupiter haiwezi ku-support life kwa kuwa hakuna
ardhi and therefore no water.Sayari hii ni gaseous,sasa hao watu watakuwa wanaelea.Acha kudanganya watu wewe.
 
umo kwenye yai kuna saloon,mbona wote wameset nywere,halafu wanavyura hatareee,cheki hako ka hapo karibu kalivyokaaa kimahaba.
 
Katika utafiti wa kijiografia huko Marekani, imegundulika kuwa katika sayari ya jupiter pia huishi binadamu kama sayari yetu hii ya dunia [earth].

Tofauti iliyopo kati yao na siye ni kwamba, sisi huzaliwa kwa kupitia mama zetu baada ya kubeba mimba miezi 9 lakini wao hutotolewa kama vifaranga vya Mbuni baada ya kukaa katika yai mwaka 1 na miezi 7.

Wanaishi maisha mazuri sana kama ya Adamu na Eva. Hawaugui wala kufa bali wakizeeka huyeyuka na kupaa mbinguni. Wanaishi maisha ambayo hayapo duniani, hakuna magari wala majumba zaidi ya yote huko hakuna UKIMWI.

HII NDO JUPITER
View attachment 401458
Mbna wazungu tuuu,inaashiria binadamu ni wazungu
 
Huko watakua wanazaliwa wanawake tuu, kidume ukitinga huko ni kurarua bk tuu mwanzo mwisho
 
Katika utafiti wa kijiografia huko Marekani, imegundulika kuwa katika sayari ya jupiter pia huishi binadamu kama sayari yetu hii ya dunia [earth].

Tofauti iliyopo kati yao na siye ni kwamba, sisi huzaliwa kwa kupitia mama zetu baada ya kubeba mimba miezi 9 lakini wao hutotolewa kama vifaranga vya Mbuni baada ya kukaa katika yai mwaka 1 na miezi 7.

Wanaishi maisha mazuri sana kama ya Adamu na Eva. Hawaugui wala kufa bali wakizeeka huyeyuka na kupaa mbinguni. Wanaishi maisha ambayo hayapo duniani, hakuna magari wala majumba zaidi ya yote huko hakuna UKIMWI.

HII NDO JUPITER
View attachment 401458
Hizi ni ndoto za watu wa hali ya chini, yaani "SIMPLE MIND"
 
Ingekuwa hivi duniani hii kuna watu wasingeiona dunia hii, maana mayai yao yangepikiwa Zege la ukweli
 
Naona umekubali kudanganywa na hao wamarekani, mtu yoyote ukikubali huu uongo utajionesha ni namna gali kichwani ulivyomweupe.
 
Uongo uliopitiliza.
Mars ambayo ndiyo sayari iliyo karibu na dunia kupita zote wanasayansi hawajaweza kutia mguu iweje walete utabiri wa sayari iliyo mbali ya karibia zote.
To hell with this report.
hebu google uone
 
Back
Top Bottom