Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

Vitabu vya mungu havikusema kwamba kuna dunia 2, wala kuna aina ya mfumo wa kuzaa kwa wanadamu, kama kutakuwa na viumbe huko sayari nyengine ni wanyama tu,na sio wanadamu.
 
Vitabu vya mungu havikusema kwamba kuna dunia 2, wala kuna aina ya mfumo wa kuzaa kwa wanadamu, kama kutakuwa na viumbe huko sayari nyengine ni wanyama tu,na sio wanadamu.
Mkuu Ya Ulimwengu Huwezi Ukayajua
 
Katika utafiti wa kijiografia huko Marekani, imegundulika kuwa katika sayari ya jupiter pia huishi binadamu kama sayari yetu hii ya dunia [earth].

Tofauti iliyopo kati yao na siye ni kwamba, sisi huzaliwa kwa kupitia mama zetu baada ya kubeba mimba miezi 9 lakini wao hutotolewa kama vifaranga vya Mbuni baada ya kukaa katika yai mwaka 1 na miezi 7.

Wanaishi maisha mazuri sana kama ya Adamu na Eva. Hawaugui wala kufa bali wakizeeka huyeyuka na kupaa mbinguni. Wanaishi maisha ambayo hayapo duniani, hakuna magari wala majumba zaidi ya yote huko hakuna UKIMWI.

HII NDO JUPITER
View attachment 401458
Wanatotolew wakiaa wamevaa sidiria na vyupi? Dah! Huko raha kweli.
 
Mbona huyu wa mwanzoni kazaliwa kashavaa chupi kabisaa..[emoji2][emoji2]
 
Sayari inayo support binadamu ni moja tuuu.kwa mujibu wa vitabu vitakatifu
 
Checking...0%
Loading...0%

Network failed!
Near by Mbozi Mbeya.
 
Back
Top Bottom