GE2025 Binafsi katika maono yangu simuoni tena katika KITI cha URAIS 2025-2030

GE2025 Binafsi katika maono yangu simuoni tena katika KITI cha URAIS 2025-2030

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
‘La kuvunda, halina ubani’ isipokuwa ndani ya CCM chochote kinawezekana.

Yaani chama cha siasa kina idadi kubwa ya mabasi mapya yamepaki, kuliko idadi ya mabasi kwenye kampuni ya umma.

Shida zote za usafiri kiongozi anaagiza mabasi mapya ya chama, huku kwa wananchi kuna mabasi mkweche.

Binafsi sijui nani ataibuka mshindi katika mtanange wao huko CCM.

Lakini lililo wazi Samia hiyo nafasi ya uraisi sio size yake, nchi imechezewa sana hii miaka yake na mafisadi.

The audacity yaani CCM ina mabasi mapya zaidi ya 200, halafu usafiri wa wananchi kupanda kwanza mtandikane kung-fu basi likifika kituoni.

Ifike wakati tukubali mafisadi washamtumia vya kutosha, busara ni kwenda kupumzika.
 
Kama nilivoandika kwenye kichwa cha Uzi huu.

Sijaandika uzi huu nikiwa na mihemko ya kisiasa lakini binafsi katika maono yangu simuoni tena katika KITI cha URAIS 2025-2030.
Uzi wako ni wa mihemko na ni kama umekurupuka ndotoni kwani hujui kuwa hata kingepmbanishwa na jiwe achilia mbali kivuli lazima kishinde au ni ktk criteria gani ya uzi wako,
 
Ukikataliwa na Mungu na ukafosi yatakayokukuta usimlilie mtu, angalia Jiwe alikoishia
Huyu mama ana miaka mitano mingine kumuondoa kwa sasa ni ngumu. Jpm wakati wake ulifika kama ilivyokuwa kwa marais wengine waliopita lakini pia tusisahau Tanzania ni nchi mojawapo ambayo viongozi wake walikuwa exposed na covid19 virus na kupata madhara makubwa
 
Kama nilivoandika kwenye kichwa cha Uzi huu.

Sijaandika uzi huu nikiwa na mihemko ya kisiasa lakini binafsi katika maono yangu simuoni tena katika KITI cha URAIS 2025-2030.
Na kama akifanikiwa kukaa kitini 2025-2030 basi KITI KITAKUWA CHA MOTO SANA NA CHENYE DAMU SIKU ZOTE
 
Na kama akifanikiwa kukaa kitini 2025-2030 basi KITI KITAKUWA CHA MOTO SANA NA CHENYE DAMU SIKU ZOTE
Kuwa kiongozi wa watu haijawahi kuwa rahisi siku zote kiti ni cha moto na ndio maana akichaguliwa tu ulinzi unaongezwa. Mfano meaka huu wa uchaguzi kukikucha salama anashukuru Mungu.

Siku akiapishwa kuwa Rais wa nchi kiti kinaendelea kuwa cha moto mpaka atakapostaafu. Si jambo jipya kwamba unatabiri tulitarajie, iko hivyo siku zote tangu enzi
 
Kuna tofauti ya mioto na tofauti ya damu ...ipo mioto mingine inakuangamiza hadi mwenyewe au na familia yako yote
 
Back
Top Bottom