‘La kuvunda, halina ubani’ isipokuwa ndani ya CCM chochote kinawezekana.
Yaani chama cha siasa kina idadi kubwa ya mabasi mapya yamepaki, kuliko idadi ya mabasi kwenye kampuni ya umma.
Shida zote za usafiri kiongozi anaagiza mabasi mapya ya chama, huku kwa wananchi kuna mabasi mkweche.
Binafsi sijui nani ataibuka mshindi katika mtanange wao huko CCM.
Lakini lililo wazi Samia hiyo nafasi ya uraisi sio size yake, nchi imechezewa sana hii miaka yake na mafisadi.
The audacity yaani CCM ina mabasi mapya zaidi ya 200, halafu usafiri wa wananchi kupanda kwanza mtandikane kung-fu basi likifika kituoni.
Ifike wakati tukubali mafisadi washamtumia vya kutosha, busara ni kwenda kupumzika.