We mwenye maono hujui hata kesho yako ikoje na umeshindwa kujiona mwenyewe..uweze kuona ya mwenzio..hiki nacho ni kichekesho kingineKama nilivoandika kwenye kichwa cha Uzi huu.
Sijaandika uzi huu nikiwa na mihemko ya kisiasa lakini binafsi katika maono yangu simuoni tena katika KITI cha URAIS 2025-2030.
Usiwe na haraka mkuu. Edit hili andiko lako ili tuelewe unachomaanissha.Huyu aliye hapa kwa katiba ya nchi kwa kutumia msahafu kisha akaita katiba ni kamijitabu tu bila ya kukumbuka katumia msahafu kukiaoia maana yake kadharau msahafu kabla ya kuidharau katiba
Kama hutaki kutumia nguvu kufikiri basi usingepoteza muda wako ku-post hiki ulichoandika.Mafumbo ya Nini kama umeamua kuandika hadharani,
Si ungekaa nayo TU kichwani?
Mimi sijaelewa kabisa.
Na sitaki kutumia nguvu kufikiri kwa sababu Haina faida na Mimi.
Yaani sio mtihani kwamba nikijibu napata maksi
Wewe ndo hujui kesho yako itakuaje siyo woteWe mwenye maono hujui hata kesho yako ikoje na umeshindwa kujiona mwenyewe..uweze kuona ya mwenzio..hiki nacho ni kichekesho kingine
Kuzimu akiokwa kama ndafu.Unamuona wapi?
Unaweza shitakiwa kwa kuleta ugonjwa wa Shinikizo la damu kwa ntuKama nilivoandika kwenye kichwa cha Uzi huu.
Sijaandika uzi huu nikiwa na mihemko ya kisiasa lakini binafsi katika maono yangu simuoni tena katika KITI cha URAIS 2025-2030.