GE2025 Binafsi katika maono yangu simuoni tena katika KITI cha URAIS 2025-2030

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kuna tofauti ya mioto na tofauti ya damu ...ipo mioto mingine inakuangamiza hadi mwenyewe au na familia yako yote
Kiapo cha Urais kina mambo hayo yote ingawa hayasemwi wazi. Ila kuapa kuilinda katiba ya nchi kunahusisha kumwaga damu pale inapowezekana.
 
Apia mabasi 200 kama nikweli wayapeleke mwendokasi
 
Hamna kitu hapo kanga zishachapishwa na mabango tyari mpaka magari ya kampeni na picha zake yashaandaliwa, endelezeni porojo zenu za kishamba
 
Kiapo cha Urais kina mambo hayo yote ingawa hayasemwi wazi. Ila kuapa kuilinda katiba ya nchi kunahusisha kumwaga damu pale inapowezekana.
Huyu aliye apa kwa katiba ya nchi kwa kutumia msahafu kisha akaita katiba ni kajitabu tu bila ya kukumbuka katumia msahafu kuapia ...maana yake kadharau msahafu kabla ya kuidharau katiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…